President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu ona aibu Jiongeze wewe.
Hebu thibitisha kwamba makombora zaidi ya 70 hayajatunguliwa,sio kuleta ngonjera[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu ona aibu Jiongeze wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa tumepigwa na kitu kizito.hakuna Air defence missileHebu thibitisha kwamba makombora zaidi ya 70 hayajatunguliwa,sio kuleta ngonjera
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ile ya urusi ndo inafanya kazi asilimia mia?? Mbona mnapenda kujitoa akili?? Alafu tangia hiyo miundombinu ya umeme ianze kulipuliwa haiishi tu??[emoji848][emoji848]Mlivyokuwa na dhambi, baadae mtataka muwalipishe Ukraine hii mifumo wakati ufanyaji kazi ni asilimia 0View attachment 2417754View attachment 2417755
Kila Aina zipi hizo Shekhe?! Ukraine wamepewa IRIS-T na NASAMS ambazo zote ni short to medium range air defenses ambazo zinalinda maeneo madogo ndo maana Zelenksy kila siku analalama kwa washirika wampe air defense zaidi maana hata hizo NASAMS kapewa mbili tu,na IRIS T kapewa moja ambazo kiuhalisia hazitoshi hata kuilinda Kiev Peke yake dhidi ya Makombora.Wasipomuomba PUTIN msamaha basi hii Nchi itabaki maghofu.
Mi uwa siamini kabisa hii mifumo ya kutunguwa makombola.Ukraine wamepelekewa kila aina ya mifumo mipya ya kutungua makombola ila cha kushangaza bado adui anawapiga kwa juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sina uhakika kama mimi nachanganya mambo au kama wewe umechangayikiwa kidogo. Je unaweza kunitajia tekinolojia moja ya kisasa ya vifaa vya vita ambayo haimilikiwi na hataza??? (tuache Kalashnikov - hii si kisasa, tuko pamoja?)Mzee naona unachanganya madesa. Orodha uliyoiweka ni ya patents kitu unachokiongelea hapa ni technology.
Nadhani jaribu kuongelea kitu kimoja baada ya kingine.
Patent is a government authority or licence conferring a right or title for a set period, especially the sole right to exclude others from making, using, or selling an invention.
HAPA TUNAONGELEA TECHNOLOGY YA VIFAA VYA VITA. Kwakuwa umechokoza mada. Nataka sasa tuoneshe Technology hiyo na siyo patent kama ulivyo weka.
Ungeanza kuhoji kwanza zile s - 300 s- 400 s-500 zinakwama wapi kulinda ammunition depot za super pawer..,zinalipuliwa kila kukicha [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa tumepigwa na kitu kizito.hakuna Air defence missileView attachment 2417756View attachment 2417757