LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Akili ndogo sana wewe. Hakuna unachojua ngoja tu nikuache kwa sababu unaongea kishabiki tu.
 
Apa hamna ligha kali yoyotw iliyotumika alafu apa sijaona hoja yoyote ile ya kujibu hoja zangu so labda urudie kuandika upya may be unaweza may unawez ukaja na point yenye mashiko

swali la msingi katika iyo vita yako uliyoianzisha ni kipi cha maana umeachieve mpaka sasa acha porojo bhana

Lete majibu ya ilo swali braza!! Nb (kama unayo lakini) sitaki hizi hoja zako za kitoto
 
Zaidi ya special operation in Ukrain kutaka kuiondolea uwezo wa kijeshi na unazi mambo leo. ankai jua wamefika hapa pia

View attachment 2142350
Mbona ni.pale pale tu tangia vita imeanza apo si ndo mlianzia siku ya mwanzo kabisa ya vita mbona sijaona advancing yoyote ya maana asee muda wote mko pale pale ni kaM vile mkwam kwenye matope
 
Yeye aache ujinga, vita ameanzisha mwenyewe halafu anakuja kuongea tena mambo ya kipumbavu. Hovyo sana huyu jamaa.
 
Ikitawaliwa na familia ya kifalme ya Lithuania.
 
Mbona ni.pale pale tu tangia vita imeanza apo si ndo mlianzia siku ya mwanzo kabisa ya vita mbona sijaona advancing yoyote ya maana asee muda wote mko pale pale ni kaM vile mkwam kwenye matope
Tunakusanya ushahidi wa nini NATO walikuwa wanataka kufanya Urusi kwa kuanzisha bioweapons labs na hapo ndio tutapata justification ya kufuta kizazi za wanazi kwa silaha za silaha za kibailojia. Dunia nzima inatambua uwezo wa Urusi wa kutengeneza silaha hatari za kibaolojia
 
Wewe ndo kilaza.unaleta story nyingi wakati jibu ni moja tu kuwa nani ana miliki uwo mpaka
 
Hapana mkuu hawajaondoka hata sasa hivi barozi wa Tz nchini Ujerumani alikuwa anaojiwa na Dw ana sema Ukraine imegoma kuwaachia.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Wamogoma kuwaachia kwa sababu nyie watz ni wajinga kupitiliza yaani mwenye nchi ni ukrain ndo ana mamlaka na mandate ya Ardhi ya Ukrain alafu mlivuo mapopo eti mnaenda kuongea na Russia ambaye ni mvamizi na hana mamlaka ndani ya Ukrain eti awaondoe sasa mtu unajiuliza uyo mrussia atapitia wapi mpaka awafikie hao wanafunzi bila kushambulowa na majeshi ya ukrain

Ni lazima serikali ya Tz ijiisalimishe na kuongea na serikali ya ukrain ndo hao wanafunzi wataweza kutoka hapo walipk tofauti na ivyo hawatokaa watoke mpaka hii vita inaisha ama watapigwa mabomu kaMa watu wengine

Sisi watanzania ni watu tusiotumia akili ata kidogo unaweza vip kuongea na uganda ambaye kaivamia tanzAnia na anashikilia mkoa wa kagera eti awaondoe Raia wa south Africa walioko Arusha hii i awezekanaje watz tuwe tunashilikisha mafuvu yetu ya vichw kufikiri na kuchanganua
 
Weka source ya taarifa yako kama huna basi izo ni ngonjera kama nyingine ama source yenyewe ni Rt nini ndo maana u naogopa kuiweka apa mzee
Source gani unataka wewe.nimekwambia kutoka( Manaz Net) ila kama una imani nayo nimekuwekea nyingine kutoka wikipedia.au nayo wikipedia ni ya Warusi
 
Weka source ya taarifa yako kama huna basi izo ni ngonjera kama nyingine ama source yenyewe ni Rt nini ndo maana u naogopa kuiweka apa mzee
Hali ya Hewa, terrain na uzoefu wa kivita vinaikwamisha sana Russia... Ukraine wakipata ndege 100 utaona Kila siku watakuwa wanawarudisha Russia nyuma... yaani leo tu wamekomboa mji mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…