mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Mnajifariji tu ila ukweli mnaujua kabisaUrusi alitaka kutumia siku tatu na kuuangusha utawala wa zelensiky. , alafu achomeke kibaraka wake kisha aanze kuoperate serikali ya Ukraine kwa remote control kama anavyofanya huko Belarus..,kwa bahati mbaya sana mipango yote ilibuma..,Sasa amekutana na kibano hambacho hakukitegemea huku sanctions zikizidi kumbana..,huu ni ukweli mchungu hambao mazombi wake hawataki kuusikia [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio wana dai bali huo mji ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine walioko Donesk.Wanadai ni main supply route ya majeshi ya Ukraine.
Me naona baada ya kuipoteza Kherson warusi wanataka wadake kamji ambako watakaonyesha kwa umma wa Russia ili kuficha aibu waliyoipata Kherson maana wanajeshi wao wanaokufa hapo Kherson ni kama utitiri lakini hawachoki wanazidi kuja Tu,japo na Ukraine nao wanapoteza.
Ulikua miongoni mwa watu wachache sana kama sio peke yako ambaye ulikuwa uko balanced sana....unachana kila upande.ingawa pia mapenzi yako yalijulikana..Nimeona drone army ya Ukraine inapiga kazi sana.
Tamzania tuwekeze kwenye drones hasa hasa ISR
Nabadilishaje maneno sasa,Russia wakichukua tutasema ni tactical withdrawal we uite mbwa,paka,bweha,mamba haitobadilisha kitu tactical withdrawal ni tactical withdrawal tu.Sio wana dai bali huo mji ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine walioko Donesk.
Kwenye ukweli muwe mnaongea ukweli na sio kuendekeza ushabiki.
Alafu ulisha tuambia kuwa huo mji ukitekwa tukuite mbwa utadhani uko front sasa hivi unaanza kubadilisha maneno.
Nimekupa like,tuletee nyingineComment na like zenu fupi fupi kwa picha ya leo kwenye mkoa wa Nikolaev[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2436993
RASMI; Russia wamekubali kwamba Ukraine ndio ilifanya mashambulizi kwenye base zake kwa kutumia drones.Nimeona drone army ya Ukraine inapiga kazi sana.
Tamzania tuwekeze kwenye drones hasa hasa ISR
Wawape na mishumaaRussia analenga kuumiza raia Kwa baridi Kwa kuitengeneza chuki... Lkn miundo mbinu ya kijeshi Wala hawezi kuipiga na mataifa ya magharibi yanaipa Ukraine majenereta ili jeshi liwe active muda wote.
Jiulize tu. Tangu mwezi wa pili mlisema mmekata mifumo ya Mawasiliano. Je mpk muda huu Ukraine anatumia Mawasiliano gani?
Tulieni dawa iwaingie nyie Warusi
Sahihi kabisaNa leo mabomu mengi hayajafika Kyiv 60/70 zimelipuliwa ambayo ni sawa na asilimia 85.7
Acheni uongo.Sahihi kabisa
Nani kakwambia kama wametangazaUlishawahi kuona katibu mkuu wa NATO Katangaza kutoa misaada ya silaha na kijeshi Kwa Ukraine?
Basi Kerch Bridge lijiandae kabisaaaaRASMI; Russia wamekubali kwamba Ukraine ndio ilifanya mashambulizi kwenye base zake kwa kutumia drones.
Wizara ya Ulinzi imetoa statement muda mchache uliopita.
ha ha ha urusi haishambulii kwa makombora ya s 300[emoji298]️A Russian missile fell in Brychan district, Moldova, — Moldova Liberă.
[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
Aliyekwambia hilo ni kombora la S300 Nani?![emoji23]ha ha ha urusi haishambulii kwa makombora ya s 300
Wenzako Leo Air defenses zao zimeshindwa kudaka drones mpaka zikaenda kupiga kambi muhimu na kuharibu Tu-95 bombersHii ndiyo kazi nzuri za Air defence bora kabisa kutoka ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]