Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Yani Russia Vita vya ardhini ni weupe,hapo Bakhmut zaidi ya miezi miwili sasa wameshindwa kusonga mbele na kuuteka huo mji Licha ya kua na Artilleries nyingi na wanajeshi wengi zaidi kushinda Ukraine.