Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana sound balaa,huyu ndiyo mwanzilishi wa majivu pia,nimetulia nisome hadi mwisho nione kinu cha tatu kutekwa tangu jana lakini nimeambulia patupu.ni Nuclear ahahahahhaaa mzee wa sound
Mimi nasubiri baada ya vita nione vile Russia ataitawala Ukraine,hapo ndiyo nitajua kama ameshinda hii vita kweli au kajizolea shida kwa kujitakia.Kitendo cha kukubali miji yako kuzingirwa tiyari una kuwa umesha zidiwa na adui kilichopo ujisalimisha ni suala la muda.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ndio maana ya kusema mapigano yanaendelea,si kavamiwa sasa ulitakaje?Kitendo cha kukubali miji yako kuzingirwa tiyari una kuwa umesha zidiwa na adui kilichopo ujisalimisha ni suala la muda.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Siyo umeona raia yeyote wa Ukraine kawapokea majeshi ya Russia kwa vifijo na nderemo?si alijitia anatetea wananchi wa Ukraine mbona hakuna sehemu kapokelewa kwa shangwe mrusi?Kitendo cha kukubali miji yako kuzingirwa tiyari una kuwa umesha zidiwa na adui kilichopo ujisalimisha ni suala la muda.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Amekataa ndio Ili atumie fursa hii kupiga pesa Kwa kuwa Bei ni mbaya sokoni.News: Saudi Arabia imekataa ombi la United States ya kuongeza usambazaji wa mafuta kukabiliana na mfumuko wa bei( Saudi Arabia Refused to boost output of oil).
Nahisi ule umoja wao wa uzalishaji wa mafuta kuna makubaliano wamewekeana akiwemo na Urusi. Maana hadi mtangazaji anashangaa leo inakuwaje Saudi Arabia anamgomea USA kwenye ishu hii ya mafuta.
Mkuu hii video ni sasa hivi au yakipindi cha nyuma ?maana kwasasa mapogano yamesitishwa.
Nani amesema kwamba Russia wametumia chini ya 20% ya uwezo wao na nani anakudanganya kwamba hawaaribu miundombinu na kuua raia wasio na hatia. Acha propaganda bwana.Russia operation yao walishaitangaza mapema kabla ya kuingia Ukraine: Mpango wao ni kulidhoofisha jeshi la Ukraine. Ndiyo maana wanashambulia kambi, viwanda na maghala ya kuhifadhia silaha za kivita.
Ukiitizama hali ya Ukraine kuna mengi utang'amua na mojawapo ni kuwa Russia inaonekana anaihitaji Ukraine. Hivyo hawezi akaharibu miundombinu, majengo pamoja na rasilimali watu.
Ukiangalia kwa sasa hivi kuna maeneo tofauti ya Ukraine yanapatiwa msaada wa vyakula na Russia. Hakuna shughuli ya kiuchumi ambayo inaendelea Ukraine. Kuna kitu Russia anajaribu kukiwekeza kwa raia wa Ukraine.
Kuhusu ushindi/Mshindi: Nafikiri ni busara tukawasikiliza wenye ubobezi kwenye hii tasnia ya masuala ya kivita. Na wanayoyasema wakiwemo majenerali wa US ni kuwa; Russia hajatumia hata 20% ya nguvu yake ya jeshi.
Nafikiri tutosheke na hili. Ijapokuwa swali muhimu ni kujiuliza kwa nini ametumia chini ya 20% ya nguvu yake ya kijeshi(?)
Ndo hasara ya kutafuta kiki kila sehemu anadhani vita ni kucheza move?VITA NI VITAView attachment 2142175
Tupo poa kabisa hasa sisi kambi ya Zelenskyy 🤝Habari za jioni Ukrainian And Russian
Sidhani kama ataweza kuitawala maana raia hawawataki.Mimi nasubiri baada ya vita nione vile Russia ataitawala Ukraine,hapo ndiyo nitajua kama ameshinda hii vita kweli au kajizolea shida kwa kujitakia.
Chukua hiyo.Nani amesema kwamba Russia wametumia chini ya 20% ya uwezo wao na nani anakudanganya kwamba hawaaribu miundombinu na kuua raia wasio na hatia. Acha propaganda bwana.