Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jeshi la Ukraine halina uwezo wa kukomboa mji wowote hizo sehemu za khasoni ni jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao.Hata hivyo Urusi bado ana control karibu 75% ya eneo zima la kharson.
Kama ni sehemu za 'Khasoni' utakuwa sahihi Mkuu kwa mujibu wa maelezo yako,lakini mimi hapa naongelea Mji wa Kherson uliokombolewa na majeshi ya Ukraine baada ya vikosi vya Russia kuzidiwa na kuukimbia.Kwahiyo tunaongelea sehemu mbili tofauti kabisa [emoji4]
 
Warusi weusi walikimbiza sana huu uzi wakati Vita vipo mwanzoni..😃😃😃

Japo wengine waliingiza lugha chafu ili kuua ukosoaji dhidi yao...ila walioweka kirusi walifanya vyema mno ili kuunogesha.
MK254 Nyamizi Jackal kp kipanya44

Bado wapo ma-comrade wachache kama kina 1954 lee van cliff mohamedidrisa789 wa kupuliza bado wanakomaa kibabe..
 
Translated into simpler language, Ukraine and Russia are essentially saying they NEVER EVER WISH or ENVISION PEACE in the near future. Both want the war to continue.
Wanataka mshindi apatikane kwenye uwanja wa Vita na sio mezani.
 
Treni imerejea

[emoji298]️A passenger train from Kyiv arrived in Mykolaiv for the first time since February 24.

The train will run on even numbers from the capital and on odd numbers - from Mykolaiv.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua

 
Tukiachana na vita tukumbuke idadi yetu duniani tushafika Bilioni 8.

[emoji298]️The population of planet Earth has reached 8 billion. In 2023, India will surpass China and become the most densely populated country in the world, the United Nations has announced.

 
Vita ni ya Russia na Ukraine. Kutaka NATO iingie ni kukosa akili, Ukraine sio mwanachama wa NATO.

Na NATO hailazimiki kuingilia vita hii, hapa wanatoa msaada. Russia iko ndondo ila wewe unaitaka iende ligi kuu, huwezi pigana na Ukraine kwa miezi tisa ukiambulia kutimuliwa maeneo uliyojipatia kisha ukasema unaiweza NATO.

Mnachokifanya wewe na wenzako uliowaita ni sawa na kuilalamikia Marekani kwanini Tanzania ni maskini wakati USAID hutoa misaada na serikali yao usaidia bajeti yetu. Kama Urusi inaitaka NATO si mipaka yake inaijua? Sasa wewe na uelewa wako unashindwa kutambua kwamba Russia haina guts za kuivamia NATO, kwanini unalazimisha NATO ndio ivamie Russia
 
Nasimama na Putin kwenye kukataa kulazimishana tamaduni na mambo ya price ceiling, ukisikiliza speech yake alipokuwa anaongea kuhusu haya lazima ukubali tu kuwa yupo sahihi.

Ila kuhusu maeneo aliyokwapua, anastahili kushindwa. Nawatakia kila la heri Ukraine wamtoe kwenye nchi yao.
 
⚡️⚡️⚡️⚔️Russian Defence Ministry: Russian troops destroy up to 1,400 Ukrainian soldiers, two Su-25 aircraft, an Mi-8 helicopter, 12 tanks, 27 infantry fighting vehicles and up to 30 other armoured fighting vehicles, six artillery pieces, including two US-made M777 systems, 28 drones, Russian troops continue offensives for Pavlovka⚔️⚔️⚔️
 
 
Hii ni nzuri
 
Hivyo mkuu tukisema 'Apache' ndio best attack helicopter gunship kwa sasa tupo sahihi sio ?..

..hiyo Ka-52 labda tuifananishe na UH-60 Black hawk?
T14 Armata
Black Hawk sio attack heli hiyo ni utility na ina career nzuri kwenye US Army. Wenzake na Ka-52 ni kina Eurocopter Tiger ya consortium ya Ulaya, Bell Viper ya Marekani, Z-10 ya China hii powerplant yake haina nguvu sana na heli walijitutumua kuiunda kwa msaada mkubwa wa wazungu, Augusta Mangusta ya Waitaliano.

Waturuki wanayo mpya inaitwa ATAK haiko vibaya ila ndio kwanza inakuwa deployed tuipe miaka kadhaa. Nayo kuna msaada wa wazungu. Niliona Nigeria wana mpango kuzinunua sijui walifika wapi.

Mrusi pia ana Mil Mi-28 Havoc ziko vizuri ila sijaona wanazitumia vita hii sijui kwanini. Nahisi wanazo chache ila kutakuwa na sababu nyingine
 
Soma Sheria ya Madawa ya kulevya ya hapa nchini. Sheria ya 2015.
Tukikutia nguvuni usiseme huijui sheria

 
 
Hakuna mtu anayelazamishwa kunywa Coca-Cola, Pepsi, kuvaa Suti, kuongea Kingereza, kuangilia movies za Hollywood, kumsikiliza Rihanna, JayZ, na mengine mengi ya West. Nionyeshe popote katika karne hii ya 21 West walipolazimisha utamaduni wao nikuonyeshe Mbuzi anayetaga.
 
Sikuongelea haya, West wanautaratibu wa masharti kwa jina la haki za binadamu ambazo ni nje ya tamaduni za nchi nyingi. Hatuna sababu ya kubishana kuhusu hili sababu nchi yako ni mojawapo ya nchi inaukwepa huu mshale kwa tabu sana kwa sababu tunahitaji kushirikiana nao. Urusi, China huwa hawajali sana kuhusu tamaduni zenu ila kimahusiano yenye manufaa kiuchumi hawawezi kuwazidi west.
 
Kwani lazimia ufuate masharti yao? Kwa nini msiachane nao muende huko kwa Warusi na Wachina ambako hakuna masharti yoyote?

Halafu kuwekewa masharti ambayo ni lazima uyatimize ili uwe rafiki , upewe msaada au mikopo ndio unasema kulazimishwa? Kivipi huko ni kulazimishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…