President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kumbe huna taarifa kaangalie sky news, BBC au media nyingine kinachoendelea hukoBakhmut Bado Iko chini ya Ukraine na warusi wameanza kukimbia.
Soma taarifa hii kutoka UK uone ni Kwa namna Gani Russia ktk vita alivyo fail View attachment 2436652
Ulishawahi kuona katibu mkuu wa NATO Katangaza kutoa misaada ya silaha na kijeshi Kwa Ukraine?Sasa mbona hueleweki MKUU
Huko juu umesema NATO hatoi msaada halaf hapo chini ukasema anatoa msaada
Tuelewe anatoa ama hatoiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdudu HIMARS jamani hapo hajapachikwa ATACMS [emoji123][emoji123][emoji123]Sijui umeibika kutoka wapi wewe
Kiboko ya Russia na China hiyo inakujaKuna majitu mengine unaachana nayo tu. Huyo jamaa kichwa chake hakiko sawa.
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine unafanya kz vzr sn[emoji95][emoji95][emoji95]Explosions in Kiev - Internet gone[emoji95][emoji95][emoji95]
WEWE BADo NI MSHAMBA HUJUI CHOCHOTE. TULIE UKIKUA UTAJUA DUNIA ILIVYO. WENZAKO WALIKUJA NA MBWEMBWE HIZI HIZI KWA SASA WANAPUYANGA TU.Kiboko ya Russia na China hiyo inakuja
B-21 yaani hiyo ni Long range bombers..... Km zaidi ya 1000View attachment 2436710
Usikose kutuletea pia habari za zile base za Russia zilizokaangwa Leo[emoji2957][emoji2957]WATU WANAJIFICHA KWENYE MAHANDAKI. WAYUKIRENI WA KIBOSHO UMBWE WANAPIGA POROJO
[emoji95][emoji95][emoji95]Six explosions in Kiev[emoji95][emoji95][emoji95]