LabdaTrust me russia kama katumia silaha zake hazizidi hata 5%, siyo mjinga asijue kwamba anapambana na NATO, yani atumie silaha zake kwa ajili ya military operation ukraine na ana zaidi ya nchi 30 za kuzitumbua kikinuka...wanajeshi wa russia waliokufa ni patriots wa ukraine pro russia, students fighting for money, mercenaries n.k, hawa alioita sa ivi ni michongo tuu, vik9si thaniti vimwtulia vikisubiria kiwake 100%
Simama na RUSSIA hutajutiaLibya nilisimama nao ndiyo maana dictator Gadafi aliangamizwa, Syria mpaka kesho wapambanaji wanapambana na regime ya Al Saad. Afghanistan raia wamepewa hifadhi nchi marafiki wa Marekani Kwa gharama za Marekani ili kiwanusuru na mateso ya magaidi Taliban na hapo Iraq amani imerejea baada ya matatizo ya muda na mauaji ya wakurudi kukomeshwa baada ya Sadam kuondokewa madarakani.
"Hundreds of thousands of men, women and children were executed during a systematic attempt to exterminate the Kurdish population in Iraq in the Anfal operations in the late 1980s. They were tied together and shot so they fell into mass graves"
Waafrika tunashida mahali. Ipo siku tutakumbuka kwanini hatukusimama na Ukraine.
Kwahio tutashuhudia mashambulio ndani ya CRIMEA [emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo silaha kama zinauwezo wakutwanga CRIMEA basi hazitapelekwa
Vipi kuhusiana na zile tb drone ziliishia wapi hivi maana nimezikumbuka ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Finland pa moto,je Ukraine.Yetu macho.Zelensky is suiciding his countrymen at the orders of the Khazarian Cabal,very stupid.Finland pamoto.
As the price of electricity rises and the threat of electricity shortages grows, the City of Espoo prepares to introduce effective measures to reduce the consumption of electricity.
[emoji843] On the premises used by the city, the indoor temperature will be reduced to approximately +20.5 °C. The indoor temperature will not be reduced at, for example, children’s day care centres or round-the-clock housing units for the elderly or people with disabilities.
[emoji843] Ventilation will be regulated according to operating times without compromising indoor air quality. Ventilation changes will not be made at round-the-clock housing units for the elderly or people with disabilities, swimming pools or sites where acute indoor air problems have been detected.
[emoji843] The city will no longer light up the facade of its premises, and yard lights will be switched off for the night.
[emoji843] Led-powered street lights will be programmed to be dimmed at night where it’s technically possible.
[emoji843] Artificial turfs will be heated for shorter periods of time, and the ice rink maintenance season will be reduced in the winter.
[emoji843] Peak periods of energy demand are avoided when using snow-making machines at ski tracks.
[emoji843] The temperature of the saunas at the swimming pools is regulated.
Mizigo yote ya awali imeisha, na huu nao utaisha na mingine Kama itakuja nayo itaisha...mwisho Zele atasalimu amri na kupiga magoti na kukimbilia uhamishoni Poland kujaribu kuendesha Vita vya 'msituni'Mzigo unazidi kuongeza, super pawer wa mchongo inabidi ajipange sawa sawa [emoji848]View attachment 2430837
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wengi waliokuwa wanajaza huu Uzi ni pro Russia,baada ya kuchunguza na kubaini kwamba yule wanayemwita super pawer Hana lolote walitimua mbio,Ile speed ya kuchangia humu siku hizi imepungua kabisa aisee...
Wengi waliokuwa wanajaza huu Uzi ni pro Russia,Sasa wameshtuka kwamba yule wanayemwita super pawer Hana loloteIle speed ya kuchangia humu siku hizi imepungua kabisa aisee...
Palibutuliwa na rocket kama hizo wanazotaka kupelekewaKwani mashambulizi hapo Crimea ni mageni,si palibutuliwa mpaka bwana mkubwa akapoteza ndege tisa pamoja na helicopters!!!
Mzigo utazidi kuongezwa hata kwa miaka 5..,huu mchezo hauitaji hasira mkuu..,tulia hapo hapo,Mizigo yote ya awali imeisha, na huu nao utaisha na mingine Kama itakuja nayo itaisha...mwisho Zele atasalimu amri na kupiga magoti na kukimbilia uhamishoni Poland kujaribu kuendesha Vita vya 'msituni'
NATO walishatoa statement silaha zao zitumike kuipiga hata Crimea sababu sio sehemu ya RF.Palibutuliwa na rocket kama hizo wanazotaka kupelekewa
Maana nimesikia mwaka 2023 wanasema wanataka kuikomboa CRIMEA [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta hio stateNATO walishatoa statement silaha zao zitumike kuipiga hata Crimea sababu sio sehemu ya RF.
Amehaha wapi [emoji16]Supapawa ameanza kuhaha
Sanctions-hit Russia asks India for parts for key sectors
Reuters
MoscowUpdated: Nov 29, 2022, 05:00 PM IST
Moscow has sent India a list of more than 500 products for potential delivery including parts for cars, aircraft and trains, four sources familiar with the matter said, as sanctions squeeze Russia's ability to keep vital industries running.
RUSSIA'S STRUGGLES
Western sanctions have crippled supplies of some crucial products in Russia.
Airlines are experiencing an acute shortage of parts because almost all planes are foreign-made. Car parts are also in demand, with global automakers having left the market.
A source in Russia's car sales industry said the trade ministry had sent a list of car parts needed to corresponding ministries and state agencies in other countries, including India.
The list of items from Russia, which runs to nearly 14 pages, includes car engine parts like pistons, oil pumps and ignition coils. There is also demand for bumpers, seatbelts and infotainment systems.
For aircraft and helicopters, Russia requested 41 items including landing gear components, fuel systems, communication systems and fire extinguishing systems, life jackets and aviation tyres.
Russian metals producers like nickel and palladium giant Nornickel (GMKN.MM) have said Western sanctions and self-sanctioning by some suppliers have made it difficult for industrial companies to obtain imported equipment, spare parts, materials and technologies in 2022, posing a challenge to their development programmes.
Hata iwe miaka 20 siyo mitano, yaani mpaka ulaya wawe sawa na Afrika waende porini kuokota kuniMzigo utazidi kuongezwa hata kwa miaka 5..,huu mchezo hauitaji hasira mkuu..,tulia hapo hapo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app