mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ndugu hawa pro urusi hawataki kusikia hayo akili zao wameshaziseti kwamba kwa urusi hakuna baya.Wewe ndo uisikilize akili yako,kama Russia aliondoka hakuondolewa zile air defense alizokua anajaribu kuziset pale snake island zilikua ni za kazi gani?! Russia aliweka Pantsir na Tor pale snake island akidhani zingedhibiti mashambulizi ya Ukraine lakini hazikufua dafu ndege na Makombora ya Ukraine yaliendelea kushuka kama mvua,Russia alivyoona Meli zinazoleta supply pale zinalipuliwa,boti zinalipuliwa na kisiwa chenyewe kinachoshambuliwa akaamua kukimbia halafu unatuletea fix hapa eti aliondoka hakuondolewa.
Kherson njia zote za kupeleka mahitaji kwa wanajeshi zilikatwa na wanajeshi wa Ukraine walikua wanakaribia kuwazunguka warusi,Yule general mwenye mashavu akaamua kuwaondoa wanajeshi wake ili kuwaokoa wasife kama kuku halafu unatuletea propaganda hapa eti hakuondolewa. Ninyi watu acheni kujitoa ufahamu.
Kila bwana mkubwa anapobalaswa wanakwambia strategic retreat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu hawa pro urusi hawataki kusikia hayo akili zao wameshaziseti kwamba kwa urusi hakuna baya.
Mtu anakimbia/anajiondoa kwa kutaka sehemu aliyoidhibiti na wakati silaha nyingi waliwezeka hapo.
Basi tu tuwahurumie, naangalia jinsi wanavyojipetapeta.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
U.S. approves of Ukraine striking Russian-occupied CrimeaLeta hio state
Halaf tukumbushe CRIMEA ilishambuliwa na silaga toka taifa lipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inawezekana kuna watu hapa wanalipwa eeh!?Jamaa wewe ina maana umeshindwa hata kusikiliza akili yako japo kidogo snake island russia aliondoka hakuondolewa. Kherson Russia [emoji635] America kidogo hakuondolewa hebu is isikilize kidogo akili yako usijitoe ufahamu kwa kias8 hiki hata kama wanakulipa
Aiseee India naye anamuogopa PakstanSupapawa ameanza kuhaha
Sanctions-hit Russia asks India for parts for key sectors
Reuters
MoscowUpdated: Nov 29, 2022, 05:00 PM IST
Moscow has sent India a list of more than 500 products for potential delivery including parts for cars, aircraft and trains, four sources familiar with the matter said, as sanctions squeeze Russia's ability to keep vital industries running.
RUSSIA'S STRUGGLES
Western sanctions have crippled supplies of some crucial products in Russia.
Airlines are experiencing an acute shortage of parts because almost all planes are foreign-made. Car parts are also in demand, with global automakers having left the market.
A source in Russia's car sales industry said the trade ministry had sent a list of car parts needed to corresponding ministries and state agencies in other countries, including India.
The list of items from Russia, which runs to nearly 14 pages, includes car engine parts like pistons, oil pumps and ignition coils. There is also demand for bumpers, seatbelts and infotainment systems.
For aircraft and helicopters, Russia requested 41 items including landing gear components, fuel systems, communication systems and fire extinguishing systems, life jackets and aviation tyres.
Russian metals producers like nickel and palladium giant Nornickel (GMKN.MM) have said Western sanctions and self-sanctioning by some suppliers have made it difficult for industrial companies to obtain imported equipment, spare parts, materials and technologies in 2022, posing a challenge to their development programmes.
America is the land of the freeHivi hawa warusi kwanini hawaendi Iran, North Korea au China badala yake wanakimbilia America [emoji23][emoji23][emoji23]
The Moscow Times!
CONTRIBUTE TODAY
U.S. Sees 50-Fold Surge in Russian Asylum Seekers in 2022
Updated: 4 hours ago
The United States has seen a 4,500% rise in asylum requests from Russian nationals this year as Russia’s war in Ukraine has forced critics to flee the country, The New York Times reported Monday.
U.S. authorities processed 21,763 Russian asylum requests in October 2021-September 2022, compared with just 467 in the 2020 fiscal year, according to the publication.
October 2022, the first full month after President Vladimir Putin announced a “partial” mobilization of reservists, saw nearly 4,000 Russian asylum seekers enter the U.S.
Hamjaacha propaganda badoAskari wa super pawer wanazidi kupukutika tu 🥱🥱View attachment 2430619
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hasa hasa IT sector ndio imeathirika zaidi. Kwa kawaida IT ndio kundi lisilo na imani na serikali ya Urusi kuliko makundi ya wataalamu wengine kabla hata ya vita.Hivi hawa warusi kwanini hawaendi Iran, North Korea au China badala yake wanakimbilia America [emoji23][emoji23][emoji23]
The Moscow Times!
CONTRIBUTE TODAY
U.S. Sees 50-Fold Surge in Russian Asylum Seekers in 2022
Updated: 4 hours ago
The United States has seen a 4,500% rise in asylum requests from Russian nationals this year as Russia’s war in Ukraine has forced critics to flee the country, The New York Times reported Monday.
U.S. authorities processed 21,763 Russian asylum requests in October 2021-September 2022, compared with just 467 in the 2020 fiscal year, according to the publication.
October 2022, the first full month after President Vladimir Putin announced a “partial” mobilization of reservists, saw nearly 4,000 Russian asylum seekers enter the U.S.