Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni kulingana na source ipi mkuu au ni mtazamo wako?
 
Wewe umezoea uchambaji. Discussion nzito kama hizi huziwezi. Nakushauri usubirie tulale uendelee na uchambaji wako. Kwa sasa subiri tutoe nondo wengine wajifunze.
Huu ni ushauri tu wa bure. Ukipenda chukua
Ikikuuma chomoa mkuu,sio kesi.., lakini hata MR MAJANGA pro Russia mwenzio kaona wazi kwamba kufurushwa urusi huko kheson ni aibu..,anashangaa kwa nini urusi hatumii lasilimali zake kuweka nguvu front line, badala yake anaishia kushambulia tu miundombinu, suala hambalo halina impact kwenye uwanja wa vita...,ni ajabu mtu unafurushwa maeneo ulivyojimilikisha huku ukiharibu silaha kwenye target zisizo na msingi [emoji2957][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani makamanda wa jeshi wangekuwa na akili finyu kama zako hakika jeshi lingepigwa hata kwa manati tu.

Russia anajulikana Duniani kote kwa Military Strategy. Napoleon, Hitler na wengine wengi alijaribu na kujiona wameshinda lakini kibano kiliwageukia haraka sana.

Strategy inarahisisha Tactics. Kwanza ujue lengo la Russia ndania ya Ukraine ni kulitia ukilema jeshi la Ukraine.

Unawaacha waliopo mbele na kugonga viwanda, barabara, miundombinu ya umeme nk ili usafirishaji wa vifaa uwe mgumu.

Walioko mbele itakuwa kama kusukuma mrevi tu.

Haya ni mambo ya kitaalam mno.
 
Mkuu uko haraka sana kubadilisha mada ukibanwa. Wewe ulitaka kutufundisha kwamba Kherson ni km² 135 pekee ukijaribu kusisitiza si muhimu. Nimekuonyesha kwamba namba zako si sahihi.
Sijui kama umeleta namba hizi ilhali huelewi au kama ulitaka kupiga debe kidogo tu.

Anyway, Oblast Kherson haifanywi na miji bali na "rayon" yaani wilaya ambazo ni Beryslav, Henichesk, Kakhovka, Kherson na Skadovsk.
Beryslav karibu yote inashikwa sasa na Ukraine, na zaidi ya nusu ya wilaya ya Kherson.

Naelewa kwa sababu gani uataka sasa kubadilsha topic, lakini nimekujibu kuhusu namba zako bandia. Kwangu inatosha kwa leo.
 
Nimekushauri vizuri sana. Kwamba uwezo wako kichwani ni mdogo mnoooo. Umeoea kupigishwa makelele huko uswahilini. Vijiwe vya kahawa vinapunguza uwezo wako wa kufikiri. Sasa basi kaa kitako usikilize sisi kaka zako tukiwa tunajadili kikubwa.

Hii mada huiwezi maana huna hata uelewa wa Geopolitics na International Politics. Achilia mbali ujuzi wa masuala ya kijeshi. Sasa basi tulia ikifika usiku sisi tumelala basi endelea na kuchamba kwako huku unakotuonesha.
 
Naona pro Russia mnaanza kupoteana [emoji16][emoji16]..Kati ya urusi na ukraine nani kamtia mwenzie kilema kwa Hali hii?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We ichomoe tu mkuu ukiona inaendelea kukuuma.., lakini huo ndio uhalisia.., super pawer kashindwa kusimamia kile alichokiita referendum..., anachakazwa front line huku akiendelea kukimbizwa kama mbwa mwizi kwenye maeneo aliyojimilikisha [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa slow learner ni vigumu mno kunielewa. Tatizo lako unataka kulazimisha kilichoko kichwani mwako kiwe sahihi.

Kwanza umekuta umeingilia katikati mazungumzo hujui tulikoanzia. Umekuja kurukia mada tu.

Hapa kijana wangu tunaongelea eneo ambalo Russia ameondoka. Eneo ambalo Russia kaondoka ni square kilometers 135. Au hilo unabisha!? Russia kaondoka kwenye mji wa Kherson na siyo Kherson oblast.

Sasa unapokuja kushupaza shingo tuendelee kujadili suala hilo hilo wakati kijana wetu ukiwa mgumu wa kufikiria sisi tufanye nini sasa!?

Jifunze kujua majadiliano yavyoendelea kisha unachangia. Ukirukia mbele utaonekana zwazwa.
 
Ona sasa unavyokosa adabu kwa wazazi wako. Nimekupatia ushauri wa kiutu uzima. Happiness haiji kwa kuandika maandishi ya kipumbavu.

Hata ukiandika maneno mengi kiasi gani kama wewe kijana wangu ni mpumbavu utaendelea kuwa hivyo hivyo tu.

