Tumeshakubaliana Toka mwanzoni kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi atakiona Cha moto..,Wacha tu tuendelee kupambana na Ukraine..,nasisitiza Tena atayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atapata pigo hambalo halijwahi kushuhudiwa katika historia[emoji91][emoji91][emoji12]Aiseee..kusema la ukwel! Russia ni mwanaume wa shoga mazee!! Yaan kajamaa ukrain kanajamnishwaa..kanapewaa misaada na nchi lukuki lakin bado putin anawatwangaa tuu...hakuna vita marekan kapigana alaf adui yake awe anapewa misaada..mfano iraq..afghanistan..cuba..vietman..lakin mrusi amesimama kiumee
Mimi nalishwa na Mungu sio hao wajomba zako. HahahaNasika mashoga wanakugawiaga hela kila kukicha, sasa ukishazi-swallow ukashiba ukaenda toilet fresh unarudi mitandaoni kuwakandia.. 😛
Bado wanasubiliwa wajae mkuu, maana wameitwaa ardhi tukufu ya Russia [emoji2957]Asee nilipotea kwa muda kwenye huu uzi. Nimekuta page zimesonga sana vipi wakuu ule mtego wa kherson bado ukraine haja jaa kwenye 18[emoji23]? Morogoro kaskazini
Wewe unautaalamu wowote wa kijeshi?unajuaje yote hayo?Putin kachanganyikiwa yaani akishikwa kichwa anasema niache mguu alichokua anakijua Putini ni kushinda vita tuu hii inayotokea haipo kwenye mawazo yake na ndio nimemuona wa kawaida sana kichwani kwa maamuzi anayochukua akidanganywa na Magenerali wake magumashi...
Tulisema humu Ukraine hawezi kuingia mtego wa kijinga namna hii ukizingatia intel zote zinampa data. Lakini wakawepo wacha🐐 wa mchongo eti mtego.Bado wanasubiliwa wajae mkuu, maana wameitwaa ardhi tukufu ya Russia [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe soma tuu si wengine ni vipaji tumepitia vitu vingi kwa vitendo...Wewe unautaalamu wowote wa kijeshi?unajuaje yote hayo?
Hujui chochoteWewe soma tuu si wengine ni vipaji tumepitia vitu vingi kwa vitendo...
Kimsingi sii wamarekani,wala ulaya,achilia mbali yule mwigizaji,hadi sasa hawajui wafanyeje juu ya huyu mwamba asiyependa manyanyaso,uonevu na ubabe wa wanaojiita wenye nguvu 🥱Piga mashoga hao
Hamnaa maslahi ya maana zaidi ya kujitutumua nae uchumi mkubwa,huku inflation ikiwatafuna,na kuporomoka uongozi na uchumi kwa ujinga wa mob saikologiUingereza wanamaslahi gani kwenyehiivita. Naona wakobize hasa makachero wake kulikohata US. Au anabifu na warusi.
Sawa mkuu maana mbongo ukimwambia unajua kitu cha kwanza ni kukasirika anaona kama vita kumbe kawaida tuu...punguza stress ufurahie maisha sio muda wote vita tuu tena na watu usiowajuaHujui chochote
Vita hadi leo hii ipo Ukraine.ingekuwa kama unavyosema basi vita ingekuwa mpakaniCha msingi dikiteta anazidi kufurushwa tu, mengine yote ni chai [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanadai ndo vita ambayo artillery nyingi zimetumika kwa muda mchache[emoji298] The largest Western arms manufacturers are increasing the production of missile launchers, tanks and ammunition to meet the demand caused by the war in Ukraine — The Wall Street Journal.