Wamekubali kuwa ndege zilizoharibiwa ni 4Baadae Russia watapinga watasema ni ajali ya kawaida kama walivyokanusha kule Crimea wakaja kuumbuliwa na satellite photos[emoji23][emoji23][emoji23]
Naionea huruma sevastopol, lazima wahame tu.Zile impregnable air defense zetu S-400 sijui zilikua wapi mpaka base muhimu kama hii inapigwa na Drone
Russian bombers air base Engels under attack, two planes burning.
In Russia, it was reported that an unknown drone attacked an airport in the Saratov region. It is about the airport in Engels, where strategic bombers are based, which launch missile strikes on Ukraine. The video of the alleged explosion was posted by various Russian Telegram channels.
Engels-2 is the main airbase of Russian strategic bombers. The main home is the 121st Guards Heavy Bomber Aviation Sevastopol Red Banner Regiment, which operates precisely with Tu-160M bombers, as well as the 184th Heavy Bomber Aviation Regiment, whose pilots serve the Tu-95M bombers. Since the beginning of the war, Russia has used the base several times as a staging post for bombing Ukraine.
Na ukiona Russia kasema wamekufa watu 4 bhas jua wamekufa mara tano ya hao, Ile kambi ya kule Crimea ilivyopigwa walisema kila kitu kiko Sawa hakuna uharibifu mkubwa baadae satellites images za Maxar na wengine zikawaumbua...ndege tisa zilikua zimelipuliwa na uharibifu mkubwa kambiniWamekubali kuwa ndege zilizoharibiwa ni 4
Vifo 3
Majeruhi 6
Ila hawajasema chanzo cha hilo shambulizi.
Kama hiyo base imepigwa, nimeamini Urusi haina Air Defence
Aiseee mbona leo ni kazi, inabidi Ukraine na yenyewe iharibu grid za Urusi ili Urusi iache shambuliaBase nyingine ya Russia inaitwa Dyagilevo Lori la mafuta limelipuka,watano wamekufa mpaka sasa wengine majeruhi. Warusi wanadai ni sabotage [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Sevastopol si walishaanza kuhamisha submarines zao,na UK kawapa Ukraine ant sub helicopter bado wako wanaendelea na mafunzo. Wakimaliza Urusi ajiandae,plus Wana project ya kutengeneza naval drones zaidi ya mia zenye Range zaidi ya 500 miles,kama zile zilizotumika kulipua warships za Russia mwezi uliopitaNaionea huruma sevastopol, lazima wahame tu.
Ukraine atakuwa hatari sana baada ya hii vita
Kama namuona Yule kamanda mashavu anavyotayarisha mipango ya kupiga Makombora ya kutosha transfoma za Ukraine kulipa kisasi[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee mbona leo ni kazi, inabidi Ukraine na yenyewe iharibu grid za Urusi ili Urusi iache shambulia
Mwanzo NATO na Allies walimuogopa Urusi ila kwa alichofanya Ukraine wamefunuliwa mengi sanaHapo Sevastopol si walishaanza kuhamisha submarines zao,na UK kawapa Ukraine ant sub helicopter bado wako wanaendelea na mafunzo. Wakimaliza Urusi ajiandae,plus Wana project ya kutengeneza naval drones zaidi ya mia zenye Range zaidi ya 500 miles,kama zile zilizotumika kulipua warships za Russia mwezi uliopita
Yaani Iko hivi hiyo bahari nyeusi mrusi lazima afukuzwe hukoHapo Sevastopol si walishaanza kuhamisha submarines zao,na UK kawapa Ukraine ant sub helicopter bado wako wanaendelea na mafunzo. Wakimaliza Urusi ajiandae,plus Wana project ya kutengeneza naval drones zaidi ya mia zenye Range zaidi ya 500 miles,kama zile zilizotumika kulipua warships za Russia mwezi uliopita
Kwa zile mbwembwe za Putin na Yale magwaride hata wewe lazima uogope[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzo NATO na Allies walimuogopa Urusi ila kwa alichofanya Ukraine wamefunuliwa mengi sana
Atakiona cha mtema kuni [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Iko hivi hiyo bahari nyeusi mrusi lazima afukuzwe huko
Crimea lazima afukuzwe
Hawakuwa wanamuogopa. Hakuwakua wamejiandaa Kwa vita lkn taratibu wamekua wanajiandaa na kupanga mikakati Yao na huko mbele watakuja kuishambulia Russia km upepo wa kisuli suliMwanzo NATO na Allies walimuogopa Urusi ila kwa alichofanya Ukraine wamefunuliwa mengi sana
Hahahaha vina mhh muda basiUkraine wamefanyia majaribio drones yenye uwezo wa kuruka umbali wa Km 1000 na kubeba kichwa Cha bomu lenye uzito wa kg75. Majaribio haya yamefanikiwa Kwa asilimia zote.
Sasa maghala ya mafuta na Kambi za kijeshi na miundo mbinu ya Russia ya kijeshi yote iko ktk target. Moscow yenyewe iko ktk target mpk ikulu ya Putin iko ktk target.....
Yaani NATO hawakua wakiogopa... Aliekua tayari Kwa vita ni US peke ake lkn washirika wake Wengine hawakua tayariKwa zile mbwembwe za Putin na Yale magwaride hata wewe lazima uogope[emoji23][emoji23][emoji23]
Makombora makubwa kama tanki za Kiboko,lazima uogope usifanye mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Anazama sasa, anashika kila mahali ili kujiokoa,pole zake,it is too late.
Aisee wewe ni kipofu kabisa.Nadhani Wizara ya Afya iko sahihi kuunda kitengo cha Afya ya Akili,Gwajima was damn right.US ndio baba lao yaani Huyu US ndio baba wa Dunia atakae bisha na abishe tu lkn US ndio baba lao. Huko Kwa Ukraine hapawezi kuyumba maana Ukraine lazima iingie NATO na Russia lazima atoke ktk ardhi za Ukraine na atatoka tu.
Muda utaongea.Aisee wewe ni kipofu kabisa.Nadhani Wizara ya Afya iko sahihi kuunda kitengo cha Afya ya Akili,Gwajima was damn right.