Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Mkuu namsaidiaMkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaana
Heshima gani mkuu Tuonyeshe.Hii vita imemshushia heshima urusi kuliko wakati wowote ule
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
@T14 Armata hizi ndege zenu zinashida gani MKUU au ndio kisa na sababu zilitengenezwa kwa wingi ndio maana zinaangukaTOY FROM USA IMEVUNJIKA HUKO JAPAN F-35B
View attachment 2432527
[emoji631][emoji929][emoji627]Front landing gear collapsed on an US F-35B in Japan
On December 1, while moving on the way at Kadena Air Base (Japan), an F-35B fighter from the 121st fighter-assault Squadron of the US Marine Corps the front landing gear collapsed
Mkuu KAMAZ tunayo hapa.N
Nimekuambia nitajie gari la mrusi ambalo w umeliona kwa macho yako naona unaleta link hapa.
Gari gani ya jeshi made in Rusia umewahi iona Tanzania? Manake mimi naziona za wahindi sana tena sana
Mtapeleka sana[emoji298]️Pentagon awards Raytheon $1.2 billion contract for NASAMS for Ukraine.
The U.S. Army on Nov. 30 awarded a $1.2 billion contract to Raytheon Technologies for six National Advanced Surface-to-Air Missile Systems (NASAMS) for Ukraine, the Pentagon said in a statement.
URUSI WANATENGENZA KILA KITU KWENYE USO HUU WA DUNIA ,ILA ISHU NI MAPENZI YA WATU.Kwani razima uzijue ww au uzitumie ndo ujue kuwa zipo?
Ww hauzitumii lakini kuna mabilion ya watu duniani wanazitumia na nimesha kutajia nchi ambazo zina tumika sana.
Hata hizo FB, Instagram,sijui Tweet kuna mabilion ya watu duniani hawazitumii na wengine hawazijui kabisa lakini haimaanishi kuwa hazipo.
Mfano fb, Instagram,na tweet, inatumiwa na watu billion 2tu wakati duniani kuna watu zaidi ya bilion 8 ina maana kuwa billion 6 hawatumii wengine wenda wanaijua lakini hawataki kuitumia ila wengine hawaijui kabisa.
Kwa hiyo ww suala la kutojua au kutotumia bidhaa kutoka nchi fulani haimaanishi kuwa nchi hiyo haitengenezi hiyo bidhaa.
Mfano ww nikikuambia unitajie brand yeyote ya kutengeneza magari kutoka Iran sidhani kama unaijua na unaweza kunishangaa, ukajiuliza Iran na magari wapi na wapi.
Lakini unacho takiwa kukijua ni kuwa Iran ni mtengenezaji mkubwa wa magari ambayo soko lake kubwa ni Mashariki ya kati na Asia magharibi.
Kwa hiyo ww kutojua ni kampuni gani kutoka Urusi inayo tengeneza magari , Sahani ,Brander,simu,sijui mambo gani haku maanishi kuwa hawa vitengenezi.
Yaani Urusi inayo tengeneza mameli makubwa ,mandege ya kivita, mastalaiti, mavifaru ije ishindwe kutengeza IST,brender,sijui sahani ,sijui uchafu gani? Hivi mbona watz tunaendekeza ujuaji wa kipumbavu?
Mkuu kuna ukame huko kwenu.Mimi nasema danadana ziendelee mpaka super pawer wa mchongo Aite maji mmaa [emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu naona hats sasa hivi una kukosa hata like pole sanaSuper pawer bado anapigana na Ukraine 🥱
Hili neno super pawer itabidi nitafte maana yake halis, huenda Kuna tafsiri nyingine [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🙃🙃🙃🙃 HIVI KWELI JAMANI WARUSI WASHIDWE KWENYE BARIDI WAKATI NCHI YAO NI BARIDI TUPU , HIVI VICHEKESHO HIVI.😄😄😁😁
Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiria hujui urusi ndo bingwa wa kushinda wakati wa vita?angalia sasa hivi Russia wanavyoadvance Kwa mafanikio.Ustadhi barafu haina cha uzoefu wala nini, Warusi kwa sasa wameishiwa hata vitendea kazi na mavazi hadi wanapora, barafu inawatafuna freshi.
😂😂😂😂 ila pro Russia ni viazi sana au hajawahi sikia kuhusu Nokia.Hivi west ukitoa Us nani mwingine anatengeneza smart phone?
Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiria hujui urusi ndo bingwa wa kushinda wakati wa vita?angalia sasa hivi Russia wanavyoadvance Kwa mafanikio.
Wakati wanaendelea kuchukua maeneo soon donesky yote itakuwa Chini ya warusi.nchi Gani nyingine inayoweza kuvamia nchi nyingine na kuchukua asilimia 20 ya eneo?wewe huwaogopi lakini wenye akili NATO wanawaogopa ndo maana Kila siku wanasema wanaogopa kwenda moja Kwa moja vitani na warusi.Mzee wa "nonesense" kumbe unajua kuandika....hehehe
Hata mimi nilikua naogopa Urusi namna unavyowaogopa, ila wamefumuliwa hadi raha.
Vitendea kazi ukiwa na maana ya Nini?Ustadhi barafu haina cha uzoefu wala nini, Warusi kwa sasa wameishiwa hata vitendea kazi na mavazi hadi wanapora, barafu inawatafuna freshi.
Wakati wanaendelea kuchukua maeneo soon donesky yote itakuwa Chini ya warusi.nchi Gani nyingine inayoweza kuvamia nchi nyingine na kuchukua asilimia 20 ya eneo?wewe huwaogopi lakini wenye akili NATO wanawaogopa ndo maana Kila siku wanasema wanaogopa kwenda moja Kwa moja vitani na warusi.
Hapo Kenya mmefanikiwa kukomboa ekari ngapi kutoka kwa Uhuru Elites!?Wewe nakumbuka humu ulisema utahama JF pale Ukraine wakikomboa hata ekari 50, kipindi hicho Urusi walikua wanashikilia 20%, Ukraine wamekomboa maelfu ya ekari bado unatupigishia makelele humu, na sasa hivi Urusi wameishiwa wanajeshi hadi wanaokoteza kitaani.