Ukitaka kuwa mwelevu jitahidi sana kufuatilia mambo na kuijua dunia. Maneno haya unayoandika huwa nayasikia wakiandika watu wanaoishi Buza kwa Mparange.
 
Umeandika vitu vingi mfano. Ukraine kuwa taifa la kidikteta sana, BRICS kuimarika zaidi, US kushuka ushawishi na Ufisadi kuripotiwa ukraine which all of them are mere predictions with no bases at all. Yani ni kama una bet mechi kwa muhindi ambapo ni pata potea.
 
Sasa kijana wangu hili ndilo wazo lako!? Taifa letu linakosa nguvu kazi kabisa. Tukiwa na vijana wa aina yako ni hakika taifa litakuwa linatembea gizani.

Kulingana na maandishi yako haya ninauhakika kabisa wewe huna plans katika maisha yako. Huweki akiba ya pesa.

Mtu mwenye akili timamu na anajua maisha yanavyoenda ni lazima ajue namna ya prediction. Ndio maana kichwani zimo akili. Wewe siyo mnyama kijana wangu.
 
Tatizo umeshapanick mpaka umetoka nje ya mada.., wapumbavu wengi ndio wenye Tabia kama zako..,au kama wewe sio mpumbavu basi utakuwa na tatizo kubwa la kisaikolojia..,huenda Kuna maitaji ya msingi unashindwa kuyapata kutoka Kwa mumeo..,au kama sio Hilo basi utakuwa na mimba changa inakusumbua.., yote yatapita lakini,kama ni mimba Kuna wakati itarudi katika Hali ya kawaida,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Oky ni vyema kuweka predictions lakini lazima uziseme kama hizi ni predictions na mtazamo wangu hivyo watu wanavyojadili wanajua huyu mtu kapredict tu. Hapa tunajadili facts tu na sio predictions za mtu.

By the way msalimie Jesus Mlokozi mkuu mwambie asijifiche sana.
 
Ona sasa kijana wangu unavyo jadili kwa mihemko. Najua tu, kijana wangu bado upo katika umri mdogo. Ukikua utaacha hizi tabia zako.

Nimekupatia ushauri kwamba; kijana wangu wewe umezoea uchambaji, huna point yoyote, sasa basi unatakiwa kwa muda huu uwe mpenzi mtazamaji. Muda wako wa kuchamba ukifika utachamba tu. Kwa sasa tuache wenye akili tujadiliane.
AU UMEKWAZIKA KUKWAMBIA UKWELI!?
 
Sasa mtu wangu unapopanda mbegu kwa kufuata hatua za kitalaamu si utatemea kuvuna mavuno kutegemea na ulivyopanda!?
Je, Mavuno unayotegemea kuvuna ni prediction au facts!?
 
Mkuu unarudia namba ambazo si halisi. Azimio la Urusi ni kuondoka upande wa magharibi wa mto Don, si manisipaa ya Kherson pekee. Nilikutajia wilaya za mkoa huo, na sehemu ambazo zimesharudi chini ya mamlaka ya Ukraine, na nyingine ambazo bado ziko chini ya Urusi.
Sasa unateswa na ule ugonjwa wa kawaida kwenye uwanja huo, huwezi kukubali kosa lako unajaribu kwa kila namba kujiondoa...........
Umeleta namba zisizo sahihi, nimekusaidia lakini hupendi kunishukuru.
Basi nenda zako tu!
 
US Allows Cash to Flow for Russian Energy

Transactions with several Russian entities - including the Russian Central Bank - will be allowed as the US Treasury extends a general license which was set to expire.

The move comes just weeks before a G7 price cap on Russian oil begins.

Subscribe to RT
 
Sasa mtu wangu wangu wa nguvu, Usilie; wanajeshi hawalii.
Kwanza namba zipi umezileta!?
Au umeziandika kichwani mwako na unadai umezileta!?

Nimekufundisha kwamba; mada umeikuta inafukuta wewe ukajiingiza kichwa kichwa tu bila kujua tulikuwa tunaongelea nini.

Unajua tulichokuwa tunaongelea!?
 
Tatizo lako nalijua vizuri bibie..,kina dada wengi Wana tatizo kama la kwako.., maana ni ukweli ulio wazi kwamba wanaume wengi wanashindwa kuwatimizia mahitaji ya msingi nyie dada zetu.., matokeo yake mnaishia kuwa na stress hata kwenye hoja za kawaida tu zenye maslahi kwa jamii.., nakushauri tu dada yangu , jaribu kutafta shughuli ya kukuingizia kipato hata kama utauza vitumbua,kumtegemea mumeo kwa Kila kitu utachoka.., wanaume tuna majukumu mengi.., lakini kama ni suala la mimba changa Hilo tatizo litaisha upesi tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…