Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo tens wanajeshi wa Ukraine walitaka kuvuka upande wa pili wa jiji LA Kherson wamezamishwa wote usikuu huu urusi imeiteka pensula ya Kherson ambayo juzi walijiondoa
Hiyo Peninsula Russia hajawahi kujiondoa Acha uongo Kaka. Na wanajeshi wa Ukraine washavuka hyo Peninsula wako Heroiske wanapambana na wanajeshi wa Urusi
 
iran imefanikiwa kupata technology ya makombora ya hypasonic kabla ya marekani marekani kila ikijaribu yanaishia kufeli 😂😂😂😂
hivi unajua unachoongea? hivi unaanzaje kuilinganisha america na iran kwenye military technology? mtu pekee anayemkaribia america ni russia mchina mwenyewe bado mtoto akasome na teknolojia zake za kucopy na kupaste, iran zaidi ya teknologia ya drone hakuna anachojua, iran unatakiwa umlinganishe na north korea, uturuki na israel.
 
Hahahaha haiwezekani kijeshi au haiwezekani kijeshi kwa warusi?!

Wenzenu washashusha paratroopers hapo! Ndani ya week 2 mpk mwezi habari tutazipata.

Msikilize hapa Professor Michael Clarke

 
MAGAIDI popote watakamo jificha hio ndio jaza yao MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawa magaidi wawili wa kirusi walivyofyekwa

[emoji635][emoji1255][emoji779][emoji779]Local authorities in Russia's Belgorod: 2 dead and 3 wounded in Ukrainian shelling targeting the city of Chepkino.

Please visit our website for more interesting articles [emoji3593]

militarycognizance.com
 
Zambia wamefanyaje MKUU !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia uchanjwe [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Popote watafyekwa tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo darsa jifunze menyewe huna elimu hata moja yakuwezakunifunza.

Kama umfanyaji wa hayo unayoyataja mda wote ni kwako mwenyewe. Maana ndio hoja zako.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Zitapigwa mabomu mpaka magaidi yatakapo badili maficho
Kama hawa magaidi walivyopigwa mabomu

[emoji635][emoji1255][emoji779][emoji779]Local authorities in Russia's Belgorod: 2 dead and 3 wounded in Ukrainian shelling targeting the city of Chepkino.

Please visit our website for more interesting articles [emoji3593]

militarycognizance.com
 
Ndama ni aliyekuzaa akapatikana ngurue wewe msenge mmoja usiyejuwa adabu kumalyamamayo.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Pro Ukraine amechafukwa na kuanza kutukana ovyo kama chizi baada kupigwa Spana za kichwa na Pro Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga hao kenge
 
Ukraine yalipiza kisasi Kwa kushambulia ndani ya Urusi Belgorod na kuua wawili

[emoji635][emoji1255][emoji779][emoji779]Local authorities in Russia's Belgorod: 2 dead and 3 wounded in Ukrainian shelling targeting the city of Chepkino.

Please visit our website for more interesting articles [emoji3593]

militarycognizance.com
 
Wote hao wanatukanana hakuna cha Pro Nani wala Nani. Na sioni haja ya kutukanana yaani vita apigane Putin na Zelenksy halafu Mimi nianze kutukanana. Doh! Wadau punguzeni hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…