Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,892
🤣🤣🤣🤣,Mnatia huruma sana!Putin kukimbilia kuharibu miundombuni ni mbinu dhaifu sana ya kivita kwa taifa kubwa kama Urusi.
View attachment 2426125
Dogo alipeperusha bendera ya nchi yake mjini Kherson huku mafundi wakireshea huduma ya umeme - Huu ni uzalendo wa ajabu kijana wa miaka 10 haogopi mabomu ya Putin.
uwanja wa mapambano anabokolewa kama mbwa mwizi wa mchuzi.🤣🤣🤣🤣,Mnatia huruma sana!
Unataka kumpangia adui Yako pakupigaPutin kukimbilia kuharibu miundombuni ni mbinu dhaifu sana ya kivita kwa taifa kubwa kama Urusi.
View attachment 2426125
Dogo alipeperusha bendera ya nchi yake mjini Kherson huku mafundi wakireshea huduma ya umeme - Huu ni uzalendo wa ajabu kijana wa miaka 10 haogopi mabomu ya Putin.
kaa na hizo data wakati babako anahaha kutafuta silaha za kukopa !! Iran kamgomea kumpa vile vi Kamikaze sababu hata yeye hatma yake haijui
Haya sawa!Vitaishia Crimea,si ndio ?🤣🤣🤣uwanja wa mapambano anabokolewa kama mbwa mwizi wa mchuzi.
Ulitaka abomoe au aharibu Nini?!Putin kukimbilia kuharibu miundombuni ni mbinu dhaifu sana ya kivita kwa taifa kubwa kama Urusi.
View attachment 2426125
Dogo alipeperusha bendera ya nchi yake mjini Kherson huku mafundi wakireshea huduma ya umeme - Huu ni uzalendo wa ajabu kijana wa miaka 10 haogopi mabomu ya Putin.
Mtu akiwa na jina la Lori kama Fuso, Scania, Howo nk ujue kuwa huyo ndezi either ni mvuta bangi au ni mshamba.kaa na hizo data wakati babako anahaha kutafuta silaha za kukopa !! Iran kamgomea kumpa vile vi Kamikaze sababu hata yeye hatma yake haijui
Mkuu muda mwingine jitahidi kutuletea kwa lugha mama ili twende pamoja.View attachment 2426189
View attachment 2426190
View attachment 2426192
[emoji2406][emoji635]South Korea and Primorye to develop transport connections
This was reported by Primorye Territory Governor Oleg Kozhemyako following a meeting with South Korean Consul General in Vladivostok Ha Byung Kyoo.
[emoji187]“From December, ferries to the country of morning freshness will run twice a week. Restoring of air traffic is now being discussed by the transport ministries of the two countries,” the Governor wrote on his Telegram channel.
View attachment 2426193
Lugha ya mama ni lugha ipi mdogo wangu. Kila mtu ana mama yake humu. Jan nilikuwaga vizuri sana. Leo unataka nini tena. Nilikuambia Mimi ni Mtu wa Mungu mambo yenu siyataki.Mkuu muda mwingine jitahidi kutuletea kwa lugha mama ili twende pamoja.
kiswahili mkuuLugha ya mama ni lugha ipi mdogo wangu. Kila mtu ana mama yake humu.
Hapa tupo International Thread. Tunatumia Lugha zote. Kama kuna lugha huijui ujue hapa hapakufai nenda kwingine.kiswahili mkuu
Ndiyo tunawaambia kwamba Putin hana maana, Taifa kubwa kama Urusi haliwezi kutumia njia za kichenzi kama hizo - huo ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu, ni suala la muda tu atafika sehemu anapostahili.Mtu akiwa na jina la Lori kama Fuso, Scania, Howo nk ujue kuwa huyo ndezi either ni mvuta bangi au ni mshamba.
View attachment 2426161
AiseeeView attachment 2425928
Subscribers of Volodymyr Zelensky noticed that he always has light, even in those days when Kyiv itself is in darkness.
Wewe mtu waMungu gani?Lugha ya mama ni lugha ipi mdogo wangu. Kila mtu ana mama yake humu. Jan nilikuwaga vizuri sana. Leo unataka nini tena. Nilikuambia Mimi ni Mtu wa Mungu mambo yenu siyataki.