Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia ana strategic bombers elfu 1. Duuuh[emoji23][emoji23][emoji23] huyo Marekani mwenyewe Hana hiyo idadi
Namaanisha anastategic bombers nyingi Sana Kwa hiyo Hilo shambulio ni ndogo Sana ukilinganisha na kitu Ukraine anachoenda kufanyiwa.anapigwa Kila mji na kila eneo na Hana la kufanya.baadaye msije kuwaita warusi kuwa ni wakatili.
 
Poor copy and paste.....

Yaani wewe waona hizo ndio sbbu?

Km Ulaya na US wangekuwa wanapigana Russia ivi unafikiria hii Russia ingesalimika?
 
Wenzake wanapiga miundombinu ya kijeshi yeye anapiga Raia. Si ukichaa huo.
 
Shambulio dogo wakati Drone imepiga ndani kabisa ya Urusi?!!!!!

Vipi zile air defense systems unazosifia zilikua wapi?!!!!!!![emoji23]
 
Poor copy and paste.....

Yaani wewe waona hizo ndio sbbu?

Km Ulaya na US wangekuwa wanapigana Russia ivi unafikiria hii Russia ingesalimika?
Hivi unajua maana ya copying and pasting kweli wewe,it seems you don't.

Anyway,ukweli ni hu,wanajeshi
wa Ulaya na Marekani wapo Ukraine,hata viongozi wa Marekani na Ulaya wamekiri,sasa who are you to deny it,tena ukiwa Mbagala!Funny and shame on you.
 
Wenzake wanapiga miundombinu ya kijeshi yeye anapiga Raia. Si ukichaa huo.
Kupiga miundo mbinu ya kijeshi itamsaidia nini wakati haiwezi kudhoofisha warusi?unajua madhara ya kukosa umeme? Ukraine atashindwa kuendesha mitambo,usafirishaji utadhoofika.kama huna akili huwezi kuelewa strategy ya warusi.
 
Tangu alipoanza kushambulia hiyo miundombinu ya umeme mwezi October imeathiri kitu gani operation za kijeshi za Ukraine?! Si mwezi uliopita wamekimbia Kherson...na sasa Ukraine inachanja mbuga kuikamata Svatone na Kreminna
 
Sasa hivi warusi wanasonga mbele soon wanaikama bakhmut.kherson wameishia mjini Tu.
 
ushoga ni mfumo kristo? hivi nyie hizi akili zenu zikoje?
 
Eti wanajeshi wa ulaya wako Marekani. Shame on you. Umeona ata fleet Moja ktk hiyo vita inafanya kz? Umeona ata B 52 au B- 2 ziko happ? Umeona ata Patriot ziko hapo? Au ma Tomahawk na appache Helcopta?

Au umeona Abraham tanks hapo? Si kuna tu vitu vidogo tu Amepewa Ukraine ndio tunaisumbua Russia?

Hebu acheni ujinga nyie Warusi wa kibiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…