MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Demand and Supply.Umeweka maelezo mengi, twende taratibu hebu fafanua kwa nini Russia imepata energy revenue kubwa baada ya vita ikilinganishwa na kabla ya vita?View attachment 2428398
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado frostbite inawasubiri[emoji23][emoji23][emoji23].Baridi linaua warusi huko.
Hadi wengine wanapigwa bomu ila hawashtuki
Hao ukraine unaowasemea ungewaona kwenye battlefield ungewaonea huruma, hizo winter gears ndio hizi?Bado frostbite inawasubiri[emoji23][emoji23][emoji23].
West wanashusha mizigo ya winter gears tu huko Ukraine ndio maana Ukraine inataka kuendelea na counter offensive kipindi chote cha winter Licha ya Urusi kutaka short truce.
Sasa hapo huruma itoke wapi wakati ni winter na mvua zinanyesha humo Kwa trench matope yamejaa.Hao ukraine unaowasemea ungewaona kwenye battlefield ungewaonea huruma, hizo winter gears ndio hizi?
[emoji116][emoji116]View attachment 2428424View attachment 2428426View attachment 2428427
Haijuwa hivyo.. Lakin Minsk 2 ilitaka waweke silaha chini.Umesoma interview hiyo ukiwa na mindset fulan hivyo unaitafsiri kwa kimakosa ili kukidhi imani yako. Elewa kuwa special status haikuwa na maana ya independence from Kiev.
Mkuu big up nadhan umeelewa na unaijua vizuri hiyo ishu.Ila ndo wakina Zele waligoma kutoa hio special status kama walivyokubaliana.....ikabidi mrusi ashushe kipondo tu
Kumbe najadili na mpiga Debe..Hiyo ni misk agreement ya tandale
Urussi anauza gesi bei chee tena si ujerumani bali alikuwa anauza almost ulaya yote.Angela Merkel analaumiwa na Wajerumani kwa sera zake "dhaifu" kuihusu Urusi pamoja na suala la Ukraine.
Pia, analaumiwa kwa kuiingiza Ujerumani katika utegemezi wa nishati kutoka Urusi hivyo kuathiri masuala ya kiusalama ya Ujerumani na Umoja wa Ulaya (EU).
Mmoja wa watu waliozikosoa vikali sera za Merkel wakati akiwa kansela wa Ujerumani, ni Olaf Scholz ambaye ndiye kansela wa sasa wa Ujerumani.
Mpaka sasa Angela Merkel hajataka kuwaomba radhi wakosoaji ila naye amekiri hadharani kuwa sera zake za kidiplomasia na Urusi kuhusiana na suala la Ukraine hazikuwa na mafanikio.
Chakusikitisha au kufurahisha ni kwamba Taarifa yako uliyoleta hapa na iliyopo New York Times ni tofauti,yako ni UONGO MTUPU sijui kwaajili ya Nani!!!!!
New York Times hakuna sehemu wameandika kwamba mizinga waliyopewa Ukraine ni mibovu na haifanyi kazi,Ila Ukraine wanaover use hizo artilleries sababu wanazo chache (hizi M777 walizopewa na Marekani hazifiki hata 300 Ila Urusi ana maelfu ya howitzers) huwezi fananisha na idadi aliyonayo Russia.
Howitzer mfano hizi M777 zina idadi ya mizinga ambayo hutakiwa kurusha kwa siku kisha uzifanyie service,lkn Ukraine inapitiliza hiyo idadi na services inakua mtihani sababu muda wa kufanya services unakuta wameshambuliwa hivyo wanataka wajibu mashambulizi. Hii ndo imefanya Pentagon kuweka hicho kituo maalum ili kufanya services Howitzer za Ukraine hapo Poland kisha zinarudishwa Ukraine,hata Latvia wanafanya hii kazi kuna Howitzers waliwapa Ukraine hua wanazifanyia services kisha zinarudishwa tena Ukraine.
Taarifa ya New York Times hii hapaView attachment 2428345
Currently, Ukrainian forces are firing 2,000 to 4,000 artillery shells a day, a number frequently outmatched by the Russians. Over time, that pace has caused problems for Ukrainian soldiers using M777 howitzers, such as shells not traveling as far or as accurately.
Artillery Is Breaking in Ukraine. It’s Becoming a Problem for the Pentagon.
unawaza ushog wanakutinduaUnataka nikufokoe mtaro wa maji machafu?
Duh!..Silaha za Marekani ni ghali na zinahitaji ezoefu na gharama kubwa kuziendesha...wakati za Mrusi hata zikiliwa na kutu unapaka mafuta ya nazi zinapiga kazi kama kawaida.
Ina maana huu uvamizi hauna uhusiano na kuvunjika kwa hayo makubaliano kama Urusi walivyodai awali ?Hiyo siyo tafsiri sahihi ya maneno yake kuhusu "Minski Agreement," ambayo kwa sehemu kubwa alikuwa akijitetea kushindwa kuzuia uvamizi wa Urusi; allilaumu urusi kuvunja makubaliano hayo kwa kuendelea kuwapa silaha waasi wa maeneo yaliyokuwa chini ya Minski Agreement hiyo
In her interviews with Alexander Osang, which took place over a period of a year and in various locations, Merkel insisted that her stance on the Minsk agreement – which brought a ceasefire after Russia’s 2014 annexation of Ukraine’s Crimea peninsula – had been right. Key points of the Minsk peace talks, including disarmament and supervision by an international body, were never followed through. But Merkel said the agreement had nevertheless helped buy Kyiv time to arm itself better against the Russian military.
Ila tukubali tu ni yeye pekee aliyekuwa anakubalika zaidi na Putin miongoni mwa viongozi wa EU mpaka kufanikisha minsk agreement nadhani hizo sera za kuikumbatia Urusi zilichangia piaAngela Merkel analaumiwa na Wajerumani kwa sera zake "dhaifu" kuihusu Urusi pamoja na suala la Ukraine.
Pia, analaumiwa kwa kuiingiza Ujerumani katika utegemezi wa nishati kutoka Urusi hivyo kuathiri masuala ya kiusalama ya Ujerumani na Umoja wa Ulaya (EU).
Mmoja wa watu waliozikosoa vikali sera za Merkel wakati akiwa kansela wa Ujerumani, ni Olaf Scholz ambaye ndiye kansela wa sasa wa Ujerumani.
Mpaka sasa Angela Merkel hajataka kuwaomba radhi wakosoaji ila naye amekiri hadharani kuwa sera zake za kidiplomasia na Urusi kuhusiana na suala la Ukraine hazikuwa na mafanikio.