These are just cooked figures....Nov.19 update on russian losses in the warView attachment 2420764
Could you also update figures for Ukraine losses??!! You are also allowed to cook
These are just cooked figures....Nov.19 update on russian losses in the warView attachment 2420764
Unajua kusoma?hao wanazi wameua wanajeshi waliosalimu amri watalipia hiyo damu.Haya hawa wajeda walisalim amri mjinga mwezao alijifisha akataka kushambulia wanajeshi wa Ukraine ndio ikawa mwisho wao wote View attachment 2421039
Na hapo,Gen ameongea kwa busara sana ili asionekane msaliti au kuitia aibu Serikali yake kwa kua yenyewe ndio kinara wa kupeleka silaha Ukraine amabazo kwa kweli zinaliwa na moto wa Urusi.Mkuu wa Majeshi ya Marekani, Jenerali Mark Milley anasema Kyiv inaweza tu kutumainia suluhu za kisiasa
Uwezekano wa Ukraine kupata ushindi wa karibu wa kijeshi dhidi ya Urusi si mkubwa, Jenerali huyo wa ngazi za juu huko Marekan ameonya. "Nimegundua kuwa licha ya maendeleo ya hivi karibuni ya Kyiv kwenye uwanja wa vita na kutekwa kwa jiji la Kherson, Moscow bado ina uwezo mkubwa wa mapigano nchini humo."
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari huko Pentagon siku ya Jumatano, Milley alisema kwamba "uwezekano wa ushindi wa kijeshi wa Ukraine unamaanisha kama kuwafukuza Warusi kutoka Ukraine yote ikiwemo kujumuisha madai ya kuirudisha Crimea, uwezekano wa kutokea hilo wakati wowote hivi karibuni ni mdogo kijeshi."
Jenerali huyo alibainisha, hata hivyo, kwamba kuna uwezekano wa "suluhisho la kisiasa" ambalo lingeiona Urusi ikijiondoa katika maeneo ambayo Ukraine inadai kuwa ni yake, na kuongeza kuwa Urusi "imekaa chini hivi sasa haijasimama kupambana kwa nguvu zote" na kwamba Ukraine inahitaji mazungumzo kutokana na "advantage ya uwezo iliouonesha mpaka sasa."
Milley pia alisisitiza uungaji mkono wa Washington kwa kyiv na kuapa kuendelea kwa muda mrefu kama ikibidi - kauli ambayo iliungwa mkono na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin, ambaye pia alishiriki katika mkutano huo na waandishi wa habari.
Du!HUKO Mchambawima mnaweza haya!?
🇷🇺 Russian hackers from Killnet hacked the White House website
According to them, the test attack on the resource of the administration of the American president was extremely successful - for some time the site was completely unavailable.
Kiboko ya mashogaVladmir Putin
Sergio Lavrov.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mrusi alishapigana vita zaidi ya miaka 8!
Mwanzo walisema Urusi hawezi tonoa Miezi 6,Sasa wanakuja na kauli uchwara!Jiandaeni tu kisaikoloji,yaani mrusi anaweza pigana hii vita mpaka mtoto aliyezaliwa Leo anaenda kuanza darasa la kwanza!
Ungemuacha tu MKUU usingempa hii elimu ya bure ungemuacha tu ajione mach nooaya ya mwisho, nenda kajifunze kuhusu mikataba ya vita.....
si ruhusa kumuua kiongozi, mwanadiplomasia au gvt offical yeyote unayepigana nae..........
ndio mana viongozi wengi wa marekani na ulaya wameenda sana kiev bila kushambuliwa, tena kwa taarifa yako urusi hupewa taarifa ya 'ziara' za viongozi hao kabla hawajaenda kiev......... ni sheria za vita, huwezi kuwashambulia
Safi sana, kumbe Russia na wao wana surrenderUKRAINE TROOPS MASSACRE SURRENDERING, DIS-ARMED, RUSSIANS LAYING FACE-DOWN ON GROUND
Published 18 NOVEMBER 2022
![]()
Ukrainian Nazi troops have committed a war crime of slaughtering surrendering Russian Troops. The Russians were dis-armed, laying face-down on the ground, when Ukrainian Nazis opened fire upon them, killing them all. Video of the slaughter appears below . . .
According to sources on the scene, soldiers from the Ukrainian 80th Separate Airborne Assault Brigade, committed the murders. According to eye witnesses, the names and surnames of the killers are known and the information has been passed to the Russian Army.
The Russian Ministry of Foreign Affairs has issued a statement: "The Russian Federation demands, from International Organizations, to condemn the crime of Ukraine, with the Execution of Russian prisoners of war, and conduct an investigation."
Here now is actual video of the Russian soldiers SURRENDERING. CAUTION: GRAPHIC VIDEO SHOWING ACTUAL WAR CRIME DEATHS! Viewers will see the Russians are dis-armed, and laying face-down on the ground, when the Ukrainians open fire and kill them all:
Bear in mind that the Ukraine Army is the one being backed by the United States and by the European Union. That Ukrainian Army is carrying out cold-blooded murder, in the name of, and with the direct help of, the people backing them.
Is THIS what YOU thought your government was backing? It is!
UPDATE 8:08 PM EST --
The video above is now confirmed to have been recorded in Makiivka, in the Luhansk region of eastern Ukraine.
Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Russian Federation Council (i.e. their "Senate") has publicly spoken about this:
"I was taught at the university many years ago criminal law. And they said that criminal punishment consists of two elements: punishment, on the one hand, and conditions for the correction and re-education of the guilty person, on the other. And only the death penalty is a pure punishment for obvious reasons. According to the principle of "life for life", known since the Old Testament times (Leviticus, 24:20).
The Ukrainian bastards who shot Russian servicemen should not suffer any other punishment, except for what is pure punishment. Even if it takes years to find them."
Muda mwengine muwaache na kujua kwao wakat hawajuiFanya Tafiti kwanza mzee Unabwabwaja tu.
Urussi amesaini New York convention ya mwaka 1973 inayohusu Protection of diplomats.Inazuia pia kuua Head of states katika vita (Targeted Killing)
Hawawez kumtarget Zele na kumuua. Labda wamkamate na kumshtaki ktk mahakama zao!.. Rejea Saddam Hussein pia.
Kasime hiyo New York Convention kwanza!...
Dah upo shallow hivyo then unashupaza shingo!..
Akihutubia Kherson , Kremlin , FSB na jeshi nao walikuwa live wanaangalia hotuba, waliua alipo coz alihutubia kama dk 10. Wangeweza kivurumisha mvua ya makombora hapo wammalize. Next ingeharibu Diplomasia mpaka na Marafiki zake ambao wamesaini hiyo Convention ikiwemo China , Brazil na India. (180 states walisaini)
Rudi tena mzee
Waache wangojee RUSSIA kushindwa kwakuishiwa silaha [emoji16][emoji23][emoji16]Mrusi alishapigana vita zaidi ya miaka 8!
Mwanzo walisema Urusi hawezi tonoa Miezi 6,Sasa wanakuja na kauli uchwara!Jiandaeni tu kisaikoloji,yaani mrusi anaweza pigana hii vita mpaka mtoto aliyezaliwa Leo anaenda kuanza darasa la kwanza!
Warusi wanaojisalimisha wanalambishwa mchanga kila siku bwashee,Wala hao sio kwanza.., tunaposema dikteta Putin lazima alipie ghalama ya uvamizi ndo kama hivyo.., lazima wapigwe kama mbwa..,Wala hawastahili kupewa hadhi ya ubinadamu.., ubaya waliuanza wao,Unajua kusoma?hao wanazi wameua wanajeshi waliosalimu amri watalipia hiyo damu.
Mbona kidogo sana hawa [emoji35][emoji4][emoji34]BBC naona wameanza kupona ule ugojwa wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2420356
Ndio ndio ghalama ya uvamizi hiyo.., viongozi wa dunia walipokuwa wakipishana mascow wakimsihi Putin asivamie ..,yeye alijawa kiburi na kujiona kidume, kumbe watu wameshapitia vita na wanayajua madhila ya vita, apambane na Hali yake Sasa[emoji848]UKRAINE TROOPS MASSACRE SURRENDERING, DIS-ARMED, RUSSIANS LAYING FACE-DOWN ON GROUND
Published 18 NOVEMBER 2022
![]()
Ukrainian Nazi troops have committed a war crime of slaughtering surrendering Russian Troops. The Russians were dis-armed, laying face-down on the ground, when Ukrainian Nazis opened fire upon them, killing them all. Video of the slaughter appears below . . .
According to sources on the scene, soldiers from the Ukrainian 80th Separate Airborne Assault Brigade, committed the murders. According to eye witnesses, the names and surnames of the killers are known and the information has been passed to the Russian Army.
The Russian Ministry of Foreign Affairs has issued a statement: "The Russian Federation demands, from International Organizations, to condemn the crime of Ukraine, with the Execution of Russian prisoners of war, and conduct an investigation."
Here now is actual video of the Russian soldiers SURRENDERING. CAUTION: GRAPHIC VIDEO SHOWING ACTUAL WAR CRIME DEATHS! Viewers will see the Russians are dis-armed, and laying face-down on the ground, when the Ukrainians open fire and kill them all:
Bear in mind that the Ukraine Army is the one being backed by the United States and by the European Union. That Ukrainian Army is carrying out cold-blooded murder, in the name of, and with the direct help of, the people backing them.
Is THIS what YOU thought your government was backing? It is!
UPDATE 8:08 PM EST --
The video above is now confirmed to have been recorded in Makiivka, in the Luhansk region of eastern Ukraine.
Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Russian Federation Council (i.e. their "Senate") has publicly spoken about this:
"I was taught at the university many years ago criminal law. And they said that criminal punishment consists of two elements: punishment, on the one hand, and conditions for the correction and re-education of the guilty person, on the other. And only the death penalty is a pure punishment for obvious reasons. According to the principle of "life for life", known since the Old Testament times (Leviticus, 24:20).
The Ukrainian bastards who shot Russian servicemen should not suffer any other punishment, except for what is pure punishment. Even if it takes years to find them."
Si mbaya, ngoja super pawer wa mchongo aipatepateKuna mlipuko umetokea St Petersburg, bomba la gesi limelipuka....