Ndiyo mkuu tuko pamoja. 🤓 Tusubiri tu hadi "jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao" kutoka maeneo yote ya Ukraine. Halafu tuwapongeze kwa ushindi!!Jeshi la Ukraine halina uwezo wa kukomboa mji wowote hizo sehemu za khasoni ni jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao.Hata hivyo Urusi bado ana control karibu 75% ya eneo zima la kharson.
Hujui chochote kuhusu vita nyamazaPutin ni chizi pamoja na kamanda wake, kuna haja gani ya kupiga makazi ya watu badala ya kupiga sehemu vita inapiganwa, its a shame, kama ameshindwa kupigana na wanajeshi ni bora arudishe askari wake na maisha mengine yaendelee.
Kosa kafanya Baba so why upige watoto?
Ndio kitu anachofanya dikteta Putin, tupigane kwenye uwanja wa vita na sio kupiga wananchi ambao wamelala kwenye nyumba zao bila sababu za msingi.
Kuwa na viongozi kama hawa kwenye Dunia hii iliyostaarabika ni kero sana
Kwani zile air defence zipo wapiWazee wa kushangilia baluti, mmeongeza sentimeter ngapi huko front line..,au ndo yaleyale.., kufungwa twafungwa lakini chenga twawala [emoji16][emoji1787][emoji28][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee wa kheson itakuwa ya Russia milele, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona baluti alizopiga super pawer zimekuzindua Toka mafichoni..,hizo baluti Ukraine wameshazizoea Wala sio jambo jipya,Kwani zile air defence zipo wapi
Ni ajabu sana, jamaa anachakazwa front line, badala ya kujibu mapigo huko huko front line anakimbilia kushambulia miundombinu ya kiraia..,hizi ni dalili za mtu hambaye Yuko confused [emoji848][emoji848]Putin ni chizi pamoja na kamanda wake, kuna haja gani ya kupiga makazi ya watu badala ya kupiga sehemu vita inapiganwa, its a shame, kama ameshindwa kupigana na wanajeshi ni bora arudishe askari wake na maisha mengine yaendelee.
Kosa kafanya Baba so why upige watoto?
Ndio kitu anachofanya dikteta Putin, tupigane kwenye uwanja wa vita na sio kupiga wananchi ambao wamelala kwenye nyumba zao bila sababu za msingi.
Kuwa na viongozi kama hawa kwenye Dunia hii iliyostaarabika ni kero sana
Asilimia 70% ya Kherson IPO Chini ya warusiMzee wa kheson itakuwa ya Russia milele, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona baluti alizopiga super pawer zimekuzindua Toka mafichoni..,hizo baluti Ukraine wameshazizoea Wala sio jambo jipya,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tulia upate chanjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiev ilianza kupigwa mabom Toka February 24..,ivyo sioni ajabu yoyote [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sisi chanjo yetu tulishapata huko kheson Hadi tukapiga selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji1702][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia upate chanjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kheson city centre Iko mikononi mwa ukraine.., super pawer wa mchongo kakimbilia huko kheson ya vichochoroni..,hata huko mda si mrefu atafurushwa[emoji23][emoji23][emoji23]Asilimia 70% ya Kherson IPO Chini ya warusiView attachment 2417773
Kwanzaa mpunbavu ni mamayo na babayo na mke wako kama unae ukiwemo wewe mwenyewe.Uliponiquote mwanzo nikajua unajielewa lakin kwa Mara hii ya pili ndio nimejua wew ni mpumbavu Sasa hapa umeandik niny! Ukiambatanisha na Hilo li picha, wew ni ndama kweli maana hata jina lako Lina akisi akili yako jinsi ilivyofinyu, kwa kuzania wew na wajinga wenzenu ety mna hoja.
Sasa ukiona ni uongo pita kushoto njia ni nyeupe ataesoma atasoma na asiyetaka atawacha kwa vile hakuandika ili kumlazimisha mtu asome anachoandika.Unafikikiria huyo cjawahi kumpinga uongo wake au watu hawajawahi kumpinga uongo wake, mpaka nimeandika hivyo jua unachokisema kilishajadiliwa still yet analeta uongo uleule kujifanya anajua siraha za majeshi ya mataifa mbali mbali hadi udhaifu wake as if yeye Ni deep state au proffesion military expertise afu unataka nany apoteze mda kupingana na uongo wake.
Yani kombola linakatiza kwa raha zake alafu mna mifumo ya kisasa kabisa.huu si utani mnaleta
Hapo wanarudi?mtavukaje MTO Sasa kila mkivuka MTO mnaloKheson city centre Iko mikononi mwa ukraine.., super pawer wa mchongo kakimbilia huko kheson ya vichochoroni..,hata huko mda si mrefu atafurushwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app