BusinessOriented
JF-Expert Member
- Oct 23, 2022
- 259
- 570
Watu wa upinde akili zao zero kabisaa...Mwenzao Putin yuko serious wao wanachekacheka tu... rubbish.Sasa Kherson imerudi Ukraine kwani??
Hapana
Wewe umesema waindi walijitoa kwenye mkataba wa su57 kwa sababu walidai zina mapungufu mengi.
1. Waindi hawakujitoa kwa sababu ya mapungufu ya Su57. Maana walikubaliana mapungufu yafanyiwe marekebisho. Zipo sababu nyingine ndio ziliwafanya wajitoe. Prototype imetoka 2010 wao wamejitoa 2018.
2. Mapungufu waliyoyasema waindi hayakuwa mapungufu ya su57 bali mapungufu kwenye prototype ya su57. Ni vitu viwili tofauti. Na actually huwezi kusema ni mapungufu wao walitaka mambo namna yao.
Hoja yetu ilikuwa su57 iliyokabidhiwa 2020 na sio prtotype ya Su57 vs f35
We kweli chizi.napoteza muda wanguWewe ndo huelewi unarukaruka kama maharage. Hata kwenye hiyo paragraph ya Wikipedia wamekuandikia "concept based on Russian Su-57".
Kabla wahindi kuanza kufund hiyo project Urusi iliwapelekea prototype ya Su-57,wakati ule T50 ili wahindi waifanye evaluation ndo pesa itoke. Wahindi kuichunguza prototype wakasema ni poor designed,ina engine mbaya na hata stealth profile yake hairidhishi ndipo wakaamua kujitoa. Sasa ww hapo unachobisha ni kipi?! Wakati wataalam wa India wenyewe ndio waliotoa hizo feedback.
Unadhani watu hua wanatoa ela Tu kununua au kufund project fulani lazima assesment ifanyike wakiona project haina maslahi wanajitoa,mbona India haikujitoa kwenye project ya pamoja (na Russia) ya kutengeneza Brahmos missiles?!. Si sababu ilikidhi mahitaji Yao.
Kwanini haikujitoa kwenye project ya pamoja na Israel kutengeneza Barak air defense systems based on Israel's Barak system.
Hata Australi ilijitoa kwenye deal la kununua diesel submarine toka Ufaransa wakakimbilia Nuclear submarine ambazo itazipata toka kwa Marekani & Uingereza chini ya AUKUS.
Kauli yako ni dhihaka, kejeli na dharau kubwa kwa wakristo wote wakiwemo wakatoliki na pia Russian orhodox wanaoamini nguvu kubwa ya maji ya baraka...umeingilia imani ya mamilioni ya wakristo kote duniani...Karne ya 21 taifa linalojiita super pawer linawamwagia maji ya baraka mobilized soldiers..,bado Wana mawazo ya kinjekile ngwale[emoji848][emoji848]🥱..,halafu Kuna mazombi yanamwaminiView attachment 2434749View attachment 2434750
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utateseka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Super pawer anamobilize Mpaka bibi vizee na kuwapeleka front line.., wanajeshi wote wenye uzoefu wamelambishwa mchanga [emoji848][emoji848]..,Sasa Hawa bibi vizee watawezaje kumudu mikikimikiki ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji848]🥱View attachment 2434755View attachment 2434756
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hicho kibibi sijui kibabu hakimalizi hata wiki Kwa frontlineSuper pawer anamobilize Mpaka bibi vizee na kuwapeleka front line.., wanajeshi wote wenye uzoefu wamelambishwa mchanga [emoji848][emoji848]..,Sasa Hawa bibi vizee watawezaje kumudu mikikimikiki ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji848]🥱View attachment 2434755View attachment 2434756
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chizi was just chilling then boom [emoji95][emoji1787][emoji1787]We kweli chizi.napoteza muda wangu
Wewe unaaamini maji ya baraka yanaweza kubadili matokeo kwenye uwanja wa vita?Kauli yako ni dhihaka, kejeli na dharau kubwa kwa wakristo wote wakiwemo wakatoliki na pia Russian orhodox wanaoamini nguvu kubwa ya maji ya baraka...umeingilia imani ya mamilioni ya wakristo kote duniani...
Sisi wengine kazi yetu ni kukuonya tu..yatakayokupata kwa dhihaka hiyo kwa dini za watu hakuna anayejua...
Wewe unaaamini maji ya baraka yanaweza kubadili matokeo kwenye uwanja wa vita?
Hizi ni dalili za kutapatapa na kuishiwa mbinu
Mbona mwezi February wale askari wazoefu hawakufanyiwa haya?
Hawa wanapewa morali tu Ili wapelekwe vizuri machinjioni,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sijui kwa nini urusi anakosa huruma na raia wake kiasi hiki [emoji848] ...,huyo Mzee hata kushikilia bunduki tu ni shida, achilia mbali kufyatua risasiHicho kibibi sijui kibabu hakimalizi hata wiki Kwa frontline
Hakika,Me binafsi ni mkristo na siamini huo upupu.
Wakati anavamia Ile February mbona hawakumwagiwa hiyo mimaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Kawachoka[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwa nini urusi anakosa huruma na raia wake kiasi hiki [emoji848] ...,huyo Mzee hata kushikilia bunduki tu ni shida, achilia mbali kufyatua risasi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vita mbaya kuja kurudi kwa hali ya KAWAIDA itachukua mda sana[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Comment na like zenu fupi fupi [emoji120]
Kwan kuna mtu alisema Su-34 ni stealth?Hii Airforce ya Supapawa ni ya mchongo[emoji23][emoji23]
[emoji298]️Border guards shot down a Russian fighter SU-34 in the vicinity of Bakhmut.
This was reported in the State Border Service of Ukraine.
The cost of the destroyed aircraft is estimated at $50 million.
@Flash_news_ua