The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mbinu mchanganyiko za medani ni bora zaidi kuliko hayo ma underground vehicles.Nje ya ulichokiongea lakini mkuu...
Ukiangalia Jeshi la Russia, hujiskii aibu juu ya Jeshi letu?
Hivi hata tanks tulizonazo zinafika 100 kweli?
Maana russia kuna wakati convoy ya km 64 ilionekana.
Nilijiskia aibu kama raia.
Anajikosha, maskini hawezi shindana na tajiri, yaani eti utumie mfumo wa India sijui Brazil and such nonsense.
By the way coalition ya Maskini hakuna cha maana itafanya.
Ndio maana Russia wame stuck kwa sababu pesa hawana.
Marekani anaweza kumuogopa Mchina tuu kwa sababu anaweza kumtikisa kwenye uchumi na sio pimbi wengine.
Hii vita ikiwa prolonged, Russia atafilisika and how it can be prolonged ni kwa Ukranian allies kuwapa silaha na msaada wa pesa.
Option pekee ya Russia ni kutumia silaha kali zaidi lakini atakuwa anajiweka kwenye hatari kubwa ya kupewa mbinyo zaidi na western.
Kwa sasa West wanamsibiria akiingia tuu wanaweka embargo maana kesho wanakutana kupanga hatua zaidi za kuchukua .
Ni upumbavu wa hali ya juu alafu walivyo wanafiki sasa wanajifanya eti hawana upande ***** mimi nataka waendelee kuwang'ang'ania mpaka serikali ya Tz ikajisalimishe kwa serikali ya Ukrain na ipige magoti ili wanafunzi waweze kuruhusiwa kuondoka paleNa wawatie kibindoni hivyo hivyo,ni upuuzi wa Hali ya Juu na hayo ndio madhala ya kuweka watu wasio na uwezo wa akili..
Ndio maana nawakubali Wakenya wako clear na Wana side na Nchi zenye uwezo sio maskini.
Sasa Tzn inajua kule kuna serikali na iko active unaenda kuwasiliana na wavamizi Ili wakusaidie nini?
Yataje hayo maeneo mliyoyafikia na kuyateka kwa asilimia 100Kuilegeza, kuidhoofisha na kuondoa neo Nazi kutoka maeneo tuliyofikia
Wewe kiazi ndio unawaza huo upuuzi ila wenye Rais wao wanawaza hivi 👇Ukweli bwana Vlodomyry Zelensky atakumbukwa kama mmoja kati ya idiot wakubwa duniani.
Kuna Mataifa kama Finland, Norway, Sweden ambayo ni neutral na Yana maisha mazuri kushinda Magharibi.
Kuuingiza nchi kwenye Vita na kugoma kufanya mazungumzo mapema na Urusi ndilo tatizo lake kubwa.
Walimwambia tuko pamoja ila kimenuka wamemwacha peke yake.
Leo hii amefanya nchi nzima kuwa mahame na bado anakubali kwenda kukaa kwenye meza ya mazungumzo.
Hapo tayari kashavamiwa na kupigwa hivyo card zake za kuplay ni chache mno.
Vyovyote itakavyo kuwa hawezi Tena kuipata DONBAS na mhatari inaongezeka zaidi maana DONBAS inazidi kuchukua eneo kubwa la Mashariki mwa Ukraine.
Ukiangalia nani anayepoteza majibu ni rahisi Ukraine.
View attachment 2142518
Ntatumiaje hoja wakati yeye hoja zake ziko katika mtindo wa pumba!!Jamii forum ni sehemu ya watu wenye bongo.
Ambapo hutumia nguvu ya hoja kushinda mada.
Na sio maneno ya kashfa, kejeli, matusi.
Mimi nilijiunga huku baada ya kuwa msomaji Toka 2016.
Hivyo usitumie lugha zisizo na stara badala yake tumia hoja kumshinda.
Elfu 11???...hata BBC hawajasema hii...bila shaka upo ndani ya Kiev kabisa...
