Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna cha kumuwahi wala nini,bali ni tamaa ya putin kuteka ardhi na kudhani angeteka ukraine na kuiunganisha urusi hivyo vingine ni visingizio tu na ndio maana alipoonza kuteka maeneo ukraine alianza kujifananisha na peter the great,lakini bahati sio yake lazima ataachia tu na hatakaa afanane na peter the great milele labda cha kufanana na peter the great ni ukatili tu hakuna zaidi.
 
Tumepiga Poland kama Poland ilivyo na majeshi Ukraine MNASEMAJE SASA . Mengine ni diplomasia tu Ukweli tumewapiga mjichanganye tuwape kale ka nuke technical
Ukraine wenyewe wanasema wao ndo walirusha hayo makombora

Urusi kakanusha hadharani kuhusika na urushaji wa hayo makombora

Marekani kasema urusi hajahusika

Wewe ndo unaforce uhusika wa urusi??
Mmechakazwa front line, Sasa mnatafta kichaka Cha kujifariji [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tumepiga Poland kama Poland ilivyo na majeshi Ukraine MNASEMAJE SASA . Mengine ni diplomasia tu Ukweli tumewapiga mjichanganye tuwape kale ka nuke technical
Unataka kusema kweli Urusi supapawa ilitumia roketi cruisemissile yenye gharama ya sijui milioni ngapi dolar kulenga na kuharibu trela ya trekta (yenye thamani ya $ 2000) ili kuadhibu Poland ??
Menginevyo unajisikia mzima???
Haya kama wewe uliamua hivyo (maana ulisema "tulipiga"), hongera, tafadhali endelea!
 
Jamaa Kwa Sasa wanatafta excuse yeyote Ili mradi tu kuficha aibu ya kipigo wanachotembezewa huko front line [emoji2][emoji2][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yes Kama ambavyo Russia aliingia Ukraine akachuku Crimea kwa nguvu and nothing happened. Ameingia Ukraine amechukua majimbo karibia manne hadi sasa hakuna aliyerusha hata manati Russia.
Ukraine ni NATO?
 
Ww jamaa siku hizi una hoja nyepesi sana.

Kwa hiyo kuanzia sasa tukubaliane kuwa Marekani ni kibonde wa Iran maana Mpaka sasa Iran imesha zidungua drone za Marekani na si chini ya 5 tena drone za gharama.
Drone hazina watu, Marekani ina zaidi ya $600 billion bajeti ya kijeshi kwa mwaka. Kuangusha drone mbili hauipunguzii chochote. Marekani kaua Jenerali wa Iran na imeufyata.

Kama China tu imeogopa kumgusa Spika wa Bunge Marekani sembuse hiyo Iran. Kuna nchi inaweza kujaribu kumgusa four star General wa Marekani?

Sasa Israel mbona hizo drones za Iran huwa inaharibu kila mwaka. Yani hata huu mwaka kabla haujaisha, kuna silaha za Iran zitapigwa na Israel. Siku sita zilizopita na hakuna kitu Iran itafanya
 
Iran level nyingine dogo makamanda .Iran iliwapa Lebanon mafunzo na mbinu za kitoto Hezbollah hatimaye Israel ikasalimu amri mbele ya waarab wa Lebanon


Nenda kasome operation bint jubeil kwanza uache maneno mengi
 
Mbona umekuwa Mtabiri..

Kutafuta ukubwa na ushawishi ndo tabia za hizi nchi kubwa.

Ukiwa tishio kwa nchi zao wanakuahughulikia.

Si US si EU na wala Si Russia almost wote wako hivyo.

Nachomaanisha Ukraine kaingia chaka akiamini hao wakubwa watapigana kwa ajili yake. Hiyo mikopo anayopewa atalipaje na atalipa lini???
 
Hapa ni kwamba Poland wametokwa ni kimbelembele.....
Bila Urusi kushambulia Ukraine..na Ukraine kujaribu kulipua hilo kombora ...hao wapoland wawili wasingelikufa....
Indirectly Russia kahusika kabisa na mauaji hayo...

Tulitarajia Poland angekuwa mkali sana kwa kumlaumi Mrusi kwa kusababisha maafa kwake kupitia vita vya Ukraine...
 
Hlo kombora gani na watu wawili tu. walikuw shamba au? Au ni baruti? Manake kombora letu moscow linatabia ya kusepa na kijiji.
Habha haa.

Punguza unazi, makombora yenu yanakata Umeme na miundombinu ya Nishati zingine.

Ila hilo Kombora maajabu wanaweza kuwa CIA, MI5, FSB au Mossad . Haya mataifa makubwa ya kingese sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…