Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa watu ni wajinga wanajiona wajanja.
Silaha zenyewe za kuombaomba.
Hao wafadhiri wao wakiwachoka watafanyaje?
 
Wewe uko huko TZ Tena basi pengine kinyerezi unasema huoni ajabu...wenzio wako kule Kiev wanaangamizwa na kutokomezwa...
Nakukumbusha tu,wale asikari waliokuwa mobilized juzijuzi wanalambishwa mchanga Hadi 1000 kwa siku,Sasa sijui kwa hesabu hizo ni nani anaangamia zaidi kati ya urusi na ukraine [emoji56][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Moto tunapeleke tukiona mnaleta vilio sisi tunaona rahaaa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Zamu ya Odessa sasa

A flight of several missiles over the Odessa region was observed
Sisi tupo zetu kheson tunapiga selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702] ..,ni haki yenu kuficha hii aibu maana SI kwa kipigo hiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Lavrov completed his program at the G20 summit in Bali and flew to Russia
 
Leo Urusi kauwasha moto hivi ni nani atakaye weza kuuzuia hivi leo. Jamani jamnai wayukireni leo watalalaje?

🚨💥🚨 The mayor of Kyiv with a broken head - Klitschko said that another residential building was damaged. The air defense of Kyiv is also with a broken head, like the mayor.
 
Hawa watu ni wajinga wanajiona wajanja.
Silaha zenyewe za kuombaomba.
Hao wafadhiri wao wakiwachoka watafanyaje?
Uzuri wafadhili nao wamesema wanaacha Ukraine ipambane mpaka itakapoamua yenyewe kutaka mazungumzo.

“I’ve been very clear that we’re going to continue to provide the capability for the Ukrainian people to defend themselves – and we are not going to engage in any negotiation. There’s nothing about Ukraine without Ukraine,” Biden said, as quoted by CNN.
 
[emoji599][emoji599][emoji599]Powerful explosion in Odessa region, Ukrainian media report[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Inashangaza milipuko ya mabomu kusikika kwenye nchi hambayo Iko vitani..,pro Russia mmechanganyikiwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji1255][emoji298]️Peskov: Ukraine cannot and does not want to negotiate, the special operation will continue

Sent using Jamii Forums mobile app
“I’ve been very clear that we’re going to continue to provide the capability for the Ukrainian people to defend themselves – and we are not going to engage in any negotiation. There’s nothing about Ukraine without Ukraine,” Biden said, as quoted by CNN.
 
Inashangaza milipuko ya mabomu kusikika kwenye nchi hambayo Iko vitani..,pro Russia mmechanganyikiwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sisi show show, maneno ya kwenye kanga nenda kawatishie akina Khadja Kopa 🤣 🤣 🤣

🚨🚨🚨Arrival in Rivne in Western Ukraine⚡️⚡️⚡️
 
Slava Ukraine

[emoji298]️Ukraine liberates Makiivka village in Luhansk Oblast.

The regional military administration reported that the settlement, located not far from Lyman, Donetsk Oblast, is now under Ukrainian control.

Makiivka is 160 kilometers west of Russian-occupied Luhansk.
 
Super pawer atapigishwa danadana, mpaka atakapoamua mwenyewe kurusha nyumbani kwa aibu pamoja na kulipa hasara aliyosababisha huko Ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…