Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Wacha tuoneKama kweli kafanya hvyo basi hawatamfanya lolote hao NATO zaidi ya vikao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa wanahitaji ADS zinazoona mbali au wapewe nyingi hizo za short rangeYaani Kwa mvua ya Makombora ya Leo Ukraine isingekua na air defense systems wangechakaaaa kama mbwa Koko.
Makombora 70 yametunguliwa.
ulaya yani Nato ilijiunga sababu ya Soviet Union na sio Russia, kazi mojawapo ilikua ni kuvunja nguvu ya ushawishi wa kisoviet na kuweka ushawishi wao, na hilo walifanikiwa, wakaivunja soviet, sasa hivi soviet wao kwa wao wanapigana, sasa hivi nchi za ulaya mashariki karibu zote zinaitaka NatoHuyo Russia unaem underestimate ndio yule mbabe wa ulimwengu ambaye kila taifa lenye dalili za kuwa na umagharibi humuogopa.
Ni Russia TU inayosababisha Ulaya nzima ijiunge na NATO ili angalau kujihakikishia usalama.
Kwenye ishu ya silaha Hakuna kifaru ambacho hakidunguliki kwa ATGM.
Hakuna ndege Vita isiyodungulika kwa MANPADS.
Hakuna artillery yoyote ya kirusi Wala ya Kimarekani isiyoua.
Nb kwenye ishu Kama za magari West wako mbele Sana na si sababu ya kuidunisha Russia kwenye hiyo sekta.
Russia inazalisha kila aina ya magari Malory , mabasi nk
Russia Ni mzalishaji mkuu was mbolea duniani.
Russia Ni mzalishaji wa kutegemewa ngano worldwide.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
NATO hawawezi kujiingiza mazima kumbuka hata Turkey ambae ni NATO member iliwahi tungua ndege ya Urusi na kuua marubani wote wawili na hakuna kitu ambacho Russia ilifanya zaidi ya Putin kutoa hotuba ya vitisho tu.Wacha tuone
Ila Poland anamtamani sana Russia, naona Russia anataka kuiumiza dunia. Maana Poland akijibu, Russia anafungulia, Poland atawaomba NATO waingilie. Nukes zitafuataNATO hawawezi kujiingiza mazima kumbuka hata Turkey ambae ni NATO member iliwahi tungua ndege ya Urusi na kuua marubani wote wawili na hakuna kitu ambacho Russia ilifanya zaidi ya Putin kutoa hotuba ya vitisho tu.
Ngoja tusubiri majibu kutoka NATO maana mlikuwa mnatuambia kuwa siku akimgusa mwana chama basi Urusi atachakaa ngoja tusubiri tuone Putin anavyo ikimbia Moscow.Naona Russia kapiga makombora 2 Poland
Poland wameitisha kikao cha dharura
Mkuu, kama Mungu ameweka kitu chochote katika nafasi baina ya masikio yako, jaribu kukitumia. Ndiyo, kama umefaulu kupiga mitambo ya kugawa umeme katika siku zilizopita, kila mfululizo wa milipuko katika mji mkubwa utakata tena nyaya kadhaa na kusababisha giza. Nilidhani Mtanzania hahitaji maelezo, jinsi gani kuanguka kwa nguzo na kukatwa kwa nyaya kunaweza kuleta giza ???We upo dunia gani kwani, mi naongelea leo.kwani una habari kuwa watu leo wapo gizani
Sio rahisi kama unavyofikiria Mkuu.Ila Poland anamtamani sana Russia, naona Russia anataka kuiumiza dunia. Maana Poland akijibu, Russia anafungulia, Poland atawaomba NATO waingilie. Nukes zitafuata
kama hujui chanzo chá haya ni bora ungeliuliza.Pro Ukraine amechafukwa na kuanza kutukana ovyo kama chizi baada kupigwa Spana za kichwa na Pro Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga hao kenge
Kabla hatujaenda mbaliWacha tuone
Hawanalolote hao mapimbi NATO imejaa wanamgambo tuLeo NATO imepewa kichapo sasa tusubiri mrejesho
View attachment 2417983
[emoji23][emoji16][emoji23]Ila Poland anamtamani sana Russia, naona Russia anataka kuiumiza dunia. Maana Poland akijibu, Russia anafungulia, Poland atawaomba NATO waingilie. Nukes zitafuata
Atajibiwa accordingly, unataka amkimbize mtu kwa makombora mawili.Ngoja tusubiri majibu kutoka NATO maana mlikuwa mnatuambia kuwa siku akimgusa mwana chama basi Urusi atachakaa ngoja tusubiri tuone Putin anavyo ikimbia Moscow.
Ngoja tusubiri.Atajibiwa accordingly, unataka amkimbize mtu kwa makombora mawili.
Atapata jibu kulingana na alichokifanya[emoji16],
Uko vizuri kichwani. Safi kwa jibu zuriulaya yani Nato ilijiunga sababu ya Soviet Union na sio Russia, kazi mojawapo ilikua ni kuvunja nguvu ya ushawishi wa kisoviet na kuweka ushawishi wao, na hilo walifanikiwa, wakaivunja soviet, sasa hivi soviet wao kwa wao wanapigana, sasa hivi nchi za ulaya mashariki karibu zote zinaitaka Nato