LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
FIFA may postpone the play-off between Russia and Poland to June

About this writes the publication Interia. It is reported that the International Football Federation is trying to find a way out so as not to exclude the national team from the qualification of the world championship.

One of the options is to postpone the meeting with Poland until June.

At the same time, the opponent's press officer Jakub Kwiatkowski stressed that FIFA has not yet informed PZPN about the fate of the joint.
 
Hapo malengo yatakuwa hayajafanikiwa kama ni hivyo.Hakukuwa na maana ya kwenda kupigana kama unajua mwisho wa siku huwezi kuwacontrol hao uliokuwa unapigana nao baada ya kuwashinda.Watarudi pale pale na malengo yao watayaendeleza.Nilimwelewa member mmoja alicomment hapa,kwa nini Putin hakutumia indirect way ya kuwafitinisha Ukraine wakagombana wao kwa wao ili apenyeze agenda yake kati kati ya mgogoro badala ya hii direct confrotation ambayo kawapa mwanya rahisi mahasimu wake wa kumwadhibu kwa vikwazo.
 
A number of EU countries, including Germany and the Netherlands, oppose granting Ukraine candidate status for membership this week - Bloomberg.
 
Acha kutujazia server na mapicha picha yako ya kijinga asee kama vip wewe toa taarifa zako za ukweli!!
 
Acha propaganda twambie Russia ameachieve nini cha maana mpaka sasa katika hii vita ukiniuliza mimi nitakwambia mpaka sasa Ukrai ndo mshindi maana kaweza kuilinda kwa nguzu zote mipaka ya Ardhi vip kwa Russia mvamizi yeye kagain kipi cha maana kwenye hii vita mpaka sasa
 
OPEC+ huwa wanapenda bei ya mafuta ipande. Ukiongeza uzalishaji soko linakuwa saturated bei inashuka, ukipunguza uzalishaji bei inapanda. Wao wanapata hela zaidi wakizalisha mafuta kidogo kuliko wakizalisha mafuta mengi. Mwaka 1973 Waarabu walipovamia Israel nayo ikapewa silaha nyingi kutoka Marekani, Waarabu wa OPEC wakaweka mgomo wa kuiuziamafuta Marekani na yakapanda bei duniani. Marekani iliteseka mwaka huo na ndio chanzo cha kupotea sokoni kwa ndege zenye injini nne na mashirika giants kama PanAm Air (hili lilikuwa CocaCola ya hewani, kama hulijui basi hujui shirika lolote) yakafirisika, kampuni kama Boeing ikazidi kuuza maana ilikuwa na ndege nyingi za injini mbili ambazo hazili sana mafuta. Marekani kuanzia hapo ikajikaribisha na Middle East kuhakikisha usalama wa nishati yake.

After that Marekani ikawa na vibaraka kwenye OPEC (ambayo inasimamiwa na Saudi Arabia ndio maana Russia na wengine hazikuwepo ila zilikuja baadae kama OPEC+ ambayo Russia huwa ni mbishi mara nyingi). Mafuta yaliongezeke kuzalishwa, yakawa mengi sokoni na yakashuka bei miaka ya 80s, Soviet Union ikapungua mapato ikazidisha uchungu kwenye mgogoro wake mpaka kuanguka. Saudi Arabia hasa Royal family haina kauli sana mbele ya Marekani wakikaa mazungumzo wanaweza tatua shida zao, OPEC ni Saudi Arabia, OPEC+ ni independent wakileta ubishi wote dunia ufurahia maana kila mtu huzalisha kadri awezavyo hapo Iran anaweza pump hata mapipa milioni 2 kwa siku.

Ubishi wao huwa haudumu Marekani ina fracking technology ambayo ni expensive ila mkipandisha sana mafuta mnafanya wazalishaji wa Marekani wa-activate mitambo yao wakishaona watapata breakeven. Na wakifanya hivyo, OPEC+ inashusha uzalishaji ghafla kuwakomoa wale hasara. Ni mwendo wa kutegeana
 
Mipaka gani iyo unaongelea ndugu maana sehemu kubw za mipani zipo chini ya warusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…