Wewe unaharibu mada ya jamaa...hatutaki mipasho humu...tunataka tuone wachangiaji huru wenye data na maoni kwa ajili ya kujifunzaNaunga mkono hoja,ingawa Russia amejifunza kitu ukraine maana alichoyegemea na alichokikuta ni mbingu na ardhi kwa sasa anatapa tapa kuokoteza visiraha kwa nchi maskini kama korea kaskazini,kwa hakika hatawahi kumvamia jirani yeyote,dharau zimemwishia.
Mkuu unasema kweli. Kulaumu watalaumu Urusi. (katika ugomvi hutaki kukosa nafasi ya kualumu, sivyo?) Ila tu ilhali wote wanaelewa ilikuwa aina ya "ajali", hakuna anayetaka kupeleka jambo kwa ngazi ya juu zaidi. Labda wataandika barua kudai fidia, ambayo wanajua hawatapata . . .Hapa ni kwamba Poland wametokwa ni kimbelembele.....
Bila Urusi kushambulia Ukraine..na Ukraine kujaribu kulipua hilo kombora ...hao wapoland wawili wasingelikufa....
Indirectly Russia kahusika kabisa na mauaji hayo...
Tulitarajia Poland angekuwa mkali sana kwa kumlaumi Mrusi kwa kusababisha maafa kwake kupitia vita vya Ukraine...
Nyingine hiyo mwezi jana. Yani Israel kushambulia silaha za Iran ni kama kucheza online game. Muda wowote wakijisikiaIran level nyingine dogo makamanda .Iran iliwapa Lebanon mafunzo na mbinu za kitoto Hezbollah hatimaye Israel ikasalimu amri mbele ya waarab wa Lebanon
Nenda kasome operation bint jubeil kwanza uache maneno mengi
Taharifa zilizopo ni kwamba super pawer wa mchongo ataendelea kuchazwa mpaka ateme bungo[emoji16][emoji16]Ebu nipeni taarifa ya kikao cha NATO.nini kimeamuliwa au jeshi lishaingia moscow[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku nyingine ukitaka ku argue na mimi kaa na notisi kabisa.Kwahiyo tufanyeje. Tumfufue Saddam Hussein?
Nasikia Urusi kashapanga kabisa kujenga soko kuu la watumwa pale London.tukitaji watumwa wa kizungu tunaenda kujinunulia, nasisi tulipize kisasi kama walivyowafanyia wazee wetu hao mbwa miaka ya nyuma.Taharifa zilizopo ni kwamba super pawer wa mchongo ataendelea kuchazwa mpaka ateme bungo[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pale umeuliza swali la kipuuzi. Unauliza kama Libya na Iraq zilikuwa NATO. Sasa hii hata tumlete class 7 kweli atafikiria Libya au Iraq kuwa na uwezekano wa kuwa wanachama wa NATO. Mtu kama wewe ndio unataka nije na notisi, elimu bure haijakusadia?Siku nyingine ukitaka ku argue na mimi kaa na notisi kabisa.
T14 Armata ebu tupeni jibu la kueleweka maana tunashindwa hata kufanya mambo mengine kwa sababu yenu.Pale umeuliza swali la kipuuzi. Unauliza kama Libya na Iraq zilikuwa NATO. Sasa hii hata tumlete class 7 kweli atafikiria Libya au Iraq kuwa na uwezekano wa kuwa wanachama wa NATO. Mtu kama wewe ndio unataka nije na notisi, elimu bure haijakusadia?
Wakati huo Putin atakuwa huko uholanzi akijibu mashtaka[emoji848][emoji848]Nasikia Urusi kashapanga kabisa kujenga soko kuu la watumwa pale London.tukitaji watumwa wa kizungu tunaenda kujinunulia, nasisi tulipize kisasi kama walivyowafanyia wazee wetu hao mbwa miaka ya nyuma.
Yani huu mwaka ni raha tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuweka kumbukumbu sawa,Iran hakuufyata Bali alirespond Kwa kupiga Kambi ya kijeshi ya US!Drone hazina watu, Marekani ina zaidi ya $600 billion bajeti ya kijeshi kwa mwaka. Kuangusha drone mbili hauipunguzii chochote. Marekani kaua Jenerali wa Iran na imeufyata.
Kama China tu imeogopa kumgusa Spika wa Bunge Marekani sembuse hiyo Iran. Kuna nchi inaweza kujaribu kumgusa four star General wa Marekani?
Sasa Israel mbona hizo drones za Iran huwa inaharibu kila mwaka. Yani hata huu mwaka kabla haujaisha, kuna silaha za Iran zitapigwa na Israel. Siku sita zilizopita na hakuna kitu Iran itafanyaView attachment 2418805
Sio vibaya kuwa na ndoto!Wakati huo Putin atakuwa huko uholanzi akijibu mashtaka[emoji848][emoji848]View attachment 2418845
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi hizi picha hua unatoa wapi Kaka?![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2418807
Hapa tupo zetu viunga vya izyum
Nje ya mada mbona..Muda bado tulia wewe pro-Russian...
Kiranja wa dunia akuandalie mianzi ya moto