Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji828]Australia’s fifth-generation F-35 stealth fighter jets have again come under the scanner due to concerns related to their cost, capabilities, and viability for the Royal Australian Air Force (RAAF).

[emoji828]A senior Australian journalist, Brian Toohey, who has been writing extensively for Australia’s national security policy since 1973, has criticized the ‘Defense Strategy Review’ of the Australian government that has recommended buying the fourth squadron of F-35 fighter jets.

[emoji828]Follow:


Axel Lloyd
T14 Armata

Watu huko wanaijia juu hii toy wanasema kheri wangenunua 4th generation kuliko hizi toys kwasababu gharama zake na uwezo wake ni mbingu na ardhi

Ila watetezi wake wa hapa jf sasaaaa .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haaaa!
Yaani haya maelezo yametoka kwenye bandiko lako hilo hilo. Yaani bandiko linajipinga. Uwe unajisikiliza wakati unaandaa na unawasailisha hoja.
Sasa linajipinga nini. Ni kwamba hutaki kwamba Russia amesaidiwa na Iran, au hutaki kwamba Marekani kaisaidia Ukraine au hutaki kitu gani
 
Huyo ni mwandishi wa habari, kaamua kuandika kama wewe unavyoandika hapa. Yupo nchi yenye uhuru wa habari na uhuru wa kutoa maoni. Haya mambo ni ya ajabu sana kwa Russia ndio maana sikushangai hapa. Tungekuwa kwenu uko hapa angekuwa na options mbili za kutangulia
 
Sasa muandishi wahabari akitoa maoni yake anakua hayupo sahihi

Ila wewe ndugu T14 Armata ukitoa maoni yako ndio unakua upo sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1130][emoji921]Iran discovered new oil reserves

Iran has discovered new oil reserves in the country’s southwest, the details of which will be announced by Minister of Petroleum Javad Owji in the near future, the National Iranian Oil Company (NIOC) said

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ila wazungu bana

Unajua hawa jamaa wako kishari shari tu duh

Vita zote za dunia wameanzisha wao

Ila nadhani ni asili ya binadamu

Maana hata huku afrika mambo si mambo
 
Sasa muandishi wahabari akitoa maoni yake anakua hayupo sahihi

Ila wewe ndugu T14 Armata ukitoa maoni yako ndio unakua upo sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi nimesema yuko sahihi au hayuko sahihi?
Anyway, tufanye yuko sahihi basi tuma maombi kwa Australia inunue Mig-35 ambayo ndio latest jet ya Russia iliyopo kwenye production. Wao wanaiita 4++ generation na hakuna nchi yoyote imeinunua sio China, India wala Egypt. Na waliokuwa wamepanga kuinunua waliacha wakaona hamna lolote la ziada. Tuachane na walionunua, Russia yenyewe inazo ngapi katafute namba usikitike.

Aya tuje kwenye F-35 hiyo ambayo mwandishi wako pendwa wa Australia ametumia haki yake ya kutoa maoni ameikataa. Operators ni Australia, Israel, US, UK, Germany, Japan, Denmark, Italy, Netherlands, South Korea, Norway...... nisikeshe bure.

Nakupa waliotoa orders na hawajapata delivery. Finland, Switzerland na Poland wengine sijui. Na order za nyongeza kwa previous operators zipo. Basi tufanye hao wote waliooperate ni nchi za wajinga, maskini na hawana akili kununua ndege mbovu. Ila kati yao nikutajie nchi zinazoizidi Russia kiuchumi kwa GDP, PPP na mengine? Utaumia ngoja nikuache
 
Hata france walitolewa na Australia at the end delivery haikufanyika

Huwezi ukamlazmisha nani anunue nini na wapi kila mmoja na maamuzi yake

RUSSIA kua na ngapi ama ngapi hio sio shida unajua wameplan kipi wenyewewe

Hapana sijasema kama umesema kuna shid ila mie ndio nauliza kuhusiana na hio shida

Mwisho kigezo cha kitu kununulika sana ndio kipimo pekee chaubora wa bidhaa husika !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa umetaka history which is irrelevant and unnecessary kwenye post yangu uliyoniquote, ila ina mashiko kama ingekaa ikijitegemea kama comment. Nimeulizwa kuhusu Ka-52 ambavyo haioni vizuri usiku, nikajibu jinsi Warusi walivyo dhaifu kwenye teknolojia ya usiku nikatolea mifano vifaru vyao vinavyokamatwa vinakuwa na night vision thermal sight inferior.

Quote yako ikaja kusema Sputnik ilivyokuwa ya kwanza. Nikakupa list ya vitu kibao vilivyoanzishwa Marekani. Na bado hiyo claim ya ndege hawana Warusi tu, kuna nchi nyingine na Wamarekani wengine ukiachana na Wright brothers ni claimant. Ila duniani huwa tunaangalia nani kapewa patent rights, refer ugomvi wa nani mgunduzi wa colour television. Na hata vitu vingine kama telegraph ya kina Marconi.

Warusi mara nyingine wanagundua kisha wanayalalia madaftari. Early stage ya ugunduzi wa kompyuta mbona walikuwa nazo nzuri tu ila tafuta kompyuta zao sasa hivi kwenye soko la dunia kama utaziona. Mfano Igor Sikorsky alipokuwa uko aliunda model helicopters ila hakupata support ya serikali, bora ukiwa Marekan unatafuta private investor. Akaingia Marekani ndio akaanzisha brand ya helicopter ya Sikorsky mtengenezaji wa legendary UH-60 Black Hawk utility helicopter.

Russians love to invent. Americans wanaongeza creation na innovation
 
Swali lako la mwisho jibu ni ndio. Kama una bidhaa unayo mwenyewe unatangaza sokoni hawanunui unataka utoe visingizio gani kwamba kwa nini haiuziki.

Kwani Mig-35 inaizidi bei F-35, haifiki hata bei ya F-16 variant ya Qatar na Kuwait. Sasa mbona Russia anaitembeza masokoni na hainunuliwi
 
Hizo zitakuwa ni propaganda tu na fix za BBC.., sijawahi kuwaamini hawa[emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Ukrainian Air Force has thanked Germany for a weapon used to shoot down a Russian cruise missile.

Video posted on social media appeared to show the anti-aircraft self-propelled 'Gepard' gun taking out the missile.
 
Chizi wewe sio mzima kabisa.mara ngapi mifumo ya Urusi inatungua drone na makombola.au unataka mpaka waje kwenye kiota chako wakwambie.

Shida mnapenda sifa kama vile nyie sio binadamu,mnaisifia mifumo ya magharibi wakati ukweli hamna mifumo pale
Labda watengeneze ma video game kama ya Ukraine [emoji1255] wayapost YouTube
 
Alaf kuna mtu hapa kawe ukwamani anasema Ukraine inabidi ashambulie ndani ya Russia kwa sababu Russia anashambulia ndani ya Ukraine!

US wenyewe wanajua mashambulizi ndani ya Urusi ni majanga sio kwa Ukraine tu bali kwa mustakabali wa amani ya dunia
Kashapewa onyo kali
 
Unasahau kwamba kuna mataifa kama IRAN nk wanataka hizo bidhaa ila wanazuiliwa sababu ya vikwazo nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…