Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si hivyo TU ishu ya India kuwa na nuclear missiles limechangiwa na Russia kwa asilimia za kutosha

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 

Sio kwamba hataki Ila Hana nguvu za kiuchumi za kufanya wanayofanya wenzake we Uchumi wa $1.7 trillion Nani atataka awe chawa wako?! Machawa wenyewe hua wanaangalia pa kujichomeka pale pa pangu pakavu Tia mchuzi hawapataki.

Angalia jinsi Uchina inavyojitanua Kwasasa,mbona haikufanya hivyo miaka 20 iliyopita?! Si ilikua bado haina nguvu ya Uchumi iliyonayo Leo. Marekani ina blue water navy Yani jamaa yupo Bahari zote za dunia hii sababu analinda maslahi yake kwenye maeneo hayo yote huyo Russia kajifungia kwake ndio maana mpaka Leo karibu Nusu ya federal budget anaitoa Kwa kuuza mafuta na Gas. Leo ndo anakumbuka kuanza kutafuta allies,anavuta shuka kumekuchaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakumbushe Askari wa partial mobilization bado hawajaingia Ukraine Kwa hiyo wakae Kwa kutulia mambo bado [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mobilizee wapo Ukraine tangu October,Leo hii ni December sina Shaka karibu 90% watakua washatupwa huko lakini hamna effect yoyote waliyoleta. Jiandae kisaikolojia Kwa second mobilization maana baridi itawalamba kama kumbikumbi

Russia's partial mobilization of troops for Ukraine is complete, defense minister says
Sergei Shoigu said that of the 300,000 mobilized recruits, 218,000 remained in training, while 82,000 had been deployed to the conflict zone.
Russia's partial mobilization of troops for Ukraine is complete, defense minister says
 
Mig 21 toleo la mwanzo 1956 miaka kadhaa TU baada ya ww2 ..imeacha kuzalishwa mwaka 1980s.
F 35 toleo la mwanzo 2015 .
Currently On production.
Zilizopoteza uhai zaidi ya 35

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nimetolea mfano Su 57 ya Urusi Vs F-35 ya Marekani.

Urusi ina Su-57 12-15 lakini ilishapata ajali.

Mpk sasa kuna F-35 860, tukichukua data zako za ajali 35 piga hesabu uone ndege gani ni kimeo.

Iran mpaka Leo inatumia F-14 za Marekani lakini hatusikii zikianguka anguka kama kumbikumbi japokua hawakupewa spears tangu mapinduzi.
 
Kama Su-57 ingekua Bora India asingejitoa kwenye hiyo Project.

India ilisema wazi hairidhishwi na uwezo wa hiyo ndege ukilinganisha na ndege nyingine za kizazi cha tano

Delays were caused by New Delhi and Moscow disagreeing over many fundamental aspects of the joint development project including work and cost share, aircraft technology, as well as the number of aircraft to be ordered. After evaluating the first PAK FA T-50 [Su-57] prototype (the Russian prototype of the PMF), the [ IAF] wanted more than 40 changes addressing, among other things, perceived weaknesses in the plane’s engine, stealth, and weapon-carrying capabilities.
India Pulls out of Joint Stealth Fighter Project With Russia

Hawa ni wahindi wenyewe wala sio Mimi Mjukuu wa Bitozo hapa Tandale kwa mfuga mbwa

According to Indian air force officials, the Su-57 was too expensive, poorly engineered and powered by old and unreliable engines. The Indians' complaints illustrated the yawning gulf between stealth-warplane design and the actual production of radar-evading jets.
Why India Rejected Russia's Advanced Su-57 Fighter Jet
 

Hiyo ni tabia mzee, wala siyo uchumi..

UK ana uchimi mdogo kwa China laki aanahangaika na siasa za mataifa mengine, Ufaransa pia ndo balaa.

Hawajaanza leo hiyo Tabia mkuu, NI TANGU UKOLONI . MAREKANI SI NDO BABU ZENU WALIKUWA WANAKWENDA KULIMA?..

HIYO NI TABIA YAO, WALIGAWANA BARA LETU 1884 huko Berlin.

Hitler alitaka kutawala dunia 1940's
 
The Russian military destroyed the major of the Ukrainian State Bureau of Investigation (SBI)

Artem Prisyazhnyuk was destroyed in the Donbas during an artillery and air strikeView attachment 2433467
Senior Lieutenant Маслов Виктор Вадимович (Maslov Viktor Vadimovich) was killed in Ukraine.
vk.com/wall-178746454…


Senior Lieutenant Военков Илья (Voenkov Ilya) from the 104th Guards Airborne Assault Regiment was killed in Ukraine.
vk.com/wall-26673779_…

Senior Lieutenant Царапкин Никита Дмитриевич (Tsarapkin Nikita Dmitrievich) was killed in Ukraine. Thanks to @sitizen_toxi for the tip.
penzainform.ru/news/incidents…

Senior Lieutenant Отмахов Андрей Игоревич (Otmakhov Andrey Igorevich), a platoon commander, was killed in Makiivka, Ukraine on 5 November.
vk.com/wall-207430084…
 
@Axel Lloyd

Msimamo wa RUSSIA naona umebakia pale pale baada ya waoga kutaka jamaa aiache UKRAINE sasa wachague wenyewe

UKRAINE kukubali kushindwa na kuachia sehemu za ardhi yake nisuala la muda tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tangu lini msimamo wa Marekani ulibadilika?!

Na Biden hakuomba mazungumzo na Putin kama mnavyotaka kupotosha Ila alisema atakaa chini na Putin iwapo tu ATAONDOA MAJESHI YAKE NDANI YA UKRAINE. Kama hilo halijafanyika bhas hakutakua na maana ya kukaa chini kuzungumza.

Na ameshaomba Congress $34 billion ili kuendelea kufund vita ya Ukraine.
 
Mbona tunaona huko Twitter wanajeshi wa Russia na Ukraine wote wakiwa na smartphones tena wakiwa kwa frontlines wakichukua video?!
 
Nitajie silaha bora hata moja kutoka india iliyowahi kutokea duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hata Russia anataka kuitawala Ukraine Leo 2022.

Russia aliipiga Georgia.

Uchumi wa UK ni karibu mara mbili ya ule wa Urusi.
Sasa kama ni tabia zao (West) kwanini na China nae anafanya kilekile anajitanua duniani kote,kaanza kambi ya jeshi hapo Djibouti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…