Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hujui mgogoro ulianzaje, Ukraine walikuwa wanataka kuanza mchakato gani???

Hujui... Au unaleta pumba zako, kabla ya uvamizi Russia alionya mara ngapi mchakato huo..

Kama una hoja leta hoja jibu kwa hoja na kuwa mkweli
Huyo utachoka kumwelewesha,
Humu anamuamini mtu mmoja TU,ambae humu Sasa haaminiki..
Ukimuelimisha Leo kesho Tena atakuuliza swali hilohilo.
Usije ukasema sikukutahadharisha.

Mimi nakuelewa sana lkn huyo utakesha.
 
Ivi Marekani siku hizi haipo?

Maana mara ya mwisho Meli kadhaa na Aircraft carrier za Marekani zilikua zinaenda kuipiga NOKO kwa kites makombora yake,mara ghafla ule msafara ukageuza mwelekeo na kupelekea Indonesia na baadae kusababisha ajali na meli za kiraia.
Wakati Donald Trump alishatuhakikishia kua safari hii NOKO itapigwa na kumwita Kim kiduku Mr rocket,Huku akisema "all options are on the table".

Sasa hivi Rocket man anajirushia TU makombora yake Huku wakiwa madirishani wakimchungulia TU.

Ama kweli zama za USA zimeshafika mwisho
 
Kwanza marekan wana internal conflict, huko wao kwa wao haelewani thus trump alishindwa maana wenyewe walikuwa hawamtaki.
 
Njia pekee ni kumuomba msamaha PUTIN tu, wala hakuna kingine cha ziada
80% ya waUkraine hawasapoti negotiations na Russia wanasapoti majeshi Yao kuendelea na operation ya kumuondoa mvamizi Kwa gharama yoyote ikiwemo kukosa maji na Umeme. Kama unadhani kuna siku Ukraine wataenda kupiga magoti kwa Putin, utasubiri mpaka kiama.
 
Unajua kusoma?hao wanazi wameua wanajeshi waliosalimu amri watalipia hiyo damu.
Hii video ni faida kubwa sana kwa urusi [emoji1787]kwanza imewapa sababu ya kufanya unyama zaidi ,pia imesaidia askari wa urusi kuto kujisalimisha tena hasa wale wasio taka kupigana maana wanajua watauliwa hata wakijisalimisha.
 
Back
Top Bottom