LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin nae ana angaika na nini kama ukraine wana msumbua... si atandike mabomu kiev pawe kama allepo tu
 
Yesterday, on the eastern outskirts of Mariupol, a group of machine gunners from the national battalion tried to leave the city through the positions of the Donetsk police, leading about 150 civilians, including children and women, in front of them, Medinsky recalled.

“Unfortunately, this is an example of how the humanitarian corridor “works” in the understanding of some Ukrainian leaders who are not subordinate to Kiev,” he said.
 
Kitendo cha kukubali miji yako kuzingirwa tiyari una kuwa umesha zidiwa na adui kilichopo ujisalimisha ni suala la muda.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mimi nasubiri baada ya vita nione vile Russia ataitawala Ukraine,hapo ndiyo nitajua kama ameshinda hii vita kweli au kajizolea shida kwa kujitakia.
 
Kitendo cha kukubali miji yako kuzingirwa tiyari una kuwa umesha zidiwa na adui kilichopo ujisalimisha ni suala la muda.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Siyo umeona raia yeyote wa Ukraine kawapokea majeshi ya Russia kwa vifijo na nderemo?si alijitia anatetea wananchi wa Ukraine mbona hakuna sehemu kapokelewa kwa shangwe mrusi?

Majeshi ya Tanzania yalipoteka Kampala na mimi mingine walipokelewa kwa vigelegele wakiitwa Bakombozi yaani wakombozi

Majeshi ya Russia kila mji waolivamia kuteka wananchi wamenuna ! Na wao walijitia kuwa wanaenda kusaidia wananchi wanaoonewa na Serikali iliyopo!! Mbona hatuoni vigelegele na shangwe miji wanayoteka jeshi la Urusi likiichukua ?Sasa walienda kumtetea nani Ukraine ?
 
Amekataa ndio Ili atumie fursa hii kupiga pesa Kwa kuwa Bei ni mbaya sokoni.
 
Nani amesema kwamba Russia wametumia chini ya 20% ya uwezo wao na nani anakudanganya kwamba hawaaribu miundombinu na kuua raia wasio na hatia. Acha propaganda bwana.
 
Mimi nasubiri baada ya vita nione vile Russia ataitawala Ukraine,hapo ndiyo nitajua kama ameshinda hii vita kweli au kajizolea shida kwa kujitakia.
Sidhani kama ataweza kuitawala maana raia hawawataki.
Ila malengo yao kwa kiasi kikubwa yata kuwa yametimia maana Ukraine haita weza tena kujiunga na Nato na wenda ikaishia kusambaratika kama iliyo kuwa Yugoslavia.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Putin spoke by phone with President of the European Council Charles Michel. We talked about Ukraine:

- The humanitarian aspects of the situation in the country were discussed in detail.

- The President of Russia outlined Moscow's position in connection with the conduct of a special operation to protect the republics of Donbass.

- According to Putin, the main threat in Ukraine comes from nationalists who use terrorist tactics and hide behind the population.

Putin called on the EU to make a real contribution to saving people and to put pressure on Kyiv to make it respect humanitarian law.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…