Inawezekana jeshi la anga la Urusi wanyonge sana kwa Israel na NATO countries.Urusi marubani wake wengine wanaendesha ndege wakiwa wamevaa makoti ya kiraia i think hawana sare za angani wala oxygen masks kwenda juu zaidi maana uko medium range air defence systems za Ukraine zitawaona. Na wanataka wakiangushwa wasiwe na sare za jeshi, najaribu kutafuta sababu. Ila flying wanakuwa vulnerable dhidi ya MANPADS, ndio maana wanajitahidi kushambulia usiku zaidi.
Alafu Urusi hawatumii precision guided munitions kila wakishambulia ni mwendo wa dumb bombs ambazo zina error probability kubwa ila zina gharama ndogo. Kuna marubani wawili nimeona wamebeba karatasi zenye coordinates yani ndege zao za zamani kina Su-25 hazina kompyuta za kuweza kuchakata target mpaka rubani afanye calculations manually.
Urusi hata mawasiliano mazuri kwenye field hawana wako blindfolded. Spetnaz naona hawajatumika sana ila VDV wameshiriki hasa kwenye kuchukua airbases karibuni na Kyev na wamepigwa kama wengine wakati ni special force ya angani.
Kama wako karibu na Russia wambie Russia wakawachukue sasa muone kama watawezaKwa hiyo unafikiri ni sahihi kushikilia watu Toka Mataifa mengine kisa vita yao, huo ni uhalifu.
Pili kutoka walipo mpaka Urusi ni karibu kuliko kupitia Poland, Romania au Georgia.
Tatu hii inathibitisha ukweli kuwa wanatumia raia kama Kinga wasishambuliwe.
Nne sijui umesahau ubaguzi mkubwa wa rangi kwa watu wanaotaka afika na Asia kuvuka mipaka iliyopo upande wa Poland, Romania au Georgia.
Tano unasahau wanafunzi kutoka afrika au Asia wamekwama huko na manyanyaso mengine.
Sita wewe ndio ungekuwa raisi wa nchi ungechukua maamuzi gani
Hakuna sababu za US kuvamia bali anatumia akili tuu.West gan unayemwongelea? Labda ungesema US ila hao takataka wengine hakuna mwenye ubavu wa kumshinda Russia. NATO ni waoga na ukishaona mtu yuko hv atakimbilia maneno, vikwazo na propaganda na bila shaka hajiamini na jeshi lake.
Labda ujue western yyte atakayeingia vitani kuna mataifa makubwa yanayomsapoti russia nayo yataingia hio itakua WW3. Afu mnaosema russia maskini huwa nashindwa waelewa mnaangalia nn? Nchi inamiliki zaid ya nyuklia 6000 ndege vita zaid ya 2000 bado magari hv unajua gharama ya kutengeneza nyuklia 1??. Usije na data ambazo huna uhakika nazo.
Russia wamejipanga sana kwenye jeshi coz ndo silaha yao kubwa wanayoitegemea watafanya ujinga kote lakini sio kwenye jeshi wapo makini sana hapa kwasabu adui yake no1 ni US.
Na kama russia angekua vibaya kwenye jeshi marekani angekua alishamvamia muda sana kwasabu mmarekani anajua uwepo wa Russia kadiri siku zinavozidi kwenda ndo anazidi kuwa mbaya kwenye utawala wake. Mmarekani anamaspy kila kona lakini kwanini hamvamii Russia? Coz anajua ubora wake kijeshi so anaishia kushinikiza vikwazo nk.
Kinachoendelea ni Eastern nao wakiongozwa na China, Russia, Korea, India etc hawa wataunga umoja wao na watakua na nguvu sana huko
Mbeleni.Ngoja niishie hapa.
Tukija kwenye bible kama wewe ni msomaji wa bible imeandikwa kama sio kitabu cha ufunuo, utawala wa mashariki watachomoza na wataangusha utawala wa magharibi ndo hao Us na NATO hzi ni dalili za siku za mwisho ni kama unabii unatimia kwa haya yanaondelea sahivi kwa wanaoamini bible ndo imeandika hivo. Kwa sisi wengine tuendelee kuamin tunachoamini
Utakuwa hujafanya ufuatiliaji vizuri, askari wa Ukraine hawajirundiki kama wa Russia wanaotegemea Sana ma equipment kiasi kwamba with ambush wanaiwawa wengi kama sisimizi.Mi naamini kama urusi imepoteA askar elfu 11 basi Ukraine 30000
Mimi siongei kwa hisia nakupa ukweli halisi uusikilize ama uukatae lakini huo ndo ukweli na icho ndo ambacho serikali ya tz inapaswa kukifanya ili vijana wetu waondolewe kuleHebu toa utoporo hapa angekuwepo ndugu yako ingekuwa una ungea huo uharo? watu wameishiwa chakula mpaka wameanza kuywa barafu alafu una leta hoja za kipuuzi.
Vita ni kati ya Urusi na Ukraine raia wa kigeni vita haiwahusu waruhusiwe waondoke.
Kwa hiyo ww ukija kusikia watz wenzako wameuawa kwenye vita isivyo wahusu utafurahia?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
UK pia inatafuta nafasi kwenye world stage baada ya influence yake kupungua Ulaya.
Kumbuka Leo UK ni fraction ya nguvu aliyokuwa nayo wakati ana British Empire
Hivyo jamaa anatafute validity ya world stage.
Ila tatizo hii sio Uingereza ya zamani.
Sababu kubwa ya kutoka ukiitoa bra bra ni kuwa dominated na Ujerumani na Ufaransa ndani ya EU.
Kumbuka haya ndio Mataifa yanayo dictate nini kifanyike EU.
Inawezekana unayosema ila hata Sasa British bado tu itacollapse tu.
Kumbuka kujitoa EU imewazidi waegemee zaidi kwa Marekani nje ya hapo hapo, sera zake za mambo ya nje hazina uzito kama iliyokuwa.
Baada ya hii vita Dunia haitarudi kama ilivyokuwa.
Urusi itaangaliwa vingine
Nato itaangaliwa vingine
Us itaangaliwa vingine
China atakuwa more bold na kufanya maamuzi yake mwenyewe.
Kama ulibahatika kutazama Allepo.....Inawezekana jeshi la anga la Urusi wanyonge sana kwa Israel na NATO countries.
Urusi bado wanaendesha operesheni za kijeshi kama enzi za Soviet.
Uko sahihi mkuu nilifikiri vibayaNorway sio Neutral
Leo kuna ankai The Sunk Cost Fallacy Imeloa na Omary - Msamalia wanawatoeni povu Pro Russia pamoja na wingi wenu hapa.Kuna T14 Armata yeye anawapeni uhalisia wa mambo msiyopenda kuyasikia,nasoma kimya kimya huku nacheka mnavyotoa povu.Mlidhani mambo ni rahisi ki hivyo,kesheni tu huko maabara lakini mkija kwa ground mnakutana na vijana wa Zelenskyy wanawatoeni jasho.Nyamizi upi, nilikuwa maabara na narudi mda huu
Wewe chimba unye ndio una akili?Huna akili pathetic!! Tumia akili yako kufanya reasoning na sio kufanyia master,,,,,,,,bation!!
Mkuu hata nyuzi za simba umepotea upo Ukraine tu.Leo kuna ankai The Sunk Cost Fallacy Imeloa na Omary - Msamalia wanawatoeni povu Pro Russia pamoja na wingi wenu hapa.Kuna T14 Armata yeye anawapeni uhalisia wa mambo msiyopenda kuyasikia,nasoma kimya kimya huku nacheka mnavyotoa povu.Mlidhani mambo ni rahisi ki hivyo,kesheni tu huko maabara lakini mkija kwa ground mnakutana na vijana wa Zelenskyy wanawatoeni jasho.
Slava Ukraine