Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Shida MKUU hua unapenda kukurupukaKumbe mtu asiyeijua Iran ndio ananibishia hapa. Hii ni American made F-14 Tomcat still flying with Iranian Airforce wakati Marekani iliachana nazo 2006 na hizo zilikuwa na extensive programView attachment 2438015
Hii ni F-4 Phantom bado Iran anazitumia. Marekani alizitumia vita ya VietnamView attachment 2438016
Bado kuna F-4 Tiger nazo kutoka Marekani. Angekuwa hana shida na hizo ndege za Marekani aina tatu si angeachana nazo
Kama mhalifu anyongweeeNdugu zake Bwana Utam View attachment 2438043
Vikwazo alivyowekewa chini ya UN vilishaondolewa,vilivyobaki ni vile vya nchi husika tu kama Marekani,Ulaya,nk.Fuatilia vizur
Bado IRAN anavikwazo haruhusiwi kununua silaha wala kuuziwa spare parts zake
.US na EU kwampaka sasa hawajafikia uhusino mbaya wakiasi hiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine huwezi fananisha na Urusi mobilization ilikua ni lazima.Mobilization hata UKRAINE walifanya ama ushasahau kama mwanzoni mwa wanayoiita vita walizuia watu wa umri kuanzia 60 kwenda chini kuondoka
Ili wakafe huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria gani hiyo ya kimataifa inaruhusu nchi moja kubwa kuchukua kinguvu ardhi ya nchi nyingine?!Hata hio anachukua kwasheria zakimataifa mbona lipo wazi falkland island nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za july mpaka leoMakombora ya Urusi 60 kati ya 70 aina ya cruise yenye thamani ya dollar milioni 600 yadondoshwa na vikosi hatari vya ukraine[emoji848]
View attachment 2437478
Unaona ulichoandika hapa. "Iran hajawahi kuwa na shida na ndege za US". Aliyekurupuka nani? Hajawahi kuwa na shida na ndege za Marekani ila alizinunua na bado anazitumia hadi sasa. Unaelewa unachozungumza au unabisha uonekaneSababu RUSSIA anaheshimu maamuzi ya UN ndio maana hamuuzi
IRAN hajawah kua nashida na ndege za US
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida MKUU hua unapenda kukurupuka
IRAN hizo ndege wapo nazo tokea lini ama tokea baada ya mapinduzi mwaka 1979 umewahi ona wanaagiza ndege tokea USAF
Nahujui kama IRAN wanavikwazo miaka tele kuhusiana na hizo silaha
Siijui saana IRAN ila naijua kias chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana [emoji91]🥱🥱Ila hawa watu wanakufa vibaya Daaah[emoji23][emoji23][emoji23]
SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Wataalamu wa mambo wanasema huu ndio msafara mrefu zaidi hambao unashikilia rekodi ya dunia mpaka Sasa.., sidhani kama atatokea yeyote wa kuivunja hii rekodi ya urusi katika miaka ya hivi karibuni [emoji848]Wadau hivi mnalikumbuka hili limsafara la Supapawa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2438026
nina uhakika huyo jamaa hajawahi kumiliki utambuzi na uelewa;Sasa muandishi wahabari akitoa maoni yake anakua hayupo sahihi
Ila wewe ndugu T14 Armata ukitoa maoni yako ndio unakua upo sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh 😂😂😂 Ukraine walilifyekelea mbali...Wadau hivi mnalikumbuka hili limsafara la Supapawa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2438026
Source ?..Maiti za wanajesh wa ukraine zimetapakaa bhakhamut nzima uku vikosi vikisonga mbele
Wanapulia [emoji23][emoji23][emoji23]Super power wa mchongo amewafanya masuper power wa kweli kula mpaka chakula cha wanyama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2437802
Nadhani wengi wanamchukulia poa Ukraine. Toka 2010 mwanzoni Marekani imekuwa ikiipa mafunzo ya kijeshi Ukraine iliyowafanya kuwa na jeshi lenye level ya NATO, wamepewa na wanaendelea kupiwa misaada ya kijeshi ya hadhi ya juu. Unategemea asiwe na uwezo wa kupambana na Urusi.Kama Ukraine anaweza kuishambulia Urusi the super power maana yake Urusi hana nguvu ya kuyalinda maeneo yake ipasavyo hadi kupambana kulipiza kisasi kwa kupiga miundombinu ya Ukraine.
Kuna watu wana ibeza
iran hapo juu hawajui kuwa bwana wao marekani anaiyogopa iran kuliko hata china
Jamaa walijamu mifumo yote ya ulinzi wa anga ya marekani iliyopo middle east nzima na kushambulia base za usa na nato pale iraq
Juzi kati hapa walifanikiwa kujam na kuzibeba under drone za marekani mbili
Finland na urusi Zinashare mpaka wa km 1300 lakini Finland Iko mbioni kujiunga NATONadhani wengi wanamchukulia poa Ukraine. Toka 2010 mwanzoni Marekani imekuwa ikiipa mafunzo ya kijeshi Ukraine iliyowafanya kuwa na jeshi lenye level ya NATO, wamepewa na wanaendelea kupiwa misaada ya kijeshi ya hadhi ya juu. Unategemea asiwe na uwezo wa kupambana na Urusi.
Bad thing ni kuwa vita hii inapiganwa ndani ya Ardhi yake, hivyo muhanga ni yeye mwenyewe. Kadri NATO wanavyoipa silaha Ukraine na ndivyo nchi hiyo inavyozidi kuharibiwa. Nadhani busara Wafikie makubaliano ya amani yanatakayo ipa hakikisho la Usalama Urusi. Huu ndio ukweli Ukraine haiwezi kuwa pro Nato then tutegemee amani. Ukraine inapswa kuwa Neutral state.