President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Ukraine ikimalizana kuondoa mamruki Kherson lazima watasogeza himars, baada ya hapo kitachotokea ni mtu kukimbia kando ya mtoWarusi habari zenu. Its HIMARS o'clockView attachment 2415500
Unaongelea kale kamji kenye ukubwa wa Square kilometers 135!?Ukraine ikimalizana kuondoa mamruki Kherson lazima watasogeza himars, baada ya hapo kitachotokea ni mtu kukimbia kando ya mto
Toka usingizini..Jambo la 'kushukuru' ni kuwa dunia kwa sasa haina Maraisi/viongozi ultranationalists kama ilivyokuwa miaka 50 nyuma. Vita ya Ukraine na Urusi ilikuwa ni chanzo tosha kabisa cha kuingia kwenye Vita ya dunia. Kwa sasa tutaishia kwenye ngonjera tu, huku Ukraine ikibaki magofu na Urusi kuyashikilia majimbo inayoyataka. And that will be the end of it. Urusi haitashitakiwa popote. BRICS itaimalika sana, na Nguvu za kiushaiwishi za Marekani zitapungua sana. Ingawa bado US ataendelea kuwa Great Superpower but not hegemonic!. Baada ya Vita hii, Kuna ufisadi mkubwa sana utarepotiwa nchini Ukraine—Zelensky ni corrupt leader sema tu vita hii imemuokoa—na huja Ukraine ikageuka kuwa ni taifa la kidikteta sana barani Ulaya. But kamwe haitojiunga NATO. [emoji120]
Urusi siyo Marekani. Mbele ya Urusi hiyo Marekani ni taifa changa.Niwaambie kitu kimoja, popote pale vita ni Morali. Na morali inatokana na wananchi wavamiwa. Ndio sababu Marekani ameshindwa vita maeneo mengi duniani. Na ndicho kina/tachoitesa Urusi. View attachment 2415552
Haya ni masuala ya muda, kubishana ni utoto, busara ni kusubiri na kuona.Urusi siyo Marekani. Mbele ya Urusi hiyo Marekani ni taifa changa.
Mkuu mbona unatuletea takwimu isiyoonyesha Urusi??? Maana Urusi ni kati ya nchi duniani ambako wengi sana wanajiua. OnaSuicide per 100,000 people:
🇰🇷South Korea: 25.4
🇱🇹Lithuania: 20.3
🇸🇮Slovenia: 15.7
🇯🇵Japan: 14.6
🇺🇸US: 14.1
🇦🇺Australia: 12.4
🇨🇦Canada: 10.5
🇩🇪Germany: 9.7
🇬🇧UK: 8.5
🇪🇸Spain: 7.5
🇧🇷Brazil: 6.7
🇲🇽Mexico: 6.3
🇨🇴Colombia: 5.9
🇮🇹Italy: 5.8
🇹🇷Turkey: 4.4
🇿🇦South Africa: 0.6
(OECD)
Unataka ujadili wewe pekee yako siyo!? Ondoa udikteta kwenye public discussions. Ukileta uongo tunakuripua.
Taarifa zako za kwenye vijiwe vya kahawa hazina nafasi kwenye GT discussions.Mkuu mbona unatuletea takwimu isiyoonyesha Urusi??? Maana Urusi ni kati ya nchi duniani ambako wengi sana wanajiua. Ona
Mkuu hujui kwamba waliuza kuni na makaa miaka yote?
Mimi na wewe na ana mihemuko dda?Huna lolote. Punguza mihemko.
Unaongelea Wajeruman au Wajeremani!?Mkuu hujui kwamba waliuza kuni na makaa miaka yote?
Wewe si tumekubaliana kwamba IQ yako ni ndogo!? Au siyo wewe unayetafuta wanawake kwenye mitandao!? Njoo na critical and analytical comments. Achana na cheap topicsMimi na wewe na ana mihemuko dda?
Unaonekana wewe badi sana kwenye hizi anga. Kaa utulie uendelee kula ugali was shemeji huku ukinunua bandi kwa kutumia chenji za mchichaWewe si tumekubaliana kwamba IQ yako ni ndogo!? Au siyo wewe unayetafuta wanawake kwenye mitandao!? Njoo na critical and analytical comments. Achana na cheap topics
View attachment 2415582
Sasa unabidi uchangie kwa kujiheshimu. Sisi tunataarifa zote zinazoendelea duniani kote.Unaonekana wewe badi sana kwenye hizi anga. Kaa utulie uendelee kula ugali was shemeji huku ukinunua bandi kwa kutumia chenji za mchicha
Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]Wamarekani wanateketea kama kumbikumbi.
View attachment 2415589
Aftermath of the battle of Pavlovka filmed by the Russian Pacific Fleet Naval Infantry of the 'V' Group. As can be seen this battle cost the VSU very heavily. And this is Russia on the attack.
Победа будет за нами[emoji1307]