MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mimi ni ndugu yako kutoka pwani, Nina uasili pia wa Kibiti, kisiju na Rufiji.Watu kama wewe nawatamani Sana, yaani unashadidia kwenda kuua na kuvamia Nchi nyingine.
Nina hasira za kukudedisha kabisa.
Hata Mexico iwapo itahama upande wa Magharibi na kuhamia mfano CSTO na kuhatarisha usalama wa Marekani.Watu kama wewe nawatamani Sana, yaani unashadidia kwenda kuua na kuvamia Nchi nyingine.
Nina hasira za kukudedisha kabisa.
Kukamatwa kwa silaha kama Pantsir ikiwa intact ni upuuzi wa crew yake. Wanajeshi wote hufundishwa kuharibu silaha endapo wataiacha kwenye mazingira ya adui. Ukienda YouTube utakuta wanajeshi wa Marekani wanatupa helicopters baharini na kuchoma silaha walipokuwa wanaondoka Vietnam.View attachment 2142294
Naombeni kujua Russia ina matatizo gani?Naanza kupatwa na wasiwasi sana nilikua naamini ni nchi yenye nguvu sana.Ni nn hasa kinaendelea?hii mbn aibu?
vpn hakuna hukooRaisi wako mpendwa ame wagomea raia wa kigeni kuondoka wakiwemo watz wenzako sijui anataka kuwatoa kafala ?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
UK pia inatafuta nafasi kwenye world stage baada ya influence yake kupungua Ulaya.Uingereza ndio nchi pekee ya Ulaya inayoweza acha kuitegemea Urusi na isiathirike kwa lolote. Tafuta data za biashara kati ya Europe na Russia utaona UK hata gesi tu haitegemei Russia
Hata Marekani aliacha Siraha nyingi kule Afghanistan je hazina maana Tena.Kukamatwa kwa silaha kama Pantsir ikiwa intact ni upuuzi wa crew yake. Wanajeshi wote hufundishwa kuharibu silaha endapo wataiacha kwenye mazingira ya adui. Ukienda YouTube utakuta wanajeshi wa Marekani wanatupa helicopters baharini na kuchoma silaha walipokuwa wanaondoka Vietnam.
Sasa hapo utakuta C-17 Globemaster zinapishana njiani kubeba silaha za Urusi zilizokamatwa zikiwa vizuri kwenda zikasomwe. Hata hivyo hii Pantsir Marekani walishaibeba kutokea Libya ambapo ilipelekwa na UAE ikashambuliwa na Bayraktar TB2 ikaharibika kidogo Marekani sijui iliwapa nini ikaichukua. Ile ilikuwa ni export version na sio latest.
Mpaka sasa Russia ikikutana na NATO Patsir hazitakuwa na maana tena. Na vifaru vya Russia labda afanye mass production ya T-14 Armata tofauti na hapo hana kifaru cha kutishia NATO member. Kina T-72, T-80 na T-90 viko challenged sana
Hiyo tabia ya kupeleka watoto wao vitani tena frontline wanayo Wajerumani hasa, wengine sio sana. Kwanza Putin hana mtoto wa kiume kwenda ukoPutin inatakiwa ampeleke mtoto wake kwenye hivi vita, aache kuswaga watoto wa wengine kuwapeleka kwenye hivi vita vya kipumbavu alivyoviasisi ona sasa watoto wa watu wanavyouwawa kinyama. Hovyo kabisa huyu dikteta.
Miaka ya 1950B-52 ni ya mwaka gani?
Nje ya ulichokiongea lakini mkuu...Kukamatwa kwa silaha kama Pantsir ikiwa intact ni upuuzi wa crew yake. Wanajeshi wote hufundishwa kuharibu silaha endapo wataiacha kwenye mazingira ya adui. Ukienda YouTube utakuta wanajeshi wa Marekani wanatupa helicopters baharini na kuchoma silaha walipokuwa wanaondoka Vietnam.
Sasa hapo utakuta C-17 Globemaster zinapishana njiani kubeba silaha za Urusi zilizokamatwa zikiwa vizuri kwenda zikasomwe. Hata hivyo hii Pantsir Marekani walishaibeba kutokea Libya ambapo ilipelekwa na UAE ikashambuliwa na Bayraktar TB2 ikaharibika kidogo Marekani sijui iliwapa nini ikaichukua. Ile ilikuwa ni export version na sio latest.
Mpaka sasa Russia ikikutana na NATO Patsir hazitakuwa na maana tena. Na vifaru vya Russia labda afanye mass production ya T-14 Armata tofauti na hapo hana kifaru cha kutishia NATO member. Kina T-72, T-80 na T-90 viko challenged sana
Na wengi aliowapeleka inaonekana ni kutoka upande wa Mongolia ( wenye asili ya mongoliaHiyo tabia ya kupeleka watoto wao vitani tena frontline wanayo Wajerumani hasa, wengine sio sana. Kwanza Putin hana mtoto wa kiume kwenda uko
Hebu toa utoporo hapa angekuwepo ndugu yako ingekuwa una ungea huo uharo? watu wameishiwa chakula mpaka wameanza kuywa barafu alafu una leta hoja za kipuuzi.Wamogoma kuwaachia kwa sababu nyie watz ni wajinga kupitiliza yaani mwenye nchi ni ukrain ndo ana mamlaka na mandate ya Ardhi ya Ukrain alafu mlivuo mapopo eti mnaenda kuongea na Russia ambaye ni mvamizi na hana mamlaka ndani ya Ukrain eti awaondoe sasa mtu unajiuliza uyo mrussia atapitia wapi mpaka awafikie hao wanafunzi bila kushambulowa na majeshi ya ukrain
Ni lazima serikali ya Tz ijiisalimishe na kuongea na serikali ya ukrain ndo hao wanafunzi wataweza kutoka hapo walipk tofauti na ivyo hawatokaa watoke mpaka hii vita inaisha ama watapigwa mabomu kaMa watu wengine
Sisi watanzania ni watu tusiotumia akili ata kidogo unaweza vip kuongea na uganda ambaye kaivamia tanzAnia na anashikilia mkoa wa kagera eti awaondoe Raia wa south Africa walioko Arusha hii i awezekanaje watz tuwe tunashilikisha mafuvu yetu ya vichw kufikiri na kuchanganua
Kwenye masuala ya kutumia akili Uingereza sina shaka nao. Historia inawahukumu vizuri wewe utaona wanabishana hapa ila karne kadhaa mbele itaonekana walichukua uamuzi sahihi.UK pia inatafuta nafasi kwenye world stage baada ya influence yake kupungua Ulaya.
Kumbuka Leo UK ni fraction ya nguvu aliyokuwa nayo wakati ana British Empire
Hivyo jamaa anatafute validity ya world stage.
Je wakija kuya kubali sura yako utaiweka wapi?Ona utoto wa Russia hapa,labda mke wake Belarus ndio anaweza kubali masharti ya kijinga kama haya hapa [emoji116]
View attachment 2142439
View attachment 2142440
Ila tatizo hii sio Uingereza ya zamani.Kwenye masuala ya kutumia akili Uingereza sina shaka nao. Historia inawahukumu vizuri wewe utaona wanabishana hapa ila karne kadhaa mbele itaonekana walichukua uamuzi sahihi.
Walitenganisha majukumu ya kifalme na ya serikali baada ya mapinduzi ya monarch ya Ufaransa, leo hutasikia malkia analalamikiwa. Walipokuja Afrika walijua wana population ndogo na wana makoloni mengi duniani hivyo watumie indirect rule wakishirikiana na vibaraka wao machifu. Walipiga marufuku utumwa ulipoanza kutokuwa profitable kibiashara ila wakaja na sifa eti waliona huruma. Yani kuna maamuzi mengi Uingereza ilifanya zamani na unaona hawa watu ni next level