Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Ishu ya maongezi Kaomba MACRON katika diplomasia huwezi kutoa statement ya MOJA KWA MOJA . Kumbuka kauli ya USA sio RUSSIA atoke bali wangemuondoa SASA wanamuomba atoke . Ishu ni kutafuta pa kuanzia.
Hii kauli imekuja baada ya Upande wa West kushindwa kukabili madhara ya vita
[/QUO
Huyo jamaa huwa haelewi...mnapoteza muda..
Russia 🇷🇺Mshindi alikuwa nani.
SMO hua inachukua muda gani!!?Hushangai kwa Sasa kuna special operation iliyochukua muda mrefu zaidi duniani...huo sio udhaifu wa Supa-pawa ?
dudus T14 Armata
West wanataka mazungumzo makombora hayazuiliki . NATO hawazungumzi lugha MOJA . MAISHA ya waukraine yamekuwa magumu Wakimbizi kibao . Je NATO na west wasaidie kuirudisha miundombinu ama iongeze silaha . Ukraine akishambulia eneo MOJA anapigwa KILA mkoaMwanaume anaongea[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2433824
Msingi wa swali lako haujakaa sawa. Unashurutisha kuwa kuwepo na maana fulani kama Urusi anaweza/hawezi kuweka vikwazo. Sio lazima. Anaweza au Asiweze na kusiwe na maana yeyote ile.Hujajibu swali, Jikite kwenye swali uliloulizwa. Je urusi hawezi kuziwekea nchi nyingine vikwazo?
Na kama hawezi, Je tafsiri yake nini?
Naona west wanataka mazungumzo na urusi nilisikia za chini chini maghala ya silaha yanakaribia kuisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo lazima wajisalimishe wengi tu, mtu hawezi kuweka uhai wake rehani eti kisa upuuzi wa mtu mmojaUkraine ilitoa namba ambayo wanajeshi wa Urusi wanaotaka kujisalimisha wapige na kuokolewa kimya kimya, wanapiga kwa maelfu hadi umekua shida.
Ikumbukwe wanajeshi wa Urusi hawana utashi kwenye hivi vita, maana havina tija yoyote kwenye taifa la Urusi, wanapelekwa wakajifie tu bila sababu zozote za msingi.
============
Source:bibisiiUkraine ilitoa namba ambayo wanajeshi wa Urusi wanaotaka kujisalimisha wapige na kuokolewa kimya kimya, wanapiga kwa maelfu hadi umekua shida.
Ikumbukwe wanajeshi wa Urusi hawana utashi kwenye hivi vita, maana havina tija yoyote kwenye taifa la Urusi, wanapelekwa wakajifie tu bila sababu zozote za msingi.
============
Source:bibisii
Inawezekan vip??taraatibu za kijeshi Dunia kote.Ukraine ilitoa namba ambayo wanajeshi wa Urusi wanaotaka kujisalimisha wapige na kuokolewa kimya kimya, wanapiga kwa maelfu hadi umekua shida.
Ikumbukwe wanajeshi wa Urusi hawana utashi kwenye hivi vita, maana havina tija yoyote kwenye taifa la Urusi, wanapelekwa wakajifie tu bila sababu zozote za msingi.
============
Wanasemaga ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.Inawezekan vip??taraatibu za kijeshi Dunia kote.
Unapoenda mafunzoni au kwenye misheni ya kijeshi haUruhisiwi kua na simu ya mkononi.
Kwa KILA platoon au batalion kuna kua na simu kadhaa za kijeshi ambazo pia zinamifumo ya kujirinda dhidi ya udukuzi wa adui.
Sasa hao wanaopiga simu kwa maelfu na wapo uwanja wa vita inawezekan vip?.
Kwa sheria za kijeshi ukumpigia simu adui huo ni usaliti na uhani adhabu yake ni kulimwa shaba.
Itoshe kusema hiyo ni cheep propaganda.
Inawezekan vip??taraatibu za kijeshi Dunia kote.