The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mbinu mchanganyiko za medani ni bora zaidi kuliko hayo ma underground vehicles.Nje ya ulichokiongea lakini mkuu...
Ukiangalia Jeshi la Russia, hujiskii aibu juu ya Jeshi letu?
Hivi hata tanks tulizonazo zinafika 100 kweli?
Maana russia kuna wakati convoy ya km 64 ilionekana.
Nilijiskia aibu kama raia.
Nilichokifunza kikubwa ukiacha mbinu ni kuwa na vifaa vya mawasilino ya haraka,kuwa na surface to air missiles na ndege za kushambulia.
Mengine yote ni mizigo yenye msaada kiduchu.