LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Analyst: Baada ya hii vita kuna NEW ORDER itaanza

1. Hungary kakaataa kupitisha majeshi ya NATO kwenye ardhi na kusema haiusikii na hii vita

2. Brazil amepingana na EU kuhusu swala la vikwazo, na kusema itaendeleza mahusiano ya kibiashara na Russia.

3. India wapo kwenye trial ya kuanzisha mfumo mpya usiotegemea Dollar na kutumia Rupee na Ruble ili kuendeleza biashara na Russia.

4. Israel wamegoma kuonesha umoja wao na Ukrain maana Russia anashikiria maslahi ya Israel kule Syria

5. China wapo kwenye ku update mfumo wa union pay uanze kutumika kote Dunia kwa yyte atakayetaka kufanya biashara na Russia

6. France anapingana na US na NATO na kusema mawazo ya NATO yanaendeshwa na US na hii inapelekea vita kuwa kubwa hivyo ikaamua kutumia njia zake za kidiplomasia kuwasiliana na Russia bila baraka za US.

7. Russia kuanzisha mfumo wake wa malipo ya oil na gas hata kma vikwazo vikiondolewa.

8.Russia na washirika wake kuanzisha mashirika na idara za kimataifa kama ilivyo umoja wa mataifa baada ya China na Russia kuilalamikia baadhi ya mashirika hayo kuwa ni baraka wa marekani na yapo kutimiza matakwa ya marekani.

9.Uturuki kugoma kufunga bahari yke na kusema hawezi kuharibu mahusiano yake na Russia

10.Russia kuongeza uzalishaji wa silaha za juu na kuuzia washirika wake ikiwa ni njia ya kuwapatia nguvu washirika wake ili watengeneze umoja wenye nguvu
 
Acha kutujazia server na mapicha picha yako ya kijinga asee kama vip wewe toa taarifa zako za ukweli!!
Nafahamu tumekulia mazingira tofauti. Ikiwa hayo ndiyo makuzi uliyolelewa na walezi wako ni sawa. Yafaa kutumia lugha ya kati kwa kati. Ila lugha unayoitumia wewe inatufanya tuwafikirie waliyokulea.
 
Zelensky fala sana, comedian, kauzwa na NATO, kaingia mkenge kadanganywa, kaachwa kwenye mataa, sasa anapigika, ndio ajifunze, Rais akiwa comedian akili hakuna kabisa, anajua maisha ni kama comedy tu. Acha ashughulikiwe.
Unaweza elezea ameuzwaje?
 
The Ministry of Defense analyzed documents on the military biological activities of the United States in Ukraine. The main thing:

- in Ukraine there was a network of more than 30 biological laboratories. The customer of the work is the US Department of Defense Defense Threat Reduction Office (DTRA);

- in Lviv, 232 containers with the causative agent of leptospirosis were destroyed, 30 - with tularemia, ten - with brucellosis, five - with plague, in total - more than 320 containers;

- in 2020-2021, the German Ministry of Defense studied the pathogens of the Crimean-Congo hemorrhagic fever, leptospirosis, meningitis, hantaviruses there;

- The Ministry of Health of Ukraine set the task from February 24 to completely destroy the bioagents in the laboratories;

- curators from the Pentagon understand that if these collections get to Russian experts, then with a high degree of probability a violation by Ukraine and the United States of the Convention on the Prohibition of Biological and Toxin Weapons will be confirmed.

 
Hungary will not support the expansion of anti-Russian sanctions on the energy sector, as this is the greatest threat to the national currency and the Hungarians, the country's Ministry of Finance said.
 
Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yake

Acha uongo watu wanachat kama kawa haha walichofunga tiktok tu
 
View attachment 2142294
Naombeni kujua Russia ina matatizo gani?Naanza kupatwa na wasiwasi sana nilikua naamini ni nchi yenye nguvu sana.Ni nn hasa kinaendelea?hii mbn aibu?
Haya ni maneno ya kwenye kanga ila ukija uwanjani warusi wanasonga mbele, wala hakuna hata dalili ya kurudi nyuma.muda sio mrefu tutatangaza umiliki wa kinu cha 3.na kufanya tuwe tuna miliki 75% ya umeme wa ukraine.
 

Ukrainian forces have retaken Mykolayiv regional airport, local official says​

Ukrainian forces have recaptured the regional airport in Mykolayiv, southern Ukraine, from Russian troops, according to the region’s governor.

“The roads are open, we control the bridges, you can safely leave Mykolayiv [city] and other towns,” Vitaliy Kim said in a televised statement.

Hii vita hadi Russia waanze kupigana wenyewe kwa wenyewe
 
Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yake
Raisi wako mpendwa ame wagomea raia wa kigeni kuondoka wakiwemo watz wenzako sijui anataka kuwatoa kafala ?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
"Raise your words not your voice. It is rain that grows flowers not thunder."

Unaonekana haufuatilii wala kutizama taarifa za habari!

Putin kwenye hotuba yake aliyolihutubia Taifa lake na dunia kwa ujumla alisema kitakachofanyika Ukraine ni ".......special military operation"

Akasema "....it is not our plan to occupy the Ukrainian territory"

Kuliweka wazi zaidi lengo akasema "...to this end, we will seek to demilitarise and denazify Ukraine"

Hivyo brother, wewe unaandika na kujenga hoja kwa mizuka ya fikra yako na wala si kwa uhalisia wa kilichowekwa. Na huu ni mojawapo ya uraibu wa kutotaka kujishughulisha.

Kabla ya kunikosoa au kunijia na hoja jishughulishe kwanza. Mbali na hilo samahani kama lugha iliyotumika ni kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…