Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nandio maana RUSSIA anapambana kuyahami maeneo yake

Pia akafika mbali anapiga sehem ambazo kabla hakua anapiga hayo maeneo nimali yahalali ya RUSSIAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ukraine anaweza kuishambulia Urusi the super power maana yake Urusi hana nguvu ya kuyalinda maeneo yake ipasavyo hadi kupambana kulipiza kisasi kwa kupiga miundombinu ya Ukraine.
 
Ili ruka kutoka wapi chief?
[emoji298]️The drones that attacked Russian airfields in the morning of December 5 were launched from the territory of Ukraine - The New York Times newspaper with reference to the Ministry of Defense of the Russian Federation and a high-ranking Ukrainian official.

It is reported that the drones were launched from the territory of Ukraine, and at least one of the strikes was carried out with the help of special forces near the base, which helped guide the drones to the target.

 
Hujanielewa mkuu, nimetoa mfano wa gunduzi kama kielelezo kwamba technology yao na elimu waliyokuwa nayo ni kubwa na si kuwabeza, sijaja hapa kushindana nani kagundua nani hakugundua, nafikiri umepata point yangu.

Mara nyingi mataifa makubwa katika gunduzi ni suala la kuachana gap la muda tu, lakini hawa wakisikia flani katengeneza hiki na wao wanakuja na gunduzi kama ile au iliyoboreshwa zaidi ili wasiwe nyuma ki technology.

Kwenye suala la sayansi na technology na vumbuzi za kisayansi wenzetu wana ma kachero, huyu anaiba taarifa nyeti za project flani huyu nae anaiba za yule analeta huku ndivyo mambo yanakwenda, thats why mimi sioni China kama ipo weak kujifunza, kuiga na kuboresha hasa military tech kutoka Russia na USA, tazama sasa wapo vizuri sana.

Ndio maana we mwenyewe umeeleza hapo Ukraine walikamata kifaru cha T-90M na NATO wanakichunguza, kuna mazuri watajifunza juu ya hio silaha na kuboresha zao, kuna vitu watakizidi kuna vitu kitawazidi vifaru vyao, baada ya hapo watatangaza vifaru vya T-90M hamna kitu, hakifai, very weak, kumbuka pia hio ni vita ya business/uchumi.


Mfano Russia kuna ndege walirusha 1884 kuna engineer mmoja aliitwa Alexander Fedorovich Mozhaysky, huyo alirusha ndege ikaruka 1884 akidhaminiwa pesa na serikali, miaka 9 baadae nao Wright brothers wakarusha ndege 1903 huko USA ambapo ndio watu wengi tunajua walifanya gunduzi.

Russia 1957 anarusha Sputnik, USA 1958 anarusha Explorer 1, hivyo ndivyo mambo yanaenda.





Watu wengi wanafahamu mgunduzi wa kwanza wa bulb ni Edison, lakini si kweli, kwanza kipindi Thomas Edison anafanya majaribio kuna majaribio zaidi ya 20 yalikuwa yakiendelea sehemu tofauti duniani chini ya scientists tofauti.
Baada ya tu Humphry Davy kugundua the electric light na electric battery, scientists wengi waliamua kuingia kwenye field hio, Edison yupo credited kama mtu wa kwanza kuamua kuweka bulb za umeme sokoni, zilikuwa kwenye beta stage.
1874 Russian engineer Alexander Nikolayevich Lodyginaligundua na kuchukua hatimiliki ya gunduzi ya taa, kabla hata ya Edison.

Wasovieti wana gunduzi nyingi tu za kisayansi na technlogy zilizoleta faida duniani, hatuwezi kaa hapa tunashindana nani wa kwanza nani wa mwisho.

So my point is it doesnt matter nani wa kwanza nani kafuatia, sio kwamba asipogundua huyu dunia itaishi pasipo hio gunduzi kuna watu watatokea tu issue ni muda tu.
 
Kuna watu hapa Tandale kwa tumbo Ukraine ikishambulia ndani ya Urusi anaumia mpaka anataka kulia. Marekani ndio walisema silaha zao zisitumike kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi,na Ukraine hashambulii Urusi kwa silaha za kupewa Bali za kwake mwenyewe.

Warusi wa kiembe mbuzi hawaamini wanachokiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Ukraine anaweza kuishambulia Urusi the super power maana yake Urusi hana nguvu ya kuyalinda maeneo yake ipasavyo hadi kupambana kulipiza kisasi kwa kupiga miundombinu ya Ukraine.
Anauwezo mkubwa sana

Hayo maeneo mapya ya hio nchi ya RUSSIA yalipatikana wakat tayar kuna vurugu

Unadhani yataisha tu kwamara moja

Hio miundo mbinu mingi inatumika kwakuficha silaha au majeshi yake UKRAINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji298]️Volodymyr Zelenskyi:

“Simply sign something with these terrorists - there will be no peace. Just agree on something with them - they will definitely violate it. To give Russia at least one of the security elements of others means a new war.

Therefore, a fundamental continuation of the existing policy of conscientious states of the world is needed😱nly the dismantling of Russian terrorist capabilities, only the liberation of our entire land, and only bringing the killers to justice can give peace.
 
Vita ya Ukraine imeanika udhaifu mkubwa wa huyu Supa-pawa wa mchongo...hata performance ya askari wake imekuwa ya hali ya chini mno huenda hata China imeshawapiku.
dudus T14 Armata Jackal
Drifter
 
Hivi uoni aibu, NATO nzima na EU yote zaidi ya nchi 30 za Ulaya, wakoloni waliotawala karibu dunia nzima, wanashindwa kumzuia Russia kufanya anachokitaka? Ona aibu aisee. Yaani US na ubabe wake...kweli hauoni aibu?
Wameshamzuia mbona, kama sio huu msaada wa silaha serikali ya Zelensky ingeshaangushwa kitambo..

..ni kwamba hawataki kumdhalilisha zaidi Putin kwa kuihami Ukraine kwa silaha Kali zaidi ya walizotoa.
Drifter
 
Vita ya Ukraine imeanika udhaifu mkubwa wa huyu Supa-pawa wa mchongo...hata performance ya askari wake imekuwa ya hali ya chini mno huenda hata China imeshawapiku.
dudus T14 Armata Jackal
Hiyo inasaidia nini.??Wakati Ulaya wanakiri kanisa..bila USA, wasingeweza kufanya chochote cha maana....halafu huyo anayechangiwa unasema ameonesha udhaifu...Hivi kuna nchi yoyote duniani ingeweza kustahimili hilo sekeseke kutoka vinchi vyote vya west, pamoja na silaha juu, intelligence, vikwazo..Nani???Katika karne hii ni nchi gani inaweza ikapokonya kipande cha Ardhi cha mwingine....na dunia ikalalamika tu..Saddam alijaribu 91..kuikalia Kuwait, kilichomkuta anakijua...Idd Amini alijaribu kumega mpakani kule, kilichomkuta unakijua...boundaries ni kitu sensitive sana kwenye existance of any state..

Udhaifu huo unaonekana sababu pia anapambana na the best armies in the world under stressed conditions and limited actions.Hakuna total open war kwa Russia hapo..wakati Ukraine yupo kwenye Total war..

Pia Ukraine sio wa Kubeza...ikumbukwe kwenye SOVIET union..after Russia..Ukraine was the second powerful entity....

Tutaongea kishabiki tu..lkn kwa sasa duniani nchi ya inayowatingisha Western world ni Russia tu....Russia ni tatizo na kikwazo kwa Ulaya kwa miaka mingi ijayo...
 
Udhaifu huo unaonekana sababu pia anapambana na the best armies in the world under stressed conditions and limited actions.
Sio kweli boss..... Urusi anapambana na Ukraine tu.....hizo stressed conditions amejitakia mwenyewe kwa kuvamia taifa huru na limited actions ni sababu ya udhaifu wake binafsi.

Tutaongea kishabiki tu..lkn kwa sasa duniani nchi ya inayowatingisha Western world ni Russia tu....Russia ni tatizo na kikwazo kwa Ulaya kwa miaka mingi ijayo...
Hayo manyuklia yake mengi ndio kikwazo ila ameshazidiwa mno na China kwenye sekta muhimu kama teknolojia, biashara na uchumi.
 
Marekani imetoa 5% tu ya bajeti yake ya mwaka kwa Ukraine

Hapo Russia inapigana na jirani inashindwa wakati hata wakitaka kuvuka kwa miguu wanaweza.

Ha ha haaaa!
Yaani haya maelezo yametoka kwenye bandiko lako hilo hilo. Yaani bandiko linajipinga. Uwe unajisikiliza wakati unaandaa na unawasailisha hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…