Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Daraja linahitaji Makombora mazito kama ATACMS,drone zitaleta tu minor damageBasi Kerch Bridge lijiandae kabisaaaa
Izo hapo zimedaka nini[emoji23][emoji23][emoji23]Wenzako Leo Air defenses zao zimeshindwa kudaka drones mpaka zikaenda kupiga kambi muhimu na kuharibu Tu-95 bombers
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji298]️A Russian missile fell in Brychan district, Moldova, — Moldova Liberă.
[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
Mikombora iliyorushwa Leo huko Ukraine na uharibifu ulitokea vinafanana?!Izo hapo zimedaka nini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] onyesha hata 10 jinsi yalivyokuwa yanadakwa.maana mi video za kupiga nimekuonyeshaMikombora iliyorushwa Leo huko Ukraine na uharibifu ulitokea vinafanana?!
85% ya Makombora yametunguliwa
Hana tena kiwandaBadala watafute viwanda vya kuzalisha artilleries na drones wao wanataka ua watu kwa baridi
Moldova ni mwanachama wa NATO tangu lini?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa tumuamini nani na kama ni RUSSIA hao NATO wanangojea nn
Au sio mwanachama huyuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe tuonyeshe hata video 20 za hayo Makombora yakipiga,si yamerushwa karibu Mia!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] onyesha hata 10 jinsi yalivyokuwa yanadakwa.maana mi video za kupiga nimekuonyesha
Watu wamepiga ndege hawajapiga runways [emoji23][emoji23][emoji23]Ule uwanja wa ndege za TU BOMBER ambao ukraine ilidai kuupiga na drone ndo huo huo umetumika leo na ndege hizo hizo pia zilitumika leo
Nani kasema yamerushwa 100 au 50?.yaliyorushwa yamepiga target.wewe unayesema sijui umetungua 60, weka hata video moja yakuonyesha umetungua[emoji12][emoji12][emoji12]Na wewe tuonyeshe hata video 20 za hayo Makombora yakipiga,si yamerushwa karibu Mia!!!
Tu 95 ???!!Wenzako Leo Air defenses zao zimeshindwa kudaka drones mpaka zikaenda kupiga kambi muhimu na kuharibu Tu-95 bombers
na ndege hizo hizo ndo zimewachapa leoWatu wamepiga ndege hawajapiga runways [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana ya 85% interception rate....maana yake 15% yamepenya ndo hvyo vipicha unavyoleta SS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani kasema yamerushwa 100 au 50?.yaliyorushwa yamepiga target.wewe unayesema sijui umetungua 60, weka hata video moja yakuonyesha umetungua[emoji12][emoji12][emoji12]
Sasa huoni chini hapo nimeuliza MKUUMoldova ni mwanachama wa NATO tangu lini?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana utam ujue nakuheshim Sana.
[emoji298]️ Video shows how Ukrainian soldiers shoot down a Russian missile by the Flakpanzer Gepard. Video from social media.Nani kasema yamerushwa 100 au 50?.yaliyorushwa yamepiga target.wewe unayesema sijui umetungua 60, weka hata video moja yakuonyesha umetungua[emoji12][emoji12][emoji12]
Tupo pamoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]