Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Acha kamba wewe... Yaani hizo taarifa zote ninazo. Akijamba tu Putin Mimi nafahamu Leo Putin kajamba... Sasa ni hivi mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine Leo umefanya kz vzr sn kuliko unavyofikiria... Ktk mji wa Kyiv tu missiles zilizorushwa ni 8 na zote zimetunguliwaMOTO UNAPELEKWA EYA DIFENSI YA MAREKANI UMESHINDWA KUFUA DAFU.
[emoji95][emoji95][emoji95]More explosions in Odessa... Western air defense is useless[emoji95][emoji95][emoji95]
Leo baada ya base zao kukaangwa naona wanajaribu kumaliza hasira [emoji12][emoji23]Mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine unafanya kz vzr sn
Kila sehemu Leo Ukraine wako vzr
Yaani vita ya siku 3 mnachukua muda mrefu Hivi? Russia mbwa Koko tuWEWE BADo NI MSHAMBA HUJUI CHOCHOTE. TULIE UKIKUA UTAJUA DUNIA ILIVYO. WENZAKO WALIKUJA NA MBWEMBWE HIZI HIZI KWA SASA WANAPUYANGA TU.
Kiboko ya Russia na China hiyo inakuja
B-21 yaani hiyo ni Long range bombers..... Km zaidi ya 1000View attachment 2436710
Hayo mawazo wapelekee walima kahawa Kibosho 🤣 🤣 🤣Yaani vita ya siku 3 mnachukua muda mrefu Hivi? Russia mbwa Koko tu
Super powers wa mchongo anajaribu kupoza maumivu ya kichapo Cha Leo, lakini wapi[emoji23][emoji23]YUKILENI ANAPIGWA MTUNGO, JUU NA CHINI
[emoji95][emoji95][emoji95]Six explosions in Kiev[emoji95][emoji95][emoji95]
Unajitahid sana lakini super pawer wenu anakuangusha[emoji2957][emoji16]WAYUKIRENI WA KAGONGWA MPO
[emoji95][emoji95][emoji95]Vinnitsa Explosions[emoji95][emoji95][emoji95]
Naona hapa miundombinu ya Ukraine inavyozuia makombora.Mfumo wa ulinzi wa anga huko Ukraine umeonyesha ufanis wa Hali ya juu.., urusi Leo ni kama hawaajambulia kitu Baada ya base zao kukaangwa [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hiyo milipuko inatoka wapi kama makombora yamezuiwa?Acha kamba wewe... Yaani hizo taarifa zote ninazo. Akijamba tu Putin Mimi nafahamu Leo Putin kajamba... Sasa ni hivi mfumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine Leo umefanya kz vzr sn kuliko unavyofikiria... Ktk mji wa Kyiv tu missiles zilizorushwa ni 8 na zote zimetunguliwa
Na Kwa taarifa yako hizo ndege TU 95 zilippruka tu angani Ukraine waliziona na jeshi la anga likawa tayari kitungua makombora yanayorushwa
Hiyo miundombinu haiishi tu..., maana habari zimekuwa zilezile za kulipua miundombinu [emoji16][emoji16]Naona hapa miundombinu ya Ukraine inavyozuia makombora.
Yaani mfumo wa anga Leo umefanya kz vzr sn. Wameziona hizo ndege 12 tangu zimeruka na wakaziona meli 4Mfumo wa ulinzi wa anga huko Ukraine umeonyesha ufanis wa Hali ya juu.., urusi Leo ni kama hawaajambulia kitu Baada ya base zao kukaangwa [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha uongo Kiev Tu kuna milipuko zaidi ya 6 zimetoka wapi?au miundombinu ndo mifumo ya anga.Yaani mfumo wa anga Leo umefanya kz vzr sn. Wameziona hizo ndege 12 tangu zimeruka na wakaziona meli 4
Sasa wanapambana kuyadungua makombora. Kidogo wameanza kukaa sawa. Bado Patriots hazijafika hapo. Hizo ni NASAMS na mifumo mingine