Mwanamke anakusukuma KWA mkono mmoja unatakiwa kujiongezeaAmesema Yuko tayari kuzungumzia na Putin iwapo urusi itaonesha Nia ya kumaliza vita kwa kuondoa majeshi yake nchini Ukraine..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa anasema yupo tayari nani kamuomba!? Anajitekenya na kucheka mwenyewe.Acheni kupotosha.., Biden kasema Yuko tayari kukaaa mezan na Putin ikiwa Putin ataonyesha Nia ya kumaliza vita kwa kuondoa vikosi vyake vyote nchini Ukraine..,baada ya Biden kutoa sharti Hilo ikulu ya clemlin ikajibu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2433622
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ishu ya maongezi Kaomba MACRON katika diplomasia huwezi kutoa statement ya MOJA KWA MOJA . Kumbuka kauli ya USA sio RUSSIA atoke bali wangemuondoa SASA wanamuomba atoke . Ishu ni kutafuta pa kuanzia.Acheni kupotosha.., Biden kasema Yuko tayari kukaaa mezan na Putin ikiwa Putin ataonyesha Nia ya kumaliza vita kwa kuondoa vikosi vyake vyote nchini Ukraine..,baada ya Biden kutoa sharti Hilo ikulu ya clemlin ikajibu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2433622
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dah hivi nyinyi watu akili zenu mmeziweka wapi?.Sorry to tell you yotaphone haifanyi vizuri kihivyo, haiko hata kwenye top 10 ya brand zinazotumika zaidi duniani, competition ni kubwa sana kwenye hiyo industry.
Only antivirus maybe
Karpesky si namba moja kwa antivirus kuna zingine. But iko top 3.
Check your facts kwanza
Hali mbaya ulayaBiden yupo tayari KUZUNGUMZA na Putin juu ya kusitisha vita . Naona game ngumu. Hiyo ni baada ya kukutana na Macron
Kumbuka hapo mwanzo Putin hakuonekana kutilia mkazo suala la mazungumzo ya kumalizia vita..,ameonekana kusisitiza kwamba Yuko tayari kwa mazungumzo.. baada ya kuona mambo yanakuwa magumu kwa battle front,Ishu ya maongezi Kaomba MACRON katika diplomasia huwezi kutoa statement ya MOJA KWA MOJA . Kumbuka kauli ya USA sio RUSSIA atoke bali wangemuondoa SASA wanamuomba atoke . Ishu ni kutafuta pa kuanzia.
Hii kauli imekuja baada ya Upande wa West kushindwa kukabili madhara ya vita
Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?
Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia?
Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing.
Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia awekeze kwenye maendeleo ya sayansi ya kileo, aachane na mambo ya kizamani, mwenzake China anakimbiza sana na Muhindi pia anakuja kwa kasi ya ajabu.
Elimu ya Russia ilikuwa ya kizamani zaidi ila Dunia imebadilika na watu wapo kwenye modern sayansi. Unakuwaje Taifa kubwa na hata kakiwanda kabajaji ambazo unaweza fanya biashara na mataifa mengine na ukaongeza ushawishi wako.
Russia nje ya gas na nuclear hana jipya
Siraha za selikal yako mnatoa kijijini kwenu?Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?
Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia?
Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing.
Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia awekeze kwenye maendeleo ya sayansi ya kileo, aachane na mambo ya kizamani, mwenzake China anakimbiza sana na Muhindi pia anakuja kwa kasi ya ajabu.
Elimu ya Russia ilikuwa ya kizamani zaidi ila Dunia imebadilika na watu wapo kwenye modern sayansi. Unakuwaje Taifa kubwa na hata kakiwanda kabajaji ambazo unaweza fanya biashara na mataifa mengine na ukaongeza ushawishi wako.
Russia nje ya gas na nuclear hana jipya
Umemwambia ukweli kabisa,Mimi nimempa hii.Punguza ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu.
Ww hapo unaweza kunitajia bidhaa kutoka Israel, Singapore,Taiwan au Finland ambayo unaitumia kwenye maisha yako?
Lakini hayo mataifa niliyo yataja ni moja wapo wa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu sana ulimwenguni lakini mara nyingi huwa ni kwa ajili ya mahitaji yao ya ndani.
Urusi inatengeneza bidhaa za kila aina sema makampuni yake hayajajitanua na kuwa makubwa, na mara nyingi ili uone bidhaa za Urusi inabidi uende kwenye nchi za Ulaya mashariki ,Asia ya kati na baadhi ya mataifa ya magharibi na hata America ya kusini hizo nchi ndio watumiaji wakubwa wa bidhaa za Urusi na sio razima uzitumie ww kutoka bara la giza.
Hata kwa upande wa mitandao ya kijamii warusi siyo watumiaji sana wa mitandao ya kijamii ya kimagharibi bali wana mitandao ya kijamii ya kwao wanayo itumia, hata mtandao wa Telegram una kutokea Urusi bila shaka hili ulikuwa hulijui.
Alafu kingine unacho takiwa kutambua ni kuwa sio razima kila nchi iwekeze kwenye eneo moja ,,yaani kisa tu Ujerumani na Japan wanewekeza kwenye magari basi na Urusi ikimbilie huko huko?
Nyinyi ndo huwa mnafeli kwenye biashara kwa kuiga biashara za watu bila kujua huyo mtu mpaka anaingia kwenye biashara hiyo amepita njia ipi.
Kitu unachoweza ni kupayuka tu.Kumbuka hapo mwanzo Putin hakuonekana kutilia mkazo suala la mazungumzo ya kumalizia vita..,ameonekana kusisitiza kwamba Yuko tayari kwa mazungumzo.. baada ya kuona mambo yanakuwa magumu kwa battle front,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aisee una upeo mdogo mno.Ukweli kabisa huu, kwa Sasa Urusi imekuwa dhaifu mno na hii Vita vimedhihirisha hilo.
dudus lee van cliff T14 Armata
INDIA WANAJUA SANA KWAMBA KIPINDI WAO WANAPATA SHIDA MRUSI ALIMSAIDIA SANA, KIPINDI INDIA WANAPIGANA NA PAKISTANI USA ALIKUWA ANASAIDIA PIKISTANI AMCHAPE INDIA ILA URUSI ALIKUWA PAMOJA NA INDIA.India gawawrzi kuacha kufanya biashara na Russia. Mondi mwenyewe anajua kuwa wese likipanda tu bei hamalizi wiki ikuluπ
Bwana zele huyo anauza siraha za misaada anazopewa kutoka kwa EU, Canada na USA. ππππ³π¬πΊπ¦β‘οΈWeapons from the Ukrainian war are sent to the Sahel, said the President of Nigeria.
General Muhammadu Buhari warned his government and the governments of neighboring countries at a meeting in Abuja about the serious threat posed by the current war in Europe in the form of smuggled weapons from Ukraine.
ππππππππVikwazo ni njia ya kioga ya kupambana na adui yako. Na vikwazo havina impact kwa nchi zinazojiweza. Vikwazo vinawaumiza wanyonge tu na raia wasio na hatia. Vikwazo vya Urusi vinaiumiza zaidi dunia na hasa nchi masikini.
Vikwazo havijaifanya NK iachane na mpango wake wa nuclear, Havijaifanya Iran iachane na Mpango wake wa nuclear, havijaifanya Urusi isitishe uvamizi wake Ukraine.
Urusi ingeweza kuiwekea vikwazo Ukraine lkn isingeizuia kujiunga na NATO. Kuna namna rahisi sana za kubypass vikwazo.
Pia vikwazo ni sababu ya adui wako kujizatiti kisawasawa. Vikwazo vinaifanya NK inakuwa Imara kila siku kijeshi. Vikwazo vinaiimarisha urusi kila siku bila kuisahau iran. Laiti kama US asingeivamia Iraq akaiwekea vikwazo tu leo hii tungeiona iraq iliyoota mapembe zaidi.
Hata mashirika ya UKIMWI yanaonya kufirimbana ni hatari na inaambukiza UKIMWI kiurahisi kule kutumia mbunye... . Si jambo geni....π΅π±πΊπ¦ Ukrainian refugees have caused a record increase in the incidence of HIV in Poland. It is reported by Wirtualna Polska.
βIn October, 1910 new cases of HIV infection were detected. There have never been such alarming statistics in the country,β the newspaper writes.
YuLE KIPA WA AZAM ANGEISAIDIA GHANA KULIKO HUYU CHIZIHata mashirika ya UKIMWI yanaonya kufirimbana ni hatari na inaambukiza UKIMWI kiurahisi kule kutumia mbunye... . Si jambo geni....
Hiki ndicho unachoweza.Dikteta alijiingiza mwenyewe mtegoni..,na ukamnasa kweli [emoji848]View attachment 2433712
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hushangai kwa Sasa kuna special operation iliyochukua muda mrefu zaidi duniani...huo sio udhaifu wa Supa-pawa ?Aisee una upeo mdogo mno.