LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huu ni uongo wa mchana kweupe.
Putin Hana kabisa asili ya huko unapsema.
Sio mtuva, mburyat yaani Hana kabisa mongoloid race
 
Ulitaka nitaje Humvee hizi ambazo na South Africa anatengeneza, nitaje bunduki za M4 Carbines, nitaje Hercules na ndege version zake zilitumika Vietnam. Wewe ndio unitajie silaha zote hapo, ipi China au Russia wakaichukue ili waisome. Mbona hujashangaa Russia aliacha Marekani iwe na access na hizo Mil helicopters na mechanics wa Kimarekani wakawa wanazitengeneza.

Na ujue hizo silaha nyingi essential parts wameondoa. Unabaki na gari lenye matairi, injini ila communication systems wameondoa wakasaga. Umeniquote niliposema Russia kuacha new version Pantsir ikiwa intact ni uzembe. Imeachwa ikiwa intact na ulitakiwa ujue Pantsir ina umuhimu gani kwa Russia. Pantsir na Tor ndio mifumo ya short range air defence system kwa Russia. Bila hizo airbases na military installations ziko vulnerable dhidi ya attack. Pantsir ni muhimu sana tena sana kuwa secured bora wapoteze vifaru uko kuliko system yao kuwa compromised
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe.
Putin Hana kabisa asili ya huko unapsema.
Sio mtuva, mburyat yaani Hana kabisa mongoloid race
Usije na intention ya kuniattack wala kushindana na mimi, hakuna tuzo wanatoa humu. Nimesema "Binafsi naona Putin ana dalili za kuwa..." hapo uongo uko wapi? Hujui tofauti ya opinions na facts? Aya tuambie ana race gani na imekuwa proved wapi ili tusiseme ni uongo
 
Ushahidi wa kuondoka nazo hunao?

Halafu pantisir sio short range kama ulivyosema ni medium range.

Short range zao ni Iskander.

Bado hii haiwafanyi kwa kipindi kifupi kuweza kufanya decoding na kutumika kwenye vita hii.

Kwani Wamarekani wameacha kutumia Blackhawks na B 52 bomber.

Walivyoacha Afghanistan ni siraha nyingi na za hatari.

Acha uongo siku nyingine
 
Nakubaliana nawe ila ni muhimu kukumbuka wakazi wa Dombass na Lugansk ni wa asili ya kirusi kama wa Crimea na walikuwa wanabezwa na kuonewa na waUkraine tokea zamani na kuanza kupigwa mabomu zaidi baada ya 2014. Pia ni muhimu kutambua kwamba mrusi alitafuta sana makubaliano ya amani hadi kuingia ule mkataba wa MINSK lakini Ukraine na wachochezi wake wa magharibi wakauruka baadae. Ni muhimu kutambua hawa wa NATIONALIST wa Ukraine ni kweli wana itikadi za kiHitler na uwepo na ushamiri wao umeruhusiwa na serikali ya Ukraine na wachochezi wake. Hawa wanationalist ndio sasa sauti kuu ya Ukraine upinzani (?) na wametumiwa kumbeza mrusi, kuchochea kuvunja ishara za kirusi nchini Ukraine (nyingi za kumbukumbu za wanajeshi warusi walivokomboa Ukraine kutoka kwa Hitler), kuendeleza uvamizi wa Dombass na Lugansk... kama vile walitumwa kumchokoza na kumkasirisha mrusi.

Leo serikali ya Ukraine imewaruhusu hawa wanaHitler kinyume na sheria za kimataifa (zao wenyewe), ni maajabu na inaonyesha chuki kwa mrusi hadi kutumia watu wa aina hii. Sasa Ukraine, wamarekani na wanaulaya magharibi watakuja kugeukiwa na walichoanzisha kwa sababu:
  1. Vita vikiisha ama Ukraine wakiingia mikataba ya amani ... hawa nationalist ni wapinzani wa amani, wataleta fujo nchini hata baada ya vita kwisha.
  2. Uchumi wa dunia unavozoroteshwa na vita hii ya kipuuzi utaamsha mapopo duniani njaa itakapozidi na vile bei sasa zinazidi kupanda upya baada ya kupanda majuzi tu kwa sababu ya corona
  3. inawezekana waUkraine wasio 'nationalist' ambao ni waoga sasa wakaamsha mapopo pale vita inazidi kuwaumiza na wanaendelea kusikia wachochezi wakiwapa michango na silaha wakiwaimbia 'nyie piganeni hadi mtu wa mwisho, tuko nanyi ila hatuwatumii majeshi wala kuingia vitani' ... ???
 
Siko hapa kumshambulia mtu yoyote, ilakurekebisha penye uwongo au ikiwa mtu amekosea.
Nami pia Niko tayari kukosolewa.
VLADIMIR VLADIMIRIROVICH PUTIN
Hana asili ya kimongoli Wala Siberia ila ni pure Slav kama walivyo waukraine, Poland, Croatia na Mataifa mengine ya Ulaya Mashariki.

Hebu niambie hapo Kuna tofauti yoyote ya Putin na modric ambaye ni mkroatia.

Haya Mongoloid people , kule unapo sema ametokea angalia watu wake.

 
B-52 Stratofortress zinakuwa modernized na kuongezewa lifespan. Zishabadilishiwa injini na systems zote mara kibao. Kuna variants zaidi ya 10 ya B-52 hizo, wewe unaona kasha lile airframe ndio inaita ndege. Unajua Land Cruiser zimeanza lini? Officially zimeitwa hivyo mwaka 1954 ila zipo kwa jina lingine since early 1940s, je mtu akija na Land Cruiser ya 1954 na ya 2022 utasema vyote sawa kisa jina moja?

Alafu kumbe niko nabishana na mtu anayeiita Iskander tactical ballistic missile kwamba ni short range air defence system? Sasa kuna haja gani ya kuendelea kubisha na mtu huyu.
 
Sasa hapa uongo wangu unaosema uko wapi? Macho yangu yanasema ana asili ya Eastern, macho yako yanasema ana asili ya Western. Hakuna mwenye evidence na sina mpango wa kueleza kwa nini ninaamini ana asili ya Southern Eastern mpaka tupate proof kipi ni sahihi. Sergei Shoigu ndie tuna uhakika ana asili ya wapi
 
Nianze kujibu lipi kwanza?

Okay Hata hizo pantisir kwa uelewa wako unafikiri Zina toleo Moja?

Unafikiri nimekosea kuziita ni Short range?

Kama ulivyotaka kutupiga za uso kuhusu pantisir kuwa ni Short range kumbe ni medium range.

Kitu kikifanyiwa marekebisho ndio kunakuwa kipya na new invention.

 
Hata hao wa st Petersburg Bado ni maslav kama Putin,
Unaandika mwenyewe halafu unalalamika mwenyewe.
Angalia ulichoandika
 
Hata Sergei kuzhugetovich shoigu ana mchanganyiko wa Mtuva ambao ni mongoloid na Mslav hivyo wengi huuchukulia na mtuva
 
nisuala la muda tu kabla ya RUSSIA kushinda hii vit MKUU
Huyo jamaa anajifanya anajua kila kitu kumbe hana hajualo, anakalia ubishi was kindezi utafikiri tupo za kale wakati tupo zama za teknolojia kila taarifa ipo mkononi.

Niamini mimi harudi tena Huyo kwa ushahidi huu murua usio na mawaa
 
Siku zote kwenye vita vyovyote, huwa muhimu sana kuwapa mzuka wanajeshi, maana hata ukiwapa silaha za aina gani ila bila wao kuwa na sababu za kupigana wataishia kutelekeza na kutoroka mapambano. Putin kwenye huu ugomvi hakuwahamasisha Warusi ipasavyo na kuwapa sababu za kwanini wajitolee kufa, wamekwenda kupigana na Ukraine ambao kwao ni suala la kupigania uhuru wa nchi yao na watapigana mpaka wa mwisho.
=============================



Video: Ukrainian foreign minister says Biden and NATO won't impose a no-fly zone because they 'lack confidence' and believe they 'can't stop' Putin as Kyiv launches major fightback against Russian forces
Footage posted by the Ukrainian Armed Forces reportedly shows an abandoned field full of Russian tanks in the southern region of Mykolaiv Oblast. The footage was posted with the message: 'The paratroopers of the...

Share this video:​

Video: Abandoned Russian tanks are filmed stranded in a field in Mykolaiv​

 
wakapigane na RUSSIA kwake kama wanaweza
Miundombinu mbalimbali ya miji ya Marekani imejengwa kwa fedha na muda mwingi sana wanao uwezo wa kumpiga Russia vizuri sana je athari atakazozipata kwake ni zipi?

Kiuchumi Marekani atapata athari gani maana atakutana na mabomu ya kutosha mixer manyuklia je ataweza kusimama awe kama alivyo? For how long? Dubai, Hong Kong, Tokyo, Shanghai n.k hizi nchi zenye hii miji zitakuwa mbali kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…