Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Tuwekee na za Supa-pawa wa mchongoMarikani, Marikani nakuita mara tatu
View attachment 2437878
"Sometimes you need to fight when you are man".....Kenny Rogers.."you don't need to fight to be Man" Kenny Rogers
Wakati huo Putin yumo shimoni Kremlin anashindwa hata kutembelea hapo Donbass kuwapa motisha wanajeshi wakeZelensky amezuru Donesk siku ya leo na kutembelea majeruhi katika hospitali za Mkoa huo.
Wanatembelewa sababu hawana motisha huko kwa RUSSIA wanafull motisha ndio maana hawatembelewiWakati huo Putin yumo shimoni Kremlin anashindwa hata kutembelea hapo Donbass kuwapa motisha wanajeshi wake
Eneo lipi hilo pro natoKwani Kherson, Ziphorizhina, Crimea na maeneo ya Donbass sio sehemu ya Urusi tena?
Maana moto unaowashwa na Ukraine kwenye maeneo hayo sio wa kitoto mzee hadi wanajeshi wa Urusi wanayatelekeza maeneo yao.
Urusi ilishayatangaza maeneo hayo kama ni ardhi ya Urusi na yeyote atakayeshambulia maeneo hayo atakuwa ameishambulia Urusi.
Lakini bado Ukraine anazidi kuyashambulia kila uchwao. Je, hayo maeneo Urusi ameshayakana kwamba sio maeneo yake tena?
Kweli kabisa mkuu.., Ukraine anapigana vita vitakatifu[emoji120][emoji120]"Sometimes you need to fight when you are man".....Kenny Rogers..
Hii kauli Ukraine wameitendea haki..[emoji23][emoji23]
Arms embargo dhidi ya Iran ilishaondolewa tangu 2020 na Europe pia waliunga mkono kipindi kile wana uhusiano hafifu na Marekani kutokana na Sera za Trump kupiga tariffs bidhaa za Europe na kuanzisha trade war.Sababu RUSSIA anaheshimu maamuzi ya UN ndio maana hamuuzi
IRAN hajawah kua nashida na ndege za US
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin hawezi kuthubutu kunusa pua battle front, anajua atagombaniwa kama mpira wa Kona..,siku zote dhalimu utamjua tu,anajifichaficha,Wanatembelewa sababu hawana motisha huko kwa RUSSIA wanafull motisha ndio maana hawatembelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko ambako watu wanakimbia mobilization ndo kuna motisha mpk wanaamua kusaka wafungwa na kuwaswaga vitaniWanatembelewa sababu hawana motisha huko kwa RUSSIA wanafull motisha ndio maana hawatembelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia anaheshim maamuzi ya UN hlf wakati huohuo anataka kuchukua kinguvu ardhi ya nchi nyingine inayotambulika na Umoja wa mataifa [emoji23]Sababu RUSSIA anaheshimu maamuzi ya UN ndio maana hamuuzi
IRAN hajawah kua nashida na ndege za US
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππππππππ€π€Hujanielewa mkuu, nimetoa mfano wa gunduzi kama kielelezo kwamba technology yao na elimu waliyokuwa nayo ni kubwa na si kuwabeza, sijaja hapa kushindana nani kagundua nani hakugundua, nafikiri umepata point yangu.
Mara nyingi mataifa makubwa katika gunduzi ni suala la kuachana gap la muda tu, lakini hawa wakisikia flani katengeneza hiki na wao wanakuja na gunduzi kama ile au iliyoboreshwa zaidi ili wasiwe nyuma ki technology.
Kwenye suala la sayansi na technology na vumbuzi za kisayansi wenzetu wana ma kachero, huyu anaiba taarifa nyeti za project flani huyu nae anaiba za yule analeta huku ndivyo mambo yanakwenda, thats why mimi sioni China kama ipo weak kujifunza, kuiga na kuboresha hasa military tech kutoka Russia na USA, tazama sasa wapo vizuri sana.
Ndio maana we mwenyewe umeeleza hapo Ukraine walikamata kifaru cha T-90M na NATO wanakichunguza, kuna mazuri watajifunza juu ya hio silaha na kuboresha zao, kuna vitu watakizidi kuna vitu kitawazidi vifaru vyao, baada ya hapo watatangaza vifaru vya T-90M hamna kitu, hakifai, very weak, kumbuka pia hio ni vita ya business/uchumi.
Mfano Russia kuna ndege walirusha 1884 kuna engineer mmoja aliitwa Alexander Fedorovich Mozhaysky, huyo alirusha ndege ikaruka 1884 akidhaminiwa pesa na serikali, miaka 9 baadae nao Wright brothers wakarusha ndege 1903 huko USA ambapo ndio watu wengi tunajua walifanya gunduzi.
Russia 1957 anarusha Sputnik, USA 1958 anarusha Explorer 1, hivyo ndivyo mambo yanaenda.
View attachment 2437656
View attachment 2437658
Watu wengi wanafahamu mgunduzi wa kwanza wa bulb ni Edison, lakini si kweli, kwanza kipindi Thomas Edison anafanya majaribio kuna majaribio zaidi ya 20 yalikuwa yakiendelea sehemu tofauti duniani chini ya scientists tofauti.
Baada ya tu Humphry Davy kugundua the electric light na electric battery, scientists wengi waliamua kuingia kwenye field hio, Edison yupo credited kama mtu wa kwanza kuamua kuweka bulb za umeme sokoni, zilikuwa kwenye beta stage.
1874 Russian engineer Alexander Nikolayevich Lodyginaligundua na kuchukua hatimiliki ya gunduzi ya taa, kabla hata ya Edison.
Wasovieti wana gunduzi nyingi tu za kisayansi na technlogy zilizoleta faida duniani, hatuwezi kaa hapa tunashindana nani wa kwanza nani wa mwisho.
So my point is it doesnt matter nani wa kwanza nani kafuatia, sio kwamba asipogundua huyu dunia itaishi pasipo hio gunduzi kuna watu watatokea tu issue ni muda tu.
Wakati urusi anajiandaa kuivamia Ukraine rais zelensiky nilimuona kama kondoo anayepelekwa machinjioni hivi, sikuwahi kuwaza kwamba jamaa ana ujasir wa kushawishi watu kiasi hiki maana alionekana amepoa sana Wala hakuwa na maneno mengi.., huenda Hali hii ilimfanya Putin aamini kwamba zelensiky ataweka silaha chini na kusalimisha nchi.., matokeo yake Sasa Putin haamini anachokiona kwa jinsi hambavyo anapokea za uso [emoji16][emoji16]Mwanaume Leo katembelea Donbass
Tupo tunashuudia super pawer anavyoendelea kutolewa kamasi na jirani yake [emoji16]Wale wakuu ndugu; waYukireni weusi; bado wapo wanafurukuta!?