Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Ukraine hawataki mazungumzo,wanataka ziendelee kuchapwa kwa battlefieldNjia pekee ni kumuomba msamaha PUTIN tu, wala hakuna kingine cha ziada
Watalipa damu ya watu wasio na hatia haiwezi kwenda hivihivi.Warusi wanaojisalimisha wanalambishwa mchanga kila siku bwashee,Wala hao sio kwanza.., tunaposema dikteta Putin lazima alipie ghalama ya uvamizi ndo kama hivyo.., lazima wapigwe kama mbwa..,Wala hawastahili kupewa hadhi ya ubinadamu.., ubaya waliuanza wao,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Gen Ameongea uhalisia hajaongea uongo na USA inajua udhaifu wa Ukraine ukilinganisha na ubora wa urusi ndo maana inampa msaada otherwise hali ingekuwa tofauti.Na hapo,Gen ameongea kwa busara sana ili asionekane msaliti au kuitia aibu
Sasa akiusema ukweli kabisa nchi yake itamwita ni muoga na dhaifu dhidi ya Moscow.
Wasio na hatia hawa unajielewa weweWatalipa damu ya watu wasio na hatia haiwezi kwenda hivihivi.
Yani Russia Vita vya ardhini ni weupe,hapo Bakhmut zaidi ya miezi miwili sasa wameshindwa kusonga mbele na kuuteka huo mji Licha ya kua na Artilleries nyingi na wanajeshi wengi zaidi kushinda Ukraine.
Kwani vita ilianza Upya.. 😂 😂 😂Mkuu kazi ya Airforce ni kumaliza uwezo wa adui kuweza ku-supply it's ground forces na kufanya mawasiliano,and that is what Russia is doing.Baadae sasa ndio ground forces zinaingia.Subiri mkuu,Russia is on schedule.
Leta source ya kueleweka sio video za kuokoteza
Wewe hujielewi MTU ameshajisalimisha Hana hatia. ni wanazi Tu wanaoweza kumuuua MTU aliyejisalimisha. mtu akishajisakimisha anakuwa hatakiwi kuuawa.nyie manazi hamna Akili na ni makatili Sana.ardhi yenu haitarudi kamwe.Wasio na hatia hawa unajielewa wewe
That moment Bibi anatoka ndani na matunda kuwapatia vijana shupavu wanaopigania Nchi yao is heart warming.Hivi Putin anawaona lakini hawa raia wanavyosimama na Askari wao kuitetea Nchi yao kweli.Alaaniwe huyu Fashist Anduje Putin yeye na kizazi chake chote kwa kusababisha mateso makali kwa watu wasio na hatia.Kwa wasiowajua Azov tazama hii video wako mtaani wanasaka kenge wa kirusi balaa
🤔After Kherson city win, Ukraine faces ‘difficult months’: NATO
The NATO chief assesses the state of war, saying Russia ‘retains significant capabilities, as well as a large number of troops’.
Aljazeera
Yap vya ArgentinaKawaida kwa mataifa makubwa. unajua UK na ishu ya Falkland ??
Balaa had uchumi wa mataifa kadhaa umeshukaVladmir Putin
Sergio Lavrov.
sabab huna akil unahis hii ni mara ya kwanza Urusi kuivamia Ukraine , 1940 Urusi alivamia na kuua wengi sana UkraineNimelipenda andiko hili.
Ukraine imetengenezwa na USA kuichukia Urusi.
Nayo ikaanza kusambaza chuki kwa mataifa mengine Japan na Georgia kuichukia Urusi.
Aisee Urusi haita iacha Ukraine yenye Nguvu daima. Na nadhani lengo la OP hii ndio limejificha hapa.
Komenti namba 2 ya Uzi huu ya
Ahamed Aburahman inapata nguvu hapa.
Sikuwahi kuwaza kama urusi ni mwoga kiasi hiki..Ina maana Hana Tena matumaini ya kusonga mbele ten[emoji848]Wazee wa mahandaki na pyramid concrete wapo Crimea wanajaribu kuzuia jeshi la Ukraine hii haitawasaidia