Acheni uswahili swahili...kwani unatumia bure..si unanunua?Ukraine washinde vita..wamtoe Mrussi Donbass, Crimea,Kherson yote, etc....Kama hawezi kumtoa despite the fact kwamba anapata assistance kubwa kutoja west itamaanisha Russia bado ananguvu, sio wa kumbeza...Yaani unatumia afu hujui kuwa unatumia, siku nyingine kabla hujauliza jitahidi kufikirisha ubongo wako kwanza.
Natumia Nokia-Microsoft Product- Marekani
Natumia android os-Marekani
Natumia macntosh-Apple Marekani
Facebook, instagram,whatsapp,snapchat, Google e.t.c ni vingi sana kiukweli.
Nimekuambia nipe kimoja tu unachotumia ww made in rusia au hata jirani yako.
Kumponda marekani huku unatumia bidhaa zake ni sawa wendawazimu tu, Rusia kwa marekani ni sawa na mbingu na ardhi kwa kila sekta. Diamonds, golds, gas na madini mengineyo hata marekani anayo na hata sisi Tanzania tunayo tena kwa wingi tu
Nakusubiria unitajie ambacho unatumia made in Rusia au hata anachotumia jirani yako bwashee
Acheni uswahili swahili...kwani unatumia bure..si unanunua?Ukraine washinde vita..wamtoe Mrussi Donbass, Crimea,Kherson yote, etc....Kama hawezi kumtoa despite the fact kwamba anapata assistance kubwa kutoja west itamaanisha Russia bado ananguvu, sio wa kumbeza...
Hayo mambo ya kununua....hata ukitaka ukaoe Mmarekeni...haina tatizo mbona mk
Modern technology ya mrusi ndio hii michuma chuma.Mkuu KAMAZ tunayo hapa.View attachment 2432561
Kwa akili kama hizi hapa kweli unafaa kujadiliana na GT!?M
Modern technology ya mrusi ndio hii michuma chuma.
Supapawa wa mchongo huyu
Ngoja tukuvumilie na ujinga wako.M
Modern technology ya mrusi ndio hii michuma chuma.
Supapawa wa mchongo huyu
Acha maeneno yasiyo na maanaWewe nakumbuka humu ulisema utahama JF pale Ukraine wakikomboa hata ekari 50, kipindi hicho Urusi walikua wanashikilia 20%, Ukraine wamekomboa maelfu ya ekari bado unatupigishia makelele humu, na sasa hivi Urusi wameishiwa wanajeshi hadi wanaokoteza kitaani.