Acha ghadhabu Ndugu....ni nani amekwambia anapiga makazi?! Ni Zelensky na watu wake na Western media. Ni propaganda tu....unajua majeshi ya Ukraine yameua raia wangapi?! In thousands...Russia inalenga majengo ammo wamo decision makers..wakiwemo mamluki wa NATO...Askari wa NATO wamejaa Ukraine wengine wakiwa kwenye.hayo majengo....mchezo unaendelea msiwe na hasira..Putin ni chizi pamoja na kamanda wake, kuna haja gani ya kupiga makazi ya watu badala ya kupiga sehemu vita inapiganwa, its a shame, kama ameshindwa kupigana na wanajeshi ni bora arudishe askari wake na maisha mengine yaendelee.
Kosa kafanya Baba so why upige watoto?
Ndio kitu anachofanya dikteta Putin, tupigane kwenye uwanja wa vita na sio kupiga wananchi ambao wamelala kwenye nyumba zao bila sababu za msingi.
Kuwa na viongozi kama hawa kwenye Dunia hii iliyostaarabika ni kero sana
Binafsi nakushauri mtu akikuletea matusi nenda nae hivyo hivyo,Wala usimwachie mungu..,Kuna watu wanajiona wanaweza sana kutukana,[emoji848]Sasa ukiona ni uongo pita kushoto njia ni nyeupe ataesoma atasoma na asiyetaka atawacha kwa vile hakuandika ili kumlazimisha mtu asome anachoandika.
Kuna uongo mwingi sana pro rusia huuleta lakni hatukanwi kama mnavyofanya nyinyi anaepinga anapinga kwa hoja kama hana anawacha anaachia wengine lakni nyinyi bado mnaendelea bifu lá matusi kwa kila leo.
Mnalipwa shilling ngapi hadi mfikie huko?
Mkidharau mtadharauliwa.
Muweze kustahimili kama vishindo hamviwezi msivianzishe.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mna washauri na Askari wa NATO humo...Haya Makombora ya Russia ni kukosa shabaha au wamedhamiria kuua Raia wasio na hatia?! Maana Makombora karibu yote yanapiga makazi ya Raia tu
Ngoja waje na ubishi wao uchwara [emoji16]Waliokua wanauliza air defense za Ukraine wapi
[emoji298]️ The work of air defence in the Kyiv region. Video from subscribers.
[emoji117] Follow @Flash_news_ua
Ngoja tusubiri taarifa kamili kwamba yalirushwa mangapi na wametungua mangapi
Kwa hiyo intelijensia ya Russia imeweza kuona makazi ya maafisa wa NATO, lakini imeshindwa kuona location ya HIMARS hata Moja[emoji16]Mna washauri na Askari wa NATO humo...
Sina hayo ya kumwachia mtu mimi sianzi matusi hata iweje ila ukinitukana lazima nikupige nayo mpaka ungiwe mmalaria.Binafsi nakushauri mtu akikuletea matusi nenda nae hivyo hivyo,Wala usimwachie mungu..,Kuna watu wanajiona wanaweza sana kutukana,[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujui Himars zipo mikononi mwa Warusi wanazisoma?Kwa hiyo intelijensia ya Russia imeweza kuona makazi ya maafisa wa NATO, lakini imeshindwa kuona location ya HIMARS hata Moja[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndugu unajua maana ya Vita?! Hata ukiamua kumpiga mkeo unaweza ukaumwa sikioni au puani au mkononi upo?!?! Russia hajaamua kuitokomeza Ukraine...Akiamua Ukraine itafutika siku mbili tu....Ngoja nikwambie kitu...mnaosema Russia itapigwa au kushindwa ni nyie humu JF lakini NATO na west yote wako worried na ndiyo maana wanaitaka Ukraine iende kwenye mazungumzo ya amani...umemsikia Jenerali mmoja mwandamizi alivyosema leo?! ..fuatiliaKwa hiyo intelijensia ya Russia imeweza kuona makazi ya maafisa wa NATO, lakini imeshindwa kuona location ya HIMARS hata Moja[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ona Sasa ulichokiandika, na bado unaendelea kujionyesha ni kwanamna gany! Wew ulivyo mjinga wa akili itakua ni species ya ng'ombe hata kuandika kwa kupangilia Vizuri tarakimu za maneno hujui na ulivyolipumbavu unajiita ndama.Kwanzaa mpunbavu ni mamayo na babayo na mke wako kama unae ukiwemo wewe mwenyewe.
Lá pili nimekutukana na nitazidi kukutukana kama utaendelea kunitukana.
Tatu mimi sikukutukuna ila nilikueleza jinsi ulivyojibu kwa hisia zako za kumkoti mtu kwakupinga kwa kejeli badala ya hoja.
Maana toka mwanzo unakuja na viroja.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hahahahha taarifa ya kuwa nazo unayo au nihii mliosema mliipiga?Hujui Himars zipo mikononi mwa Warusi wanazisoma?
Sasa wewe umeandika kitu gani chenye mpangilio wa maana?Ona Sasa ulichokiandika, na bado unaendelea kujionyesha ni kwanamna gany! Wew ulivyo mjinga wa akili itakua ni species ya ng'ombe hata kuandika kwa kupangilia Vizuri tarakimu za maneno hujui na ulivyolipumbavu unajiita ndama.
Ulikua unawashwa niny kuniquote huku umeandika utopolo ulioambatanisha na lipicha la huyo mwanajeshi. Punguzeni kuangalia porn na masturbation maana mnaua akili zenu kuzifanya ziwe na ukungu uliopitiliza hata kushindwa kufikiria Vizuri na kufanya maamuzi sahihi maishani mwenu pole Sana inaonekana hata nivyokuita wew mpumbavu nimekubeba sana.
Waliikama moja ikiwa nzima SASA hivi wanaisoma.Hahahahha taarifa ya kuwa nazo unayo au nihii mliosema mliipiga?View attachment 2417812
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Taarifa ilitoka kijitonyama?Waliikama moja ikiwa nzima SASA hivi wanaisoma.
Kama wewe ni mvivu wa kufuatilia kaa hivyohivyo.
Unajua wew mtoto wa ng'ombe uliyenusu binadamu, unamatatizo sana. Jitahidini kuacha kuangalia filamu za ngono na kufanya punyeto. Sababu mnazifunga roho zenu na akili zenu. Na ndio maana mnapoandika utopolo wenye uongo uliowazi ndani yake, mnajiona mpo sawa mkipingwa mnasema hakuna hoja.Sasa ukiona ni uongo pita kushoto njia ni nyeupe ataesoma atasoma na asiyetaka atawacha kwa vile hakuandika ili kumlazimisha mtu asome anachoandika.
Kuna uongo mwingi sana pro rusia huuleta lakni hatukanwi kama mnavyofanya nyinyi anaepinga anapinga kwa hoja kama hana anawacha anaachia wengine lakni nyinyi bado mnaendelea bifu lá matusi kwa kila leo.
Mnalipwa shilling ngapi hadi mfikie huko?
Mkidharau mtadharauliwa.
Muweze kustahimili kama vishindo hamviwezi msivianzishe.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wako wapi [emoji23]Mna washauri na Askari wa NATO humo...
Mkuu huyo Ni ndama sio binadamu wa kawaida.Kama wewe ni mvivu wa kufuatilia kaa hivyohivyo.