Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizo mig za mwaka gani na hizo 35f nazo zamuda gani!!?

Kama hizo 35f zingekua naidadi sawa yauwingi wa hizo za RUSSIA sihasha zingekua zishaisha muda sanaa

F35 mradi wahovyo sana hata kama zingekua ziko millioni na wanapata sana wateja sababu hawapendi ushindani

Kama TURKEY kununua s400 aliekewa vikwazo unadhani hao wengine ingekuaje

Kama MOROCCO cjui ALGERIA anatishiwa kuekewa vikwazo sababu ya kuekeana dili nono la silaha seuze hao wengne

Bila vikwazo mnaowatishia navyo wapinzani wenu waununuzi wa silaha leo hii RUSSIA ingekua mbali mnoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waulize nini kiliwakuta kwenye winter war waliopigana na Finland

Casualties za Urusi ilikua mara tano zaidi ya Finland
View attachment 2432907
Baada ya hapa ramani ya UFINI ilibakia kama ilivyokua kabla ya vita ama ilibadilika

Matokeo yeyote ya vita yanaangaliwa huko beto field baada ya hio vita UFINI walitii matakwa ya RUSSIA na ardhi yao ikamegwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki wa Supapawa washaanza kumchoka Dikteta uchwaraView attachment 2432945
Nyuma ya UCHINA kuna INDIA ambao wamezidi fanya nae biashara nakufanya avuke vikwazo vyote aliekewa na west nahaya maneno ya MODI hayajaanza leo nawala usidhanie kama hayo yatakua yamwisho

Kama INDIA wanania yadhati RUSSIA aachane na SMO yake huko UKRAINE waache kufanya nae biashara

Ila hayo maneno hayatafanya kwavyovyote vile SMO isimame ama iishe



Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 ila pro Russia ni viazi sana au hajawahi sikia kuhusu Nokia.

Au hata Physics ulikimbia.. hujui technology ya simu imeanzia Europe
Usikimbilie kuwa label watu mwisho wa siku ukaonekana we ndo kiazi. Taja kampuni ambayo iko active kwa sasa Ulaya Magharibi wanaotengeneza smartphone..
 

Nimekutolea mfano wa Su-57 na F-35 ambazo zote ni 5th gen lkn we usharuka umekimbilia kwenye MIG Vs f35!!!!! Mig niliweka km addition tu kuonyesha jins gan hyo ndege ya Urusi ina rekodi mbaya ya kuanguka km kumbikumbi mpk inaitwa jeneza linalopaa.

Vikwazo vya Turkey hata havikua na maana vilikua tu symbolic na wala sio strategic kwamba vya kuiumiza Turkey kwa kutarget mfano;military industry,nk.
Kilichoiumiza zaidi Turkey ni kutolewa kwenye F-35 program ambapo adui yake Ugiriki atakua nazo wakati yeye (Turkey) akiwa na 4th gen fighters F-16.

Algeria amekua mnunuzi wa silaha za Urusi miaka na miaka na sidhani kama alishawekewa vikwazo kwa kununua silaha toka Russia,kuna nchi kama India inanunua silaha za Urusi sijawahi ona imewekewa vikwazo na hivi karibuni India imeanza kununua Kwa wingi silaha toka Marekani kama vile surveillance drones,Radars,ndege toka Ufaransa nk. Na kwa jinsi silaha za Urusi zilivyoonesha udhaifu kwenye hii vita ya Ukraine sina shaka nchi nyingi zitakimbia kununua silaha za Urusi watakimbilia silaha za west.

Mwisho;Mpaka sasa hakuna ndege yenye Teknolojia ya hali ya juu kama F-35 ndio maana kila siku nchi zinapeleka maombi Marekani wakiitaka hiyo ndege.
 
China na India sio allies wa Russia Bali ni Partners ndio maana hata kule Umoja wa mataifa mara nyingi hawapigi Kura za kusapoti maazimio ya Urusi hua hawapigi Kura kabisa na wakati mwingine wanapiga Kura kinyume kabisa na Russia.

China na India zipo kimaslahi zaidi,bidhaa kama mafuta na Gas wanapata discount hawanunui kwa Bei iliyopo sokoni.

Wangekua allies wa kweli kindakindaki Leo hii tungeona wakishusha misaada ya silaha kwenda Urusi lkn cha ajabu bwana mkubwa kakimbilia Iran kuomba msaada wa drones wakati China ina maelfu ya drones za kila aina.
 
Russia ana Allie Mmoja tu mtiifu, BELARUS . Sababu hakuhagaika na world dominance kama kiranja.

Lakin unlike UK , France na Ulaya wengine, Russia anajimudu in terms of security ya kijeshi. America anapenda utawala dats why anahangaika sana kutafuta chawa. Russia anaimarisha guvu yake kijeshi kuilinda russia na threat za majiran.

Us anahangaika na threat zilizopo maelf ta km toka kwake. #Hegemony
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…