Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tangu alipoanza kushambulia hiyo miundombinu ya umeme mwezi October imeathiri kitu gani operation za kijeshi za Ukraine?! Si mwezi uliopita wamekimbia Kherson...na sasa Ukraine inachanja mbuga kuikamata Svatone na Kreminna
Badala watafute viwanda vya kuzalisha artilleries na drones wao wanataka ua watu kwa baridi
 
Hii nchi itakuja kuwa nzuri sana kwenye mambo ya ulinzi
 
Whats the strategic importance of bakhmut?
Wanadai ni main supply route ya majeshi ya Ukraine.

Me naona baada ya kuipoteza Kherson warusi wanataka wadake kamji ambako watakaonyesha kwa umma wa Russia ili kuficha aibu waliyoipata Kherson maana wanajeshi wao wanaokufa hapo Kherson ni kama utitiri lakini hawachoki wanazidi kuja Tu,japo na Ukraine nao wanapoteza.
 
Na Ukraine wamesema hizo drones ni testing tu, bado hawajaanza mass production
[emoji23][emoji23][emoji23]Supapawa kazi anayo. Embu fikiria drone imeruka mamia ya km bila kua detected mpk kwenda kupiga air base muhimu Ile,zile S400 & S500 zetu sijui zilikua wapi[emoji23]
 
Poor analysis.ngoja nikuambie kitu Warusi wanataka bakhmut ili kumaliza kushika miji ya luhasky iliyobaki.
 
Nimeona jana Ukraine kapeleka wanajeshi zaidi Bakhmut
 
Viongozi wao waseme HAWANA NGUVU NA UWEZO wewe ushupaze shingo .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…