kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kama urusi anapigana kwa ajili ya kuyatetea Maeneo yaliyopiga kura kujiunga Naye ,huko Kyiv anatafta nini..,tuanzie hapo KwanzaHivi, kitendo cha Urusi kuyatambua maeneo yale mapema, haikuwa move ya kuwafanya majeshi ya Ukraine yajikite zaidi kupambania hayo maeneo na sio kuilenga ardhi ya Urusi moja kwa moja?
#Ukraine: The first documented destruction of a quite rare Russian KAMAZ-43269 "Vystrel" armored personnel carrier by the indirect fire of the 54th Mechanized Brigade in the East.Vifaru vya Ukraine vyapigwa kwa nyuma na mizinga ya Urusi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635]
Nachokiona kwa sasa he is pressuring Ukraine aweze kusurrender na kuweza kuzungumza, na ndio sababu ya kuishambulia Kyiv.Kama urusi anapigana kwa ajili ya kuyatetea Maeneo yaliyopiga kura kujiunga Naye ,huko Kyiv anatafta nini..,tuanzie hapo Kwanza
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wasijaribu maana watakufa kama kuku wa mdondoMajesh ya urusi yanaendelea kuingia belarus. Hii ni dalili kuwa warusi huenda wakairudia kiev siku za baadae tutashuhudia majimbo mengine yakiongezwa
Mlikuwa mna tuambia Urusi si chochote ndani ya ulimwengu huu ila sasa hivi amewafanya hao mnao waita matajiri kuanza kushea chakula na wanyama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Source ?..
Propaganda tu hizo za mabeberu....tunaamini habari kutoka Sputnik, Fars na RT..Mlikuwa mna tuambia Urusi si chochote ndani ya ulimwengu huu ila sasa hivi amewafanya hao mnao waita matajiri kuanza kushea chakula na wanyama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2438292
Unadhani vyakula vya mbwa WA Ulaya ni sawa na bongo wanakula mabaki ya Mama ntilieMlikuwa mna tuambia Urusi si chochote ndani ya ulimwengu huu ila sasa hivi amewafanya hao mnao waita matajiri kuanza kushea chakula na wanyama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2438292
Usitake kuhamisha mada mkuu Urusi imewanyoosha hao mlio kuwa mnawaona kama miungu watu.Propaganda tu hizo za mabeberu....tunaamini habari kutoka Sputnik, Fars na RT..
Kwa nn mwanzo walikuwa hawali ila waje wale sas hivi?Unadhani vyakula vya mbwa WA Ulaya ni sawa na bongo wanakula mabaki ya Mama ntilie
Propaganda tu za mabeberu hizoUsitake kuhamisha mada mkuu Urusi imewanyoosha hao mlio kuwa mnawaona kama miungu watu.
Kamnyoosha Nani huyo Supapawa wa mchongoUsitake kuhamisha mada mkuu Urusi imewanyoosha hao mlio kuwa mnawaona kama miungu watu.
kufa vita ni sheria kupona ni bahatiWasijaribu maana watakufa kama kuku wa mdondo
Watakula hata vya mbweha lakini Supapawa lazima afunzwe adabu ili asirudie tena.Kwa nn mwanzo walikuwa hawali ila waje wale sas hivi?
Haaaaa ila Urusi ime jua kuumbua watu.
Yaani hawa walio kuwa wanatuaminisha kuwa ndio wamiliki wa uchumi wa dunia sasa hivi wanashea chakula na mbwa?.
Hiyo ni kweli, lakini pia hata Ukraine anashambulia huko urusi Ili kumuonesha urusi kwamba bado Yuko imara na hayuko tayari kukaaa kwenye meza ya mazungumzo kwa namna yoyote ileNachokiona kwa sasa he is pressuring Ukraine aweze kusurrender na kuweza kuzungumza, na ndio sababu ya kuishambulia Kyiv.
Sasa kama watu amefikia kula mpaka chakula cha mbwa hatua ambayo hata sisi hatujafikia pamoja na umasikini wetu unataka wanyoshwe kivipi?Kamnyoosha Nani huyo Supapawa wa mchongo
Sasa hapo anaye nyooshwa Ni nani kama wanakula mpaka chakula cha mbweha?Watakula hata vya mbweha lakini Supapawa lazima afunzwe adabu ili asirudie tena.
Kumbe mabeberu siku hizi wana jifanyia propaganda mpaka wao wenyewe?Propaganda tu za mabeberu hizo
Anayenyooshwa ni yule aliyenaswa kwenye mtego wa vita ya siku 3.. badala yake imekuwa vita ya muda mrefu [emoji848]Sasa hapo anaye nyooshwa Ni nani kama wanakula mpaka chakula cha mbweha?