MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mimi ni ndugu yako kutoka pwani, Nina uasili pia wa Kibiti, kisiju na Rufiji.Watu kama wewe nawatamani Sana, yaani unashadidia kwenda kuua na kuvamia Nchi nyingine.
Nina hasira za kukudedisha kabisa.
Babu mzaa babu alizaliwa kwenye Kijiji ambacho kinjekitile ngwale alizama kwenye kidimbwi.
Bibi mzaa bibi yangu alizaliwa kipata Kijiji ambacho vita ya majimaji ilianza.
Hivyo sema nikukute wapi na muda gani ili unidedishe lakini kuwa makini kitakacho kupata.
Viva Russia