Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

No body in his right mind believed the Empire of Lies that Russia will run out of ammunition.This only proves once more that America is indeed the "Empire of Lies."
Trust me russia kama katumia silaha zake hazizidi hata 5%, siyo mjinga asijue kwamba anapambana na NATO, yani atumie silaha zake kwa ajili ya military operation ukraine na ana zaidi ya nchi 30 za kuzitumbua kikinuka...wanajeshi wa russia waliokufa ni patriots wa ukraine pro russia, students fighting for money, mercenaries n.k, hawa alioita sa ivi ni michongo tuu, vik9si thaniti vimwtulia vikisubiria kiwake 100%
 
Akili za ProRussia wanazijua wenyewe
 
Haina ya haja ya vikosi vya Ukraine kusogea kitu cha msingi wahakikishe tu hao wajuba wa kirusi wapo kwenye range ya Himars,hilo tu linatosha[emoji848]
Hii ni vita ya maeneo , ushindi ni kuchukua maeneo sio kurusha makombora......unatakiwa kujenga daraja kubwa mfano wa lile la kigamboni urefu ule ule ili uvuke ,,,,warusi walijenga daraja walipo kimbia Walibomoa sasa wanajeshi wa Ukraine wakiwa Kherson wana kuwa vulnerable swali ni kwamba UTAJENGA daraja saa ngapi?? NJIA iliyobaki ni KUPITIA DONEST inatakiwa wapige vita kweli kweli ili wapite pale waweze kuichukua kherson ili waichukue Crimea ....

This conflict will only take A very LONGTIME ....
 
Marekebisho kidogo ya kiufundi kuhusu Lugha.
Badala ya "nafikili" andika "nafikiri"

Badala ya "Hanayejua" andika "Anayejua"
 
Kitu hambacho unatakiwa kujua ni kwamba urusi kapewa adhabu isiyo rasmi ya kupigana vita ya muda mrefu,Hali hii inamuumiza urusi..,na ameshaliona wazi suala Hilo ndio maana haipiti siku bila kusikia urusi kutoa matamshi kwamba Yuko tayari kwa mazungumzo na Ukraine yenye lengo la kumaliza vita
Hao marekani ni kama wanazuga tu maana hao ndio master wa huu mchezo, wanachofanya Kwa Sasa hakina utofauti na kile hambacho Huwa anafanya paka baada ya kumkamata panya,atamchezea weee! Kabla hajamuua na kumla

Marekani wameshaona wazi kwamba urusi kaelemewa na hivi vita na angetamani aachane nayo hata leo, hivyo wapo wanamchezea tu,mara waseme hili,mara waseme Lile,Ili mradi tu kuendelea kumzuga urusi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni vita ya maeneo , ushindi ni kuchukua maeneo sio kurusha makombora......unatakiwa kujenga daraja kubwa mfano wa lile la kigamboni urefu ule ule ili uvuke
Kabla ya chochote lazima warusi wachakazwe na makombora toka Himars ili kulegezwa mengine ndio yafuate.Kama waliuona moto wa Himars wakakakimbia huko walipotoka hapo pia Majeshi ya Ukraine yahakikishe hapakaliki 🤔
 
Kabla ya chochote lazima warusi wachakazwe na makombora toka Himars ili kulegezwa mengine ndio yafuate.Kama waliuona moto wa Himars wakakakimbia huko walipotoka hapo pia Majeshi ya Ukraine yahakikishe hapakaliki 🤔
Himars ni antimiiles .. Russia hawkukimbia Himars , wameondoka kutokana na hali ya kijiografia na tatizo labbwawa kubwa la maji kuharibika na kuketa mafuriko.

Unapoongelea mvua ya makombora jibu unalo nani anasukumiwa hiyo mvua regulary